T TheDealer JF-Expert Member Joined Nov 19, 2012 Posts 2,424 Reaction score 1,133 Dec 1, 2014 #21 Ok.......!!!
MTIMBICHI JF-Expert Member Joined Apr 15, 2013 Posts 946 Reaction score 214 Dec 1, 2014 #22 Jamaa ni mbinafsi sana ila atakuwa amejifunza kutokea STAR TV sio brand tv lakini inafanya mambo yake kibrand ha ha ha ha
Jamaa ni mbinafsi sana ila atakuwa amejifunza kutokea STAR TV sio brand tv lakini inafanya mambo yake kibrand ha ha ha ha
RJ-White JF-Expert Member Joined Nov 25, 2014 Posts 744 Reaction score 752 Dec 1, 2014 #23 Hapo sawa!
C CSMM Member Joined Jun 30, 2012 Posts 13 Reaction score 4 Dec 1, 2014 #24 Greatttt News itatupunguzia vingamuzi lol!!
Fundisi Muhapa JF-Expert Member Joined Nov 25, 2013 Posts 4,422 Reaction score 2,115 Dec 1, 2014 #25 Imekaa vema. Soko la DSTV litakua mara dufu au zaidi...
Ambiente Guru JF-Expert Member Joined May 21, 2012 Posts 2,623 Reaction score 1,096 Dec 1, 2014 #26 Hapo safi Dr Mengi. Tupo pamoja!!. Kwaheri Star Times na sera zenu zakulinda TBC, CCM na ufisadi Tanzania
Hapo safi Dr Mengi. Tupo pamoja!!. Kwaheri Star Times na sera zenu zakulinda TBC, CCM na ufisadi Tanzania
M Manosa JF-Expert Member Joined Apr 20, 2012 Posts 4,510 Reaction score 3,595 Dec 1, 2014 #27 kama kweli najilipua mapema kabla sijafulia,
BAOBAO JF-Expert Member Joined Oct 12, 2012 Posts 1,874 Reaction score 557 Dec 1, 2014 #28 Wakuu ! Kwani ni king'amuzi kipi bora kuliko vyote nchini ?
ng'ombo JF-Expert Member Joined Dec 1, 2014 Posts 418 Reaction score 619 Dec 1, 2014 #29 Safi sana ITV n chaguo la wengi.
B Babuu Rogger JF-Expert Member Joined Nov 16, 2011 Posts 1,532 Reaction score 1,122 Dec 1, 2014 #30 Yaani hapo poa sana.
K KoreaKaskazini JF-Expert Member Joined Nov 25, 2014 Posts 219 Reaction score 52 Dec 1, 2014 #31 Matukutuku said: ITV itaanza kuonekana DSTV kuanzia kesho! Ila sijajua itakuwa chaneli gani, tusubirie hiyo kesho Click to expand... Link tafadhali mkuu.....japokuwa ni jambo jema sana
Matukutuku said: ITV itaanza kuonekana DSTV kuanzia kesho! Ila sijajua itakuwa chaneli gani, tusubirie hiyo kesho Click to expand... Link tafadhali mkuu.....japokuwa ni jambo jema sana
Prihu Senior Member Joined Jun 3, 2014 Posts 103 Reaction score 27 Dec 1, 2014 #32 ITV ndiyo habari ya mjini....bora aisee
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,766 Reaction score 23,230 Dec 1, 2014 #33 Habari nzuri hii
Kivumah JF-Expert Member Joined Jan 7, 2008 Posts 2,427 Reaction score 1,061 Dec 1, 2014 #34 Bila shaka EATV itafuatia.......I like this
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 73,313 Reaction score 103,535 Dec 1, 2014 #35 Bora wamejiunga, itakuwa vizuri sana
P Prince Hope JF-Expert Member Joined Jul 21, 2012 Posts 2,154 Reaction score 447 Dec 1, 2014 #36 Nielekezeni dampo nikatupe Star times yangu!
M Mundu JF-Expert Member Joined Sep 26, 2008 Posts 2,707 Reaction score 644 Dec 1, 2014 #37 Imechelewa sana hii...safi sana DSTV na ITV Hongera wote waliofikia uamuzi huu!
O Otorong'ong'o Platinum Member Joined Aug 17, 2011 Posts 39,370 Reaction score 29,612 Dec 1, 2014 #39 That is fantastic..
Katikiro Member Joined Nov 12, 2008 Posts 15 Reaction score 22 Dec 1, 2014 #40 Afadhali Mchaga kajiongeza.