ITV Live: Lipumba anamshukia Kikwete ESCROW

ITV Live: Lipumba anamshukia Kikwete ESCROW

Toka nazaliwa anagombania yeye had sasa me nmemchoka hana swagger amuwez JK kipenz cha Africa.....Rais hayupo kumtetea IPTL wala Tanesco Rais yupo kusema ukweli na kuagza sheria ifatwe ndommna watumishi wake wanachunguzwa.....takukuru......tume ya maadili na wengne washasimamishwa na kutolewa mnataka nini nyie mavi ya ng'ombe?


Rais hatetewi kwa kutukana wenye mawazo tofauti na yake.
 
Haki ipi ya hospital ya mtwara kukosa hata panadol ?
wamama kujifungulia chini ?
wanafunzi kusoma chini ya mbuyu ??

Haki ipi unatafsiri wewe

kweli FaizaFoxy ni shetani

Si bora leo unaweza kusema wamekosa panadol, tuliaminishwa wakati wa Nyerere kuwa Aspro mbili kwa magonjwa 20. Na sisi tumo tu. Kumbe yote tunadanganywa tukiumwa tusiulize dawa tujikandamize na Aspro mbili kwa magonjwa ishirini.

Leo unasema "wanasoma " chini ya mbuyu, neema kubwa hiyo. Wakati huo wa Nyerere chini ya mbuyu unakwenda kuokota mabuyu ufanye lunch.
 
acheni ccm wamkumbatie muhongo watakumbuka shuka kumekucha

"Maneno ya Busara sana haya."Cha msingi ni wananchi kujitokeza kwa Wingi kupiga Kura katika Uchaguzi mkuu ujao na kudhibiti mianya yote ya wizi wa hizo kura.
 
Si bora eo unaweza kusema wamekosa panadol, tuliamnishwa wakatimwa Nyerere kuwa Aspro mbili kwa magonjwa 20. Na sisi tumo tu. Kumbe yote tunadanganywa tukiumwa tusiulize dawa tujikandamizze na Aspro mbili kwa magonjwa ishirini.

Leo uansema "wansima " chini ya mbuyu, Neema kubwa hiyo. Wakati huo wa Nyerere chini ya mbuyu unakwenda kuokota mabuyu ufanye lunch.

Heshima pekee kwa Nyerere na Familia yake hawakuwa Mafisadi.Hakuogopa kumwajibisha Fisadi yeyote na alitetea mali ya Umma kwa nguvu zake zote.Daima tutamkumbuka baba yetu wa Taifa la Tanzania.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kikwete ni rais wa nchi asiye mzalendo, haiingii akilini rais kutetea mali ya mtu badala ya mali ya umma hata baada ya kuambiwa inawezekana mle mna pesa za Tannesco.

Sidhani kama angekuwa Obama ndiye kafanya hivi bunge la seneti lingemuacha.
 
Hebu acheni kuzunguka mbuyu bhana ile pesa ilikuwa haijalipwa kwa IPTL, ilikuwa bado kuandikiwa vocha na hundi ya kumlipa IPTL kile anachostahili sasa hapo pesa si ya umma? hivi kwa kuwa wakandarasi na wazabuni mbalimbali wanaidai serikali tutasema mapesa yote yaliyoko kwenye akaunti za serikali ni mali ya wazabuni na wakandarasi? enyi watanzania nani kawaloga? Wizara fulani ikwa na madeni na madai mbalimbali ya suppliers akaunti yote inakuwa ni mali ya suppliers? kuna upumbavu na ujinga tunaolishwa kwa kuwa inajulikana watanzania ni wajinga.

mkuu unahitaji kalamu,daftari,penseli,ubao,chaki,dawati,unifom na darasa!ili tusome.upo tayari kuelimishwa au hutaki?
 
Kama hujuwi maana ya ndoa unaona ndowa ni kama asie owa hana haki ya kufanya lolote, iv hujuwi km huwezi kimtimizia mwanamke mahitaji yake ni haram kuowa ? nå wala kuwa huwezi kumuingilia mwanamke (yaani uwe umeumbwa hivo) basi c aibu ni ugonjwa au ulemavu km ulemavu wa viungo vyengine tu. Mwisho acha siasa zako za maji taka lipumba ana mke mke wake anafanya kazi msalsba mwekundu, nå kashasema yeye hana mke wa chama km nilazma kila mtu anamjuwa. acha ukanjanja wewe kilaza.

Kwako lugha ni tatizo sana hivi una elimu gani?
 
Si bora eo unaweza kusema wamekosa panadol, tuliamnishwa wakatimwa Nyerere kuwa Aspro mbili kwa magonjwa 20. Na sisi tumo tu. Kumbe yote tunadanganywa tukiumwa tusiulize dawa tujikandamizze na Aspro mbili kwa magonjwa ishirini.

Leo uansema "wansima " chini ya mbuyu, Neema kubwa hiyo. Wakati huo wa Nyerere chini ya mbuyu unakwenda kuokota mabuyu ufanye lunch.

usiniambie wakati wa nyerere sikuwepo
mimi nimeshuhudia ccm ikila nchi bila huruma huku wananchi wake wakiwa na hali mbaya

na wakati wa nyerere mapato yatokanayo na kodi hayakua makubwa kama siku hizi
kulikuwa hakuna wizi wa bilion 300 kama siku hizi ila wa benja na kikwete yote tumeyashuhudia bora mwinyi alijitahidi kwa kiwango chake
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Lupumba = Lipumba?

Naam, ni Lipumba, Ahsante ntarekebisha. Tukipata wawili watatu kama wewe, tutaelimisha wengi na tutakuwa makini humu.

Nafikiria hiyo "u" ningeiweka hapo mwisho wa jina! ingekuwa majanga!
 
Si bora eo unaweza kusema wamekosa panadol, tuliamnishwa wakatimwa Nyerere kuwa Aspro mbili kwa magonjwa 20. Na sisi tumo tu. Kumbe yote tunadanganywa tukiumwa tusiulize dawa tujikandamizze na Aspro mbili kwa magonjwa ishirini.

Leo uansema "wansima " chini ya mbuyu, Neema kubwa hiyo. Wakati huo wa Nyerere chini ya mbuyu unakwenda kuokota mabuyu ufanye lunch.

Good morning FF, naona una mzio mbaya kabisa na Nyerere RIP lakini kumbuka kipindi hicho unachozungumzia wewe nchi ilikuwa imetoka vitani na Uganda na kilikuwa ni kipindi cha mpito
Nyerere aliweza kuibeba nchi vilivyo hata katika kipindi kigumu kabisa na kwakweli alikuwa imara kwenye maamuzi yake nafikiri unakumbuka operesheni ya wahujumu uchumi mwaka 1984 iliyoongozwa na E.M. Sokoine RIP, JK na Pinda hawawezi kufanya hata robo ya yale yaliyofanywa na NYERERE na Sokoine
personality ya JK ni practice of leniency, na dull actions kitu ambacho hakifai hata kwa familia achilia mbali Taifa

Personality ya JK sio ya kuchukua maamuzi magumu hata kidogo na anapofanya hivyo huchukua muda mrefu na kujishauri kwingi na kusitasita sana! Hii pia sio sifa nzuri kwa kiongozi wa nchi

Personality ya JK ni kutaka kumridhisha kila mmoja kitu ambacho ni hatari mno! Lazima uwe na msimamo thabiti kwenye lolote lile usiwe kinyonga huyu unamwambia hivi yule unamwambia vile ni hatari kwa Taifa
 
Back
Top Bottom