ITV ndani ya DSTV via Channel 293 kuanzia kesho

ITV ndani ya DSTV via Channel 293 kuanzia kesho

Mkuu kuna kile cha compact plus ambacho gharama yake ni Tshs. 92,000/= ambacho kinaonyesha supersport 3, 7 na 9 na supersport select 2.. Sema kwa upande movie channels ndo wamebana sana..
Ok, mie sina DSTv nio maana nimetumia neno 'nadhani' lakini huoni hata hiyo ya compact plus haikupi supersports channels zote, nadhani premium package ndio inakupa zote, ambacho kifurushi hicho ni zaidi ya 100, 000
 
Walau nimepata jambo la kupongeza wiki hii

Hongereni sana ITV kwa kufanikisha hili
 
thats great news, nme frai sana sana, kwa sasa nitapata habari za uwakika. viva itv.
 
Nasikia bwana Machache amepigapiga sana hapo kwa mhavile. dah. huyu mzee noma
 
Wengine Hawa Nao Eti Wamekuja Na Poromosheni Yao::



StarTimes inakuletea Bollywood Swahili, Furahia Muvi za KIHINDI zenye tafsiri ya Kiswahili kuanzia 1/12.Nunua king'amuzi chako kwa Tsh 59000 tu msimu wa Krismas
 
afadhali wamesikia kilio chetu tusiopenda uzinguzi wa ving'amuzi vya wachina na wahindi!!!
 
Excellent! Sasa tutapata taarifa za habari za uhakika kuliko kutegemea channel tatu tu za channel 10, Star tv na Tbc. Better late than never!
 
Ama kweli samaki mkubwa ataendelea kummeza samaki mdogo daima.
 
LEO NITAANZA KUTENGA MUDA WA KUANGALIA TAARIFA YA hABARI.......................LISHAACHAGA KUANGALIA HABRAI ZA TBC AMBAZO NIA KMA MWINGULU NA KINANA WAZIHARIRI KWANZA SITAKI KUANGALI HABRI ZA KUPIKWA
 
Tunashukuru kwani nilikuwa natamani iwe hivi kwa siku nyingi.
 
Daaah.. naangalia ripoti kamili ITV kioindi maalum.. mimba za utotoni kisarawe.. inasikitisha..
 
Nilikuwa na utitiri wa ving'amuzi. Sasa nitabaki na viwili tu: DSTV na AZAMTV.
 
Back
Top Bottom