Ngahekapahi
JF-Expert Member
- May 8, 2012
- 553
- 371
Yeah mkuu tayari ipo.
Hivi na wanaolipia 17,000 wanaona EPL?Kuna mpaka kifurushi cha 17,000 Bomba pack ushindwe wewe tuu Katavi
Kitu kimeshaingia tayari
Usikufuru hivyo mkuu, huna jirani mwenye antena ya tube light hapo mtaani kwako....Nielekezeni dampo nikatupe Star times yangu!
now they my make my day happy
now they my make my day happy
Kitu Azamu bwana DSTV kitu gani????? maana huko zaidi ya chanel inayo onyesha big brother vingine vyote unapata tena kwa bei nafuu kabisa Tsh 12,500/=
Uzuri wa ITV unaweza kuona ni kipindi gani kilichopo hewani na ni kipindi gani kitakachofuata tofauti na Channels zingine za Tanzania zilizopo kwenye DStv
Tayari imeshaanza kuonekana kwenye dstvDaaaah habari njema hii.....
Nasubiri TV Imaan nayo iwe kwenye DiEsiTivii
Hivi na wanaolipia 17,000 wanaona EPL?
Mmh...kifurushi kinachoonesha supersports nadhani ni zaidi ya 100,000. Hicho cha 17,000 ni basic tv channels.