ITV Live: Lipumba anamshukia Kikwete ESCROW

MwanaUKAWA Prof.Lipumba yupo Live ITV anahojiwa na Fatma Nyangasa,anamshangaa Kitwete badala ya kutetea shirika lake la umma anatetea IPTL,anamtaja Kikwete kama mhujumu uchumi.Anamtaja rais kama mtu anayesimamia na kukinga mafisadi. Anaulizwa maswala mbalimbali na kujibu kwa umakini.Anamtaja Muhongo kama dalali aliyekutana na Rugemalira na kumtaka ataje pesa ngapi apewe ili "akaushe" kuhusu kesi yake.Anasema kuwa ilishauriwa kuwa IPTL ni ya kitapeli,lakini Mkapa chini ya Chenge hawakutekeleza.Amesisitiza kuwa Rais amefanya usanii mkubwa
Lini Lipumba aliwahi kuwa UKAWA? Acha kuichafua UKAWA na huyu kiumbe mchafu
 
Nilitaka kushangaa kikwete atajwe wewe bibi usitoke chimboni!
JK alituaminisha hatuna chetu,Magu naona hajamwamini!
Hapo ndipo unabaki njia panda,ukomae na udini au chama!

Wacheni fitna, mshalijuwa kosa?
 
MwanaUKAWA Prof.Lipumba yupo Live ITV anahojiwa na Fatma Nyangasa,anamshangaa Kitwete badala ya kutetea shirika lake la umma anatetea IPTL,anamtaja Kikwete kama mhujumu uchumi.Anamtaja rais kama mtu anayesimamia na kukinga mafisadi. Anaulizwa maswala mbalimbali na kujibu kwa umakini.Anamtaja Muhongo kama dalali aliyekutana na Rugemalira na kumtaka ataje pesa ngapi apewe ili "akaushe" kuhusu kesi yake.Anasema kuwa ilishauriwa kuwa IPTL ni ya kitapeli,lakini Mkapa chini ya Chenge hawakutekeleza.Amesisitiza kuwa Rais amefanya usanii mkubwa
kick on the way
 
Wala siyo tatizo, kwani nilishauona uelewa wako kuwa ni haba.
Nakuona unanisingizia vitu ambavyo sivielewi ni sawa na wewe nikuite mhuni kila ukimuona mwanaume unamlazimishe akumalizie haja za hamu zako... nikikushinikiza kuwa una hali hiyo utanielewa? sidhani dini yako kama inatabia za kusingizia watu... naomba iwe mwisho kuniambia sijui chadomo whatever...
 
Mama'ko ndivyo alivyokuwa akitimiziwa haja zake hivyo, umewahi kumuita muhuni?
 
Mkuu naona umedandia gari kwa mbele,pumzika kunywa maji halafu rudi kasome vizuri hiyo Thread ya Lipumba kuongea LIVE na ITV ilikuwa lini, kitu cha 2014 sasa wewe leo unasema Magufuli anamtumia kumuandama kikwete,
Wakati huo JPM hata wazo la magogoni hakuwa nalo!
Bye! I got businesses to run!
 
Mama'ko ndivyo alivyokuwa akitimiziwa haja zake hivyo, umewahi kumuita muhuni?
Usioneshe hasira mimi sijakutukana bali nimekuambia kama nikikusingizia hivyo utajisikiaje? basi tambua na uelewe kuwa sikujisikia vizuri kuniambia sijui chadomo... whatever. be good to everyone and respect mawazo yao long live our Nation.
 
,

Nikasirike nini wakati umedhihirisha mwenyewe mwenyewe kuwa ni mzoefu, na hakuna uzoefu kama unaouoata kutoka kwa mama'ko, utayajuaje kama hujajifunza hayo kutoka kwa mama'ko?
 
Nadhani unachokitaka ni Maneno Machafu Machafu no sweti utayapata ukiendelea
 
Back
Top Bottom