ITV ndani ya DSTV via Channel 293 kuanzia kesho

ITV ndani ya DSTV via Channel 293 kuanzia kesho

ITV itaanza kuonekana DSTV kuanzia kesho! Ila sijajua itakuwa chaneli gani, tusubirie hiyo kesho
Nimefurahi sana ITV ni chanell ambayo nilikuwa naipenda sana hasa taarifa yao ya habari ya saa mbili usiku,nilihama kutoka kin'gamuzi fulani (sikitaji) ambacho baada ya kunizingua kwa muda mrefu nilihamia DSTV lakini the only thing i missed kwenye local chanells was ITV,ila wajirekebishe kwenye taarifa za habari za kimataifa huwa mnaboa sana mnafupisha sana mpaka huwa haileti raha,fanyeni kama wenzeni TBC1 na Startimes kwenye international news wanajiachia kama vile kwenye local news.
 
Jana ndio nimefaida taarifa ya habari ya ITV kwa mara ya kwanza kupitia Dstv. Asavali sasa tunaweza kuchagua kati ya Star TV, TBC na ITV kwani taarifa zao zinasomwa wakati mmoja. Channel 10 hawana tatizo kwani wao wanataarifa ya habari saa 1. Uzuri ni kuwa channel zote zimefuatana. Well done ITV!
 
Kituo cha televisheni cha ITV kilichopo chini ya makampuni ya IPP, kimesaini makubaliano na kampuni ya Multi-Choice Africa, kuanza kuonekana DSTV.
 
Yah......tumeiona........Chanel 293........thanks anyway..........
 
Habari jamani? hivi kuna mtu anawapata ting muda huu kwa tp hii 12418 V 30000??
 
Back
Top Bottom