HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 73,313
- 103,536
wewe unafikili wa TZ wote wanauwezo wa kununua ving'amuzi vya kulipia kama iyo DSTV watu wengi wapo startimes na digitek kwasababu hakuna malipo ya lazima lakini unapata channel nzuri za bongo
Its a free country unachagua unapopenda, ukipenda star times, ting, digitek unanunua, ukipenda dstv unanunua pia.
Dstv wana package nyingi sana, ni wewe na uwezo wako, ukitaka premium jiandalie 80$ kwa mwezi.