ITV Live: Lipumba anamshukia Kikwete ESCROW

Mkuu, kosa mhudumu ni lipi, LIPUMBA siyo mseja?

Kama hujuwi maana ya ndoa unaona ndowa ni kama asie owa hana haki ya kufanya lolote, iv hujuwi km huwezi kimtimizia mwanamke mahitaji yake ni haram kuowa ? nå wala kuwa huwezi kumuingilia mwanamke (yaani uwe umeumbwa hivo) basi c aibu ni ugonjwa au ulemavu km ulemavu wa viungo vyengine tu. Mwisho acha siasa zako za maji taka lipumba ana mke mke wake anafanya kazi msalsba mwekundu, nå kashasema yeye hana mke wa chama km nilazma kila mtu anamjuwa. acha ukanjanja wewe kilaza.
 
kama vile wewe unavyo muabudu kikwete kuliko hata Mungu wako wa kiislam!

Hata biblia inasema muwaheshimu viongozi.

Nyinyi mkamfanye mungu Lipumba na mungu mdogo Jussa, wamewapa uhai saa hizi mnapumuwa.
 
Leo magwanda mnamuoa Lipumba mzuri si mlikuwa mnamtukana huyo, mmesahau?

Amma kweli baniani mbaya kiatu chake dawa. Nawashauri chadema muwe mnamuabudu Lipumba mumfanye mungu wenu, ndiyo aliwasaidia mlipokuwa ICU.

Hata wewe ukibadilika utakuwa mama mzuri sana upande huu
 
Kama hujuwi maana ya ndoa unaona ndowa ni kama asie owa hana haki ya kufanya lolote, iv hujuwi km huwezi kimtimizia mwanamke mahitaji yake ni haram kuowa ? nå wala kuwa huwezi kumuingilia mwanamke (yaani uwe umeumbwa hivo) basi c aibu ni ugonjwa au ulemavu km ulemavu wa viungo vyengine tu. Mwisho acha siasa zako za maji taka lipumba ana mke mke wake anafanya kazi msalsba mwekundu, nå kashasema yeye hana mke wa chama km nilazma kila mtu anamjuwa. acha ukanjanja wewe kilaza.
Acha kutuzuga wewe, miaka zaidi ya 20 kwenye siasa, haujawahi kumtambuliisha mke wako, unasema una mke anafanyakazi msalaba mwekundu, hata kama angekuwa anafanyakazi msalaba wa zambarau. Au aliolea wanaume wengine?
 
Hata wewe ukibadilika utakuwa mama mzuri sana upande huu

Looo. Mungu apishe mbali, mbali kabisa. Huko kwa wakosa maadili? Mwenyekiti ndiye, Katibu Mkuu ndiye.

Hao misukule wao ndiyo kabisaaa, usiseme.
 
Leo magwanda mnamuoa Lipumba mzuri si mlikuwa mnamtukana huyo, mmesahau?

Amma kweli baniani mbaya kiatu chake dawa. Nawashauri chadema muwe mnamuabudu Lipumba mumfanye mungu wenu, ndiyo aliwasaidia mlipokuwa ICU.

kwenye siasa hakuna adui wa kudumu,wala rafiki wa kudumu.CCM mmedhulumiana mgao ndo wengine wamekua marafiki wa ukawa kiasi cha kuwapa taarifa kina kafulila.huoni ajabu urafiki wa wana ccm na ukawa?
 
Kama hujuwi maana ya ndoa unaona ndowa ni kama asie owa hana haki ya kufanya lolote, iv hujuwi km huwezi kimtimizia mwanamke mahitaji yake ni haram kuowa ? nå wala kuwa huwezi kumuingilia mwanamke (yaani uwe umeumbwa hivo) basi c aibu ni ugonjwa au ulemavu km ulemavu wa viungo vyengine tu. Mwisho acha siasa zako za maji taka lipumba ana mke mke wake anafanya kazi msalsba mwekundu, nå kashasema yeye hana mke wa chama km nilazma kila mtu anamjuwa. acha ukanjanja wewe kilaza.
mkuu naona TataMadiba amegusa pabaya?
 
kwenye siasa hakuna adui wa kudumu,wala rafiki wa kudumu.CCM mmedhulumiana mgao ndo wengine wamekua marafiki wa ukawa kiasi cha kuwapa taarifa kina kafulila.huoni ajabu urafiki wa wana ccm na ukawa?

haya maneno yamekuwa ya kawaida sana siku hizie, kwenye siasa hakuna adui au rafiki wa kudumu.na kweli hili litadhihirika tu wakati wa kumpata mgombea wa UKAWA,watu msije mkayasuta maneno yenu.
 
viongozi wa UKAWA wana busara sana ndo maana ITV inawaalika kila siku studio kikwete kutetea wezi wa pesa za umma huenda naye ni muhusika mkubwa kwenye mgao wa pesa za escrow watanzania tusifanye makosa tena 2015 kuchagua viongozi wezi wa pesa za umma ccm tena .
 
  • Thanks
Reactions: BAK
haya maneno yamekuwa ya kawaida sana siku hizie, kwenye siasa hakuna adui au rafiki wa kudumu.na kweli hili litadhihirika tu wakati wa kumpata mgombea wa UKAWA,watu msije mkayasuta maneno yenu.

walishakubaliana kuwa mwenye kura nyingi kwenye uchaguz uliopita ndia ataesimamisha mgombea.
 
Hata biblia inasema muwaheshimu viongozi.

Nyinyi mkamfanye mungu Lipumba na mungu mdogo Jussa, wamewapa uhai saa hizi mnapumuwa.

na nyie JK ndo mnamuabudu kama mtume mohamadi
 
viongozi wa UKAWA wana busara sana ndo maana ITV inawaalika kila siku studio kikwete kutetea wezi wa pesa za umma huenda naye ni muhusika mkubwa kwenye mgao wa pesa za escrow watanzania tusifanye makosa tena 2015 kuchagua viongozi wezi wa pesa za umma ccm tena .

UKAWA wanaalikwa ITV ili kutetea Muhongo ang'olewe ili MENGI awe dalali wa vitalu vya gesi, wanyonge hatutakubali ang'oke
 
Back
Top Bottom