ITV Live: Lipumba anamshukia Kikwete ESCROW

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,191
Reaction score
138,528
MwanaUKAWA Prof.Lipumba yupo Live ITV anahojiwa na Fatma Nyangasa,anamshangaa Kitwete badala ya kutetea shirika lake la umma anatetea IPTL,anamtaja Kikwete kama mhujumu uchumi.Anamtaja rais kama mtu anayesimamia na kukinga mafisadi. Anaulizwa maswala mbalimbali na kujibu kwa umakini.Anamtaja Muhongo kama dalali aliyekutana na Rugemalira na kumtaka ataje pesa ngapi apewe ili "akaushe" kuhusu kesi yake.Anasema kuwa ilishauriwa kuwa IPTL ni ya kitapeli,lakini Mkapa chini ya Chenge hawakutekeleza.Amesisitiza kuwa Rais amefanya usanii mkubwa
 
ITV kiboko inaleta watu ambao hawapepesi macho kwa watawala Dr slaa, Leo lipumba
 
'Kikwete si rais wa kuaminika'...by Lissu...kuna uwezekano JK naye alichukua fedha za escrow kwenye rumbesa pale stanbic...
 
Lipumba ana stress, uchaguzi unakaribia na anajua hawezi kushika hata nafasi ya tatu
HAta akishika namba zero ndio adumae kama mlivyodumazwa na fikra za matapeli ,hamuwezi hata kwenda chooni na mkpelekwa hamuwezi hata kuchamba lazima mchambishwe ,wacha Lipumba awachambishe na kuwasugua hadi msafike.
 
amesema rais ni fully msanii...nchi hii hatuna rais tuna mbongo flavor hata wenzetu wanatushangaaa....
 
MwanaUKAWA Prof.Lipumba yupo Live ITV anahojiwa na Fatma Nyangasa,anamshangaa Kitwete badala ya kutetea shirika lake la umma anatetea IPTL,anamtaja Kikwete kama mhujumu uchumi.Anamtaja rais kama mtu anayesimamia na kukinga mafisadi. Anaulizwa maswala mbalimbali na kujibu kwa umakini.Anamtaja Muhongo kama dalali aliyekutana na Rugemalira na kumtaka ataje pesa ngapi apewe ili "akaushe" kuhusu kesi yake.Anasema kuwa ilishauriwa kuwa IPTL ni ya kitapeli,lakini Mkapa chini ya Chenge hawakutekeleza.Amesisitiza kuwa Rais amefanya usanii mkubwa
Kila kikicha LIPUMBA anakuwa mwepesi wa siasa. Haya maneno ya dalali, mara usanii yamekuwa yakitumiwa sana kwenye sakata la ESCROW kutaka kumsafisha REGINALD MENGI kuwa dalali wa vitalu. LIPUMBA naye anaondoka nayo kama yalivyo.
 
'Kikwete si rais wa kuaminika'...by Lissu...kuna uwezekano JK naye alichukua fedha za escrow kwenye rumbesa pale stanbic...
Lipumba ametia shaka kuwa inawezekana rais kapata woga kwa kauli ya Muhongo kuwa nchi itatikisika
 
Leo magwanda mnamuona Lipumba mzuri si mlikuwa mnamtukana huyo, mmesahau?

Amma kweli baniani mbaya kiatu chake dawa. Nawashauri chadema muwe mnamuabudu Lipumba mumfanye mungu wenu, ndiyo aliwasaidia mlipokuwa ICU.
 
Kila kikicha LIPUMBA anakuwa mwepesi wa siasa. Haya maneno ya dalali, mara usanii yamekuwa yakitumiwa sana kwenye sakata la ESCROW kutaka kumsafisha REGINALD MENGI kuwa dalali wa vitalu. LIPUMBA naye anaondoka nayo kama yalivyo.
Ulitaka aondoke na saburi lako ?
 
Back
Top Bottom