Otorong'ong'o
Platinum Member
- Aug 17, 2011
- 39,166
- 28,817
JK ni laana katika nchi
Lipumba ndiye msanii wa kufa, anakwenda kuomba kura msikitini.
ulitaka tukuabudu wewe Ajuza ?
Leo magwanda mnamuoa Lipumba mzuri si mlikuwa mnamtukana huyo, mmesahau?
Amma kweli baniani mbaya kiatu chake dawa. Nawashauri chadema muwe mnamuabudu Lipumba mumfanye mungu wenu, ndiyo aliwasaidia mlipokuwa ICU.
huyu mseja naye tumemchoka
kikwete ni zaidi ya msanii, hakufaa kukaa magogoni kamwe. Akiwa kwenye kundi lake la mtandao alimchongea tuhuma dr. Salim eti alishiriki kumuua rais wa zanzibar, abeid karume, eti kisa apate nafasi ya kugombea urais kupitia ccm! Jk haaminiki kamwe.Leo magwanda mnamuoa Lipumba mzuri si mlikuwa mnamtukana huyo, mmesahau?
Amma kweli baniani mbaya kiatu chake dawa. Nawashauri chadema muwe mnamuabudu Lipumba mumfanye mungu wenu, ndiyo aliwasaidia mlipokuwa ICU.
wewe utakuwa shoga wewe sio bure
kikwete ni zaidi ya msanii, hakufaa kukaa magogoni kamwe. Akiwa kwenye kundi lake la mtandao alimchongea tuhuma dr. Salim eti alishiriki kumuua rais wa zanzibar, abeid karume, eti kisa apate nafasi ya kugombea urais kupitia ccm! Jk haaminiki kamwe.
mbona mnamtetea sana Lipumba, mnanufaika na kuwa kwake mseja?
Mwezi ujao prof Muhongo anatarajia kufanya ziara nchini China itakayomchukua mpaka Singapore.....so stay tuned Mengi na kundi lake habari iwafikie.
kikwete ni zaidi ya msanii, hakufaa kukaa magogoni kamwe. Akiwa kwenye kundi lake la mtandao alimchongea tuhuma dr. Salim eti alishiriki kumuua rais wa zanzibar, abeid karume, eti kisa apate nafasi ya kugombea urais kupitia ccm! Jk haaminiki kamwe.
ushahidi kamuulize tezi dume na kundi lake la kina salva na wenzake ambao leo wamezawadiwa vyeo huko magogoni. Wana ccm imani wanalijua hili fika, wewe ccm maslahi utalijulia wapi hilo?ushahidi mkuu, haya maneno ya vijiweni mtaachana nayo lini?
kama vile wewe unavyo muabudu kikwete kuliko hata Mungu wako wa kiislam!Leo magwanda mnamuoa Lipumba mzuri si mlikuwa mnamtukana huyo, mmesahau?
Amma kweli baniani mbaya kiatu chake dawa. Nawashauri chadema muwe mnamuabudu Lipumba mumfanye mungu wenu, ndiyo aliwasaidia mlipokuwa ICU.
mbona post zako zinalenga kuwatoa watu kwenye reli?dah..mzee Wa mabusha kazidi aisee...nasikia the next show anarudi states tena!