ola et labola
Member
- Nov 25, 2014
- 49
- 3
Kama Mh mzito ndio mwizi bas tumakomalie yeye na sio watoto wake
Mnamuoa=mnamuonaLeo magwanda mnamuoa Lipumba mzuri si mlikuwa mnamtukana huyo, mmesahau?
Amma kweli baniani mbaya kiatu chake dawa. Nawashauri chadema muwe mnamuabudu Lipumba mumfanye mungu wenu, ndiyo aliwasaidia mlipokuwa ICU.
Kikwete ni mbongo flavor..... HII NDO POINT ELEWA HILO mpuuz mkubwa weweKila kikicha LIPUMBA anakuwa mwepesi wa siasa. Haya maneno ya dalali, mara usanii yamekuwa yakitumiwa sana kwenye sakata la ESCROW kutaka kumsafisha REGINALD MENGI kuwa dalali wa vitalu. LIPUMBA naye anaondoka nayo kama yalivyo.
Ni kweli na wanahaki ya kutushangaa.huwezi kuwa na Rais mwizi na asiye jiheshimu still akipita barabarani wadanganyika mnajipanga kumpigia makofiamesema rais ni fully msanii...nchi hii hatuna rais tuna mbongo flavor hata wenzetu wanatushangaaa....
Si bora eo unaweza kusema wamekosa panadol, tuliamnishwa wakatimwa Nyerere kuwa Aspro mbili kwa magonjwa 20. Na sisi tumo tu. Kumbe yote tunadanganywa tukiumwa tusiulize dawa tujikandamizze na Aspro mbili kwa magonjwa ishirini.
Leo uansema "wansima " chini ya mbuyu, Neema kubwa hiyo. Wakati huo wa Nyerere chini ya mbuyu unakwenda kuokota mabuyu ufanye lunch.
Hayo yalikuwa wakati wa Nkapa, wala alikuwa hajali Wazanzibari wakiuwana, ana uchungu nao upi? lakini mwenye uchungu nao alipoingia madarakani, tukaona amani imeingia Zanzibar, waliokuwa wanauwana na kuwekeana mavi sasa wanaongoza Zanzibar kwa pamoja, raha mustarehe.
Au huyajuwi hayo?
Si bora eo unaweza kusema wamekosa panadol, tuliamnishwa wakatimwa Nyerere kuwa Aspro mbili kwa magonjwa 20. Na sisi tumo tu. Kumbe yote tunadanganywa tukiumwa tusiulize dawa tujikandamizze na Aspro mbili kwa magonjwa ishirini.
Leo uansema "wansima " chini ya mbuyu, Neema kubwa hiyo. Wakati huo wa Nyerere chini ya mbuyu unakwenda kuokota mabuyu ufanye lunch.
Hakuna mwizi.sasa hayo maazimio aliyofanyia kazi yanahusu nini?Hao wezi ni akina nani? unabwabwaja na kuhororoja bila mpango.
Kikwete kapelekewa maazimio manane na yote kayafanyia kazi, kinachokuuma ni nini?
Heshima pekee kwa Nyerere na Familia yake hawakuwa Mafisadi.Hakuogopa kumwajibisha Fisadi yeyote na alitetea mali ya Umma kwa nguvu zake zote.Daima tutamkumbuka baba yetu wa Taifa la Tanzania.
Hakuna mwizi.sasa hayo maazimio aliyofanyia kazi yanahusu nini?
Mkuu umemaliza.watanzania si wajinga kihivyo though watawala wanafikiri sisi wote bado ni wajinga,la hasha na wajinga wachache wamebaki tu huko ccmHebu acheni kuzunguka mbuyu bhana ile pesa ilikuwa haijalipwa kwa IPTL, ilikuwa bado kuandikiwa vocha na hundi ya kumlipa IPTL kile anachostahili sasa hapo pesa si ya umma? hivi kwa kuwa wakandarasi na wazabuni mbalimbali wanaidai serikali tutasema mapesa yote yaliyoko kwenye akaunti za serikali ni mali ya wazabuni na wakandarasi? enyi watanzania nani kawaloga? Wizara fulani ikwa na madeni na madai mbalimbali ya suppliers akaunti yote inakuwa ni mali ya suppliers? kuna upumbavu na ujinga tunaolishwa kwa kuwa inajulikana watanzania ni wajinga.
Mnamuoa=mnamuona
Hayo yalikuwa wakati wa Nkapa, wala alikuwa hajali Wazanzibari wakiuwana, ana uchungu nao upi? lakini mwenye uchungu nao alipoingia madarakani, tukaona amani imeingia Zanzibar, waliokuwa wanauwana na kuwekeana mavi sasa wanaongoza Zanzibar kwa pamoja, raha mustarehe.
Au huyajuwi hayo?
Azimio la nane: "Bunge linaazimia kwamba Waziri wa Nishati na Madini, Waziri wa Ardhi na Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini na Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya TANESCO wawajibishwe kwa kuishauri mamlaka ya uteuzi kutengua uteuzi wao.Kuna maazimio manane na hakuna hata moja lilionesha kuna wizi au wezi. Kama lipo tuoneshe. link hii hapa:
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Tovuti Rasmi ya Ikulu
Alimwajibisha nani? Njaa mtindo mmoja. Si yeye wala familia yake wala mawaziri wake na familia zao hatukupata kuwaona wala kusikia kuwa hata siku moja walikaa kwenye foleni ya sukari au mchele. Kama si ufisadi huo ni nini?
Familia yake, kuna mmoja alikuwa tapeli. Usitake kulianzisha hapa saa hizi.
Mama wa kuhororoja umeingiliwa account? unaandika hovyohovyo leo
Chupi itakuwa ilikusaidia kupata elimu uliyonayo kama unayo lakini maana unakichwa kigumu kuliko mwamba tabakaKuna maazimio manane na hakuna hata moja lilionesha kuna wizi au wezi. Kama lipo tuoneshe. link hii hapa:
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Tovuti Rasmi ya Ikulu
sio stress tu, hata kama ana kichaa, ukweli lazima usemwe, ukweli wenyewe ni kuwa, Mr.Kikwete ni muhujumu uchumi na mwizi namba moja.Lipumba ana stress, uchaguzi unakaribia na anajua hawezi kushika hata nafasi ya tatu
usiniambie wakati wa nyerere sikuwepo
mimi nimeshuhudia ccm ikila nchi bila huruma huku wananchi wake wakiwa na hali mbaya
na wakati wa nyerere mapato yatokanayo na kodi hayakua makubwa kama siku hizi
kulikuwa hakuna wizi wa bilion 300 kama siku hizi ila wa benja na kikwete yote tumeyashuhudia bora mwinyi alijitahidi kwa kiwango chake
Aufahamu kuhusu sakata la utoroshwaji wa nyara za serikali lililomkumba mke wa mzee mwinyi? Maccm wezi