u really believe thats the case? I stand to be corrected lakini je kuna precedent ya serikali kushtaki any of its institutions? Serikali inazidi kumwongezea mengi washabiki na umaarufu wanapomfungulia kesi za kijinga ambazo atashinda.
Tusilaumiane.Hawa wahindi noma.Mpaka sasa tumeshashindwa.Kila kitu hapa kwetu cha wahindi.
Wahindi ni watu wajanja sana na wasiri sana.Kwa wale wenzangu mlio ugenini au mliowahi kukaa ungenini mtanielewa .Lazima uwe mjaja ili usurvive ugenini.Ee mbona kama wenyenji wakiwa nyanya watapokea amri toka kwako.Ni asilimia ndogo ya ujanja wa wahindi tunao ujua.
Kila nchi walipo wahindi wanakuwa na serikali yao ndani ya nchi hiyo.Wanakuwa na raisi wao.wanakuwa na mawaziri wao.Sera yao in kulinda maslahi yao.Na hapa mbinu mbalimali kali hutumika kutegemeana na nchi walipo mojawapo ni kuwa na Powerfull local mercernaries.
Kwa hapa afrika wamesoma mind za wenyeji-uwezo na udhaifu wao toka (First class citizens to sixth class citizen)
Daima nguvu yao ni pesa.Wahindi ni watu wabaya sana.Na ni wabaya sana hasa kwetu sisi
Utaelewana na mhindi tu pale utapokubali kuwa second class Citizen na umekubali kununuliwa.
Haya yetu macho.Reginald Mengi hakubali kuwa second class citizen na hataki kununuliwa.The match-Reginald Mengi VS wahindi.The match that is fought in all fronts-known and unknown.
Mkuu yamekuwa hayo tena,umepiga bonge la U-Turn,polepole tutafika tu na ukweli siku zote utasimamaMkuu Mtumishi,
Nimeziona hoja zako lakini labda nikueleze kuwa hoja hizi zinatiririka kwa kadri matukio yanavyobadilika au hoja za nyongeza zinapojitokeza.
Kwa mfano hoja yangu ya kwanza niliitoa wakati thread hii haikuwa na mwelekeo wowote au kitu thabiti cha kutufanya tujiingize katika details. Baada ya kuunganishwa kwa hizo barua hapo juu sitegemei hali ya uchangiaji itabaki kuwa ni ileile la hasha, kuanzia hapo tunajadili yale mapya yaliyojitokeza ambayo hayakuwepo hapo mwanzo. Bahati nzuri maelezo ya kwenye barua yanajieleza kuwa yanayotokea yanaweza kutokea kwenye taasisi yeyote ile. Kutakiwa Mengi?ITV kutoa maelezo ya uvunjaji wa taratibu au sheria si kitu kigeni.
Kwa faida yako na wachangiaji wengine kuwa, hata Mengi alipokuwa mwenyekiti wa baraza la mazingira la taifa (NEMC) aliwahi kuongoza harakati kadhaa ambazo tulionyeshwa kupitia ITV akiamuru viwanda kadhaa kufungwa kwa kukiuka taratibu na sheria zinazohusu utunzaji wa mazingira. Kwa hiyo hili si jambo geni ni la kawaida huzikuta taasisi au kampuni yeyote ile. Kuna watu ambao walikuwa wanalalamika kuwa Mengi anakwenda kufanya kazi kiutendaji ambazo zilitakiwa kufanywa na Mkurugenzi wa NEMC lakini wengine waliona sawa tu ili mradi ametekeleza kazi za NEMC.
Mwisho, sh*t si tusi.
I have had a number of opportunities (since I left Busanda) to meet with several officials in the government who have assured me that ITV will be shut down sometimes this week after Mr. Mengi has failed to give "sufficient reasons" why his flagship TV station should not be shut down following the spat between him and Rostam Aziz.
The little flies who were in Dar, Arusha and Dodoma looking for some "dirt" have collected enough evidence to show that there is an understated collaboration between some rogue intelligence officers and some of the politicians who were removed from power last year. These rogue elements in the service command unchecked influence and power that no one can challenge.
It is from that collaboration and meetings that intensified sometimes in April (soon after Mengi went public with his allegations) the decision has been taken to tame Mengi and his media outlets and even possible silence him. He has been marked as the individual who pose the most lethal threat to the plan of Agenda 21.
So, together with him there are number of news outlets that have been marked as well the most prominent of them is this esteemed forum. JF will face a clear threat either to tone down its criticism or required in some way to abide by certain standards that are being drawn especially after the "zeutamu" saga.
As I fly back to Dar, I believe the plan to shut ITV is being timed with JK out of the country but with all his blessings. As a step toward that goal, Mr. Mengi will be required to give a testimony or explanation to a government entity, the outcome however has already been predetermined. NO NEED to fight. Any resistance will be futile.
Sifikiri kwamba wanataka kuifunga, wanataka kumpa jambajamba tu mengi kwa kumtia mi pressure kutoka kila angle.
Ila ndio wanampa martyrdom sasa.
Kuna kitu alisema Enigma.. I need to that again... I probably missed something. Is this it?
Baada ya kuona hizi documents, more respect kwa Enigma-loosely translated as mysterious, difficult to identify person.
Catch him if you can.
Kumbe ni kosa kukiuka ratiba ya vipindi ??!!! Sasa kama kuna breaking news inakuwaje?
Heshima nzito kwa Mkuu Enigma.
Ni dhahiri huu mkakati wa RA na wenzake wa kuifunga ITV uko mbioni kama alivyodokeza Enigma. Otherwise sioni sababu ya kwa nini Mawakili wa ITV/ Mengi wameona kuna umuhimu wa kwenda Mahakamani Kuu mapema namna hii; itakuwa wameona TCRA wanatumiwa na genge la RA.
Maoni yangu ni kuwa TCRA wanaweza kumuadhibu Mengi/ITV kwa njia nyingi. Mojawapo na ambayo "more likely" litakuwa chaguo lao la kwanza ni kuipunguzia ITV "coverage". Iwapo sasa hivi anaruhusiwa kurusha Tanzania nzima basi wanaweza kumpunguzia kwa kumuondolea kanda ya Kaskazini (kama mfano). TCRA kabla ya kufanya hivyo ni lazima wawe na sababu, kama tunavyoona hapa mikakati ya kutafuta hizo sababu zinafanyika kwa bidii.
RA na kundi lake wamajikita zaidi Kanda ya Kaskazini (Arusha n.k) na Ziwa Victoria (Usukumani na Unyamwezini), tusishangae kuja kusikia ITV imepigwa mafuruku kurusha matangazo yake katika ukanda huo. Wakati huo huo ABC Television (inayomilikiwa na Lowassa & Co.) ndio imeshakabidhiwa leseni kurusha matangazo Arusha....connecting the dotes.
kwenye hiii nadhani bora wangeiacha ITV ikafa natural death lakini hiiii naweza kubackfire bigtime
2010 tuwe makini na kura zetu...tusione aibu kuuliza hela za tshirt na pilau zinatoka wapi? 2005 tulilala saaaaana.
I have no doubt kuwa Mengi ndiye anayehusika na hizi barua kufika hapa, je motive yake ni nini ikiwa tayari mawakili wake wana shughulikia hili swala?
So far mambo yako katika hatua za mwanzo, Mengi ana wasiwasi gani gani hadi kutofika kuwaamini mawakili wake?
Je, hawa mawakili wana mshauri vizuri mteja wao?
hakuna haja ya kuwa na woga kuhusu haya mambo.Bwana Mengi ni mtu wa kumanuva.Kuna njia za kuwajibu...na kuweza kupambana nao.Yeye ni rafiki mkubwa wa Jk ,mabalozi na watu wengi influential.Dah nahisi kizungu zungu dah
I have no doubt kuwa Mengi ndiye anayehusika na hizi barua kufika hapa, je motive yake ni nini ikiwa tayari mawakili wake wana shughulikia hili swala?
So far mambo yako katika hatua za mwanzo, Mengi ana wasiwasi gani gani hadi kutofika kuwaamini mawakili wake?
Je, hawa mawakili wana mshauri vizuri mteja wao?
Jamani Sheria ya TCRA inasemaje kuhusu hisa za wazalendo? Naaambiwa inakataza wageni kumiliki hisa zaidi ya 65% lakini RA anataka kuzipeleka nje zote. Inadaiwa kwamba wanatoa kisingizio cha UFISADI alioufanya Mkapa kwa kuuza kinyemela hisa za serikali katika Mobitel (sasa TIGO) na hivyo Tigo sasa inamilikiwa kwa asilimia 100 na wageni lakini sheria inakataza. Wanajaribu kutoa tafsiri ya kisheria kupotosha kwamba eti sheria ilikua na maana na kuanzishwa tu then baadaye mzalendo anaweza kuuza popote wakitoa mfano wa TIGO walkati TIGO ni UFISADI wa Mkapa na genge lake. Sasa Chenge (akiwa Miundombinu) aliandika waraka kwa AG Mwanyika akitoa maeleekezo ya kutaka RA aachiwe auze hisa zake. AG inasemekana alikataa kabla ya kubanwa na kulegeza kamba, na baaaye Bodi ya TCRA ikagawanyika kabla ya kupitisha lakini Management hadi sasa ina maoni tofauti kuhusu uamuzi wa bodi, Inasema sawa, bodi ina uamuzi lakini si kukiuka sheria, sasa kazi ipo maana wanaandaa mabadiliko ya Sheria Ndogo (regulation) ambayo zamani ilikua Waziri anaweza kubadili tu kwa kutangaza katika gazeti la serikali (GN) lakini sasa Samuel Sitta, anaelezwa kuwa kizingiti kwa kuunda kamati ya bunge ya Sheria Ndogo ambayo sasa italazmika kupitia kwanza sheria ndogo kabla haijatangazwa katika GN. Ndio maana kulikua na mkakati maalumu wa kumng'oa Sitta ili kuruhusu hiyo regulation tena inabadilishwa kwa sababu ya mtu mmoja tu, RA. Hizo ni HABARI ZA UHAKIKA MNO!!!!!!
Habari zaidi kuhusu ufisadi wa Chenge, RA na EL tutawaleteeni soon,na kwa wale waliosikiliza Bunge leo, wafuatilie Mchango wa Mbunge mmoja mwanamke wa Chadema, anayetoka mkoani Kilimanjar, aliyeuliza fedha za Barabara ya MSata-Bagamoyo na fedha za uwanja wa Ndege wa Mwanza