ITV Live: Lipumba anamshukia Kikwete ESCROW

ITV Live: Lipumba anamshukia Kikwete ESCROW

Leo magwanda mnamuoa Lipumba mzuri si mlikuwa mnamtukana huyo, mmesahau?

Amma kweli baniani mbaya kiatu chake dawa. Nawashauri chadema muwe mnamuabudu Lipumba mumfanye mungu wenu, ndiyo aliwasaidia mlipokuwa ICU.

duh! wewe kweli ni msukule mada ni nyingine wewe unaropoka vingine!
 
sio ccm mkuu, bali jk na genge lake la ccm maslai, ccm imani hawajapendezwa na huu uharamia na utetezi wa wezi unaofanywa na jk waziwazi.
mkuu hawa ccm masalia ngoja tu wakiiue chama ile kazi rahis 2015
 
Acha kuwa na mawazo kama akina laki si pesa, MSALANI na wengine wenye mawazo yasiyo jaa hata kijiko cha chai. Mafarakano na ushirikiano wa kisiasa huwa ni suala la wakati na mnasimamia nini kwa wakati huo.
Ndio maana CCM na CUF ambao kuna wakati walichinjana, waliwekeana vinyesi kwenye visima vya maji na hawakushiriki kwenye mazishi ya wengine leo hii wana SUK na Rais ni Shein na Makamu wake ni Maalim Seif.
Hakuna adui wa kudumu au rafiki wa kudumu katika siasa. Ndio maana hata Wassira aliyekuwa akiporomosha matusi kwa CCM wakati ule leo ndio mtetezi mtegemewa wa CCM.

Hayo yalikuwa wakati wa Nkapa, wala alikuwa hajali Wazanzibari wakiuwana, ana uchungu nao upi? lakini mwenye uchungu nao alipoingia madarakani, tukaona amani imeingia Zanzibar, waliokuwa wanauwana na kuwekeana mavi sasa wanaongoza Zanzibar kwa pamoja, raha mustarehe.

Au huyajuwi hayo?
 
ninatamani siku moja nikuone we mwanamke!nahisi nitacheka sana siku hiyo.

Chukuwa, chetezo aka kitezo, koga, vaa nguo safi, safisha chumba, fukiza ubani, anza kuniita. Nnakuhakikishia ukifanya hivyo ntakuja unione, ili ucheke vizuri.
 
ndani ya ccm hakuna mwenye maadili kamwe, mwenyekiti na rais anahangaika kutetea wezi waziwazi, wengine ndani ya chama wahangaika kutoa rushwa kwa wajumbe wa nec na mkutano mkuu ili waweze kuteuliwa kuwa wagombea urais kupitia ccm. Ndani ya ccm rushwa na ufisadi ni watoto mapacha.

Hao wezi ni akina nani? unabwabwaja na kuhororoja bila mpango.

Kikwete kapelekewa maazimio manane na yote kayafanyia kazi, kinachokuuma ni nini?
 
mnachekesha sana kwa JK ni mwenyekiti wa ACT???
..mkuu hili utakuja ligundua baadae. Kuna wanaccm wengi wanaopenda taifa lao hawakubaliani na umamuzi wa jk kuhusu kutetea watuhumiwa wa escrow, hili jambo halijajadiliwa na vikao vya chama, bali jk ametumia chance hii kama mwenyekiti wa ccm na rais kutetea wezi.
 
Principle ya kufanyia RE-CALCULATION ni ile elfu 50.sasa ukikokotoa hapo utakuta pesa nyingi ya ESCROW ni mali ya TANESCO ndio maana serikali ilikwepa re-calculation ili viongozi wagawane hela na IPTL.lakini pia ile hela ambayo ingeenda IPTL tungechukua kodi.NDOMANA TUNASEMA PESA ILE NI YA UMMA HATA AJE NANI HAPA HATUDANGANYIKI.

Hebu acheni kuzunguka mbuyu bhana ile pesa ilikuwa haijalipwa kwa IPTL, ilikuwa bado kuandikiwa vocha na hundi ya kumlipa IPTL kile anachostahili sasa hapo pesa si ya umma? hivi kwa kuwa wakandarasi na wazabuni mbalimbali wanaidai serikali tutasema mapesa yote yaliyoko kwenye akaunti za serikali ni mali ya wazabuni na wakandarasi? enyi watanzania nani kawaloga? Wizara fulani ikwa na madeni na madai mbalimbali ya suppliers akaunti yote inakuwa ni mali ya suppliers? kuna upumbavu na ujinga tunaolishwa kwa kuwa inajulikana watanzania ni wajinga.
 
HAta akishika namba zero ndio adumae kama mlivyodumazwa na fikra za matapeli ,hamuwezi hata kwenda chooni na mkpelekwa hamuwezi hata kuchamba lazima mchambishwe ,wacha Lipumba awachambishe na kuwasugua hadi msafike.

Toka nazaliwa anagombania yeye had sasa me nmemchoka hana swagger amuwez JK kipenz cha Africa.....Rais hayupo kumtetea IPTL wala Tanesco Rais yupo kusema ukweli na kuagza sheria ifatwe ndommna watumishi wake wanachunguzwa.....takukuru......tume ya maadili na wengne washasimamishwa na kutolewa mnataka nini nyie mavi ya ng'ombe?
 
Chukuwa, chetezo aka kitezo, koga, vaa nguo safi, safisha chumba, fukiza ubani, anza kuniita. Nnakuhakikishia ukifanya hivyo ntakuja unione, ili ucheke vizuri.

kumbe FaizaFoxy ni kashetani ndio maana hakapendi maendeleo ya watanzania
 
Last edited by a moderator:
Kwenye siasa hakuna rafiki wa kudumu bali maslahi ya kudumu.Wewe japo swala la escrow upo upande wa iptl,ni sababu ya maslahi tu,hope moyoni upo upande wa wananchi(tanesco)

IPTL walishanunuliwa zamani sana, wamebaki reference tu, Ruge kishauza hisa zake na Mechmar walishauza hisa zao. Sasa hivi ni PAP.

Nipo upande wa haki.
 
kauli ya jjmnyika bado naiheshimu!
jk dhaifu!!
 
Chukuwa, chetezo aka kitezo, koga, vaa nguo safi, safisha chumba, fukiza ubani, anza kuniita. Nnakuhakikishia ukifanya hivyo ntakuja unione, ili ucheke vizuri.

teh teheeeeeee!yani wewe ni nouma.nitacheka balaaaaaaa!nakumis hata kabla sijakuona,nadhani neno lako la kwanza tu litanivunja mbavu balaa.
 
IPTL walishanunuliwa zamani sana, wamebaki reference tu, Ruge kishauza hisa zake na Mechmar walishauza hisa zao. Sasa hivi ni PAP.

Nipo upande wa haki.

Haki ipi ya hospital ya mtwara kukosa hata panadol ?
wamama kujifungulia chini ?
wanafunzi kusoma chini ya mbuyu ??

Haki ipi unatafsiri wewe

kweli FaizaFoxy ni shetani
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Lipumba ndiye msanii wa kufa, anakwenda kuomba kura msikitini.

Msishirikishe Siasa na Imani za watu.Siasa lazima iwe tofauti na Dini.Mtaendelea kupoteza umaarufu kama mnaendekeza siasa za Kidini,kikabila na kikanda.
 
Back
Top Bottom