ITV ndani ya DSTV via Channel 293 kuanzia kesho

ITV ndani ya DSTV via Channel 293 kuanzia kesho

wote tu mkuu hata AZAM tv siasa nyingi. Star times nimeuza, azam napeleka kijjn nanunua dstv
 
Source tafwadhali maana yaan hapa hadi naona aibu kwa furaha!
 
Hii habari kama ni ya ukweli basi ndo itakuwa habari njema ya kuanza nayo mwezi December.. Sipati Itv mie na mara nyingi ninasikilizia kwenye radio 1 kama kulikuwa na national event shown..

Ila daah DSTV punguzeni jamani hiyo monthly subscription fee lol.. Maana kwenye premium ndo mmweka mautamu yote..
 
Swadaktaaaa.. mahangaiko ya kubadili badili ili kuipata itv kwishney
 
Kilasiku nilikuwa nadhoofu kuwa update kitaifa kwa kuikosa ITV katika king'amuzi changu Dstv.
 
Tatizo hao dstv bei zao zimekuwa kubwa mno.
 
Meseji ifuatayo imetumwa kwa wateja wa DSTV leo
"Ndugu mteja tunapenda kukuarifu kuwa ITV itaanza kupatikana katika kingamuzi cha DSTV (Channel 293 )kuanzia kesho tarehe 2 Disemba katika vifurushi vyote "
Nami pia nimeupata ujumbe huo,hivyo si tetesi tena
 
"Ndugu mteja tunapenda kukuarifu kuwa ITV itaanza kupatikana katika kingamuzi cha DSTV (Channel 293 )kuanzia kesho tarehe 2 Disemba katika vifurushi vyote "
Ujumbe wa SMS toka kwa Multichoice Tanzania.
 
Safi sana angalau na sisi tulioko nje ya nchi tutapata kuifadi
 
Atleast sasa hivi vingamuzi vingine vijipange laa sivyo wataumia sana.
290,291,292,293 ITV
 
Swadakta...wamalizie na chanel 5 basiiii.... Maana Tanganyika Bogus Corporation wanazingua!
 
Channel 5 kutua DSTV ingeifaidisha zaidi IPP kuliko ITV .....EATV inakimbiza mbaya.....
 
Ewaa hayo ndio mambo, maana mwezi huu azam tv alikuwa anaingiza mpunga toka kwangu.. daaa so happy jamn. ITV DAIMA
 
Back
Top Bottom