sijawahi kuona faizafoxy ametukana, mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
na nyie JK ndo mnamuabudu kama mtume mohamadi
UKAWA wanaalikwa ITV ili kutetea Muhongo ang'olewe ili MENGI awe dalali wa vitalu vya gesi, wanyonge hatutakubali ang'oke
huwezi kuona wakati wewe ni kipofu wa macho na akili
Kwenye siasa hakuna rafiki wa kudumu bali maslahi ya kudumu.Wewe japo swala la escrow upo upande wa iptl,ni sababu ya maslahi tu,hope moyoni upo upande wa wananchi(tanesco)Leo magwanda mnamuoa Lipumba mzuri si mlikuwa mnamtukana huyo, mmesahau?
Amma kweli baniani mbaya kiatu chake dawa. Nawashauri chadema muwe mnamuabudu Lipumba mumfanye mungu wenu, ndiyo aliwasaidia mlipokuwa ICU.
kwa hiyo unathibitisha kuwa munamuabudu LIPUMBA?
mimi kipofu kwa sababu umesema wewe au?
ndani ya ccm hakuna mwenye maadili kamwe, mwenyekiti na rais anahangaika kutetea wezi waziwazi, wengine ndani ya chama wahangaika kutoa rushwa kwa wajumbe wa nec na mkutano mkuu ili waweze kuteuliwa kuwa wagombea urais kupitia ccm. Ndani ya ccm rushwa na ufisadi ni watoto mapacha.Looo. Mungu apishe mbali, mbali kabisa. Huko kwa wakosa maadili? Mwenyekiti ndiye, Katibu Mkuu ndiye.
Hao misukule wao ndiyo kabisaaa, usiseme.
Binafsi M/KITI aliniangusha pale alipomtetea mfanyabiashara singasinga,kuliko kutetea fedha za UMMA kupitia Tanesco
haa haa pole mkuu, anza upya kutafuta maana ya matusi. Huyu bibi anatukana watu hapa mchana kweupe!sijawahi kuona faizafoxy ametukana, mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
anajifariji kwenye majukwaa na kwenye media si hana mke.
Looo. Mungu apishe mbali, mbali kabisa. Huko kwa wakosa maadili? Mwenyekiti ndiye, Katibu Mkuu ndiye.
Hao misukule wao ndiyo kabisaaa, usiseme.
haa haa we unayejiita mnyonge umepewa mgao kiasi gani pale escrow? Je katika zile 1600 milioni zilizochotwa na chenge wewe kama mnyonge wa nchi hii umepewa kiasi gan? Usikubali kutumika kutetea jambo usilofaidika nalo.UKAWA wanaalikwa ITV ili kutetea Muhongo ang'olewe ili MENGI awe dalali wa vitalu vya gesi, wanyonge hatutakubali ang'oke
Leo magwanda mnamuoa Lipumba mzuri si mlikuwa mnamtukana huyo, mmesahau?
Amma kweli baniani mbaya kiatu chake dawa. Nawashauri chadema muwe mnamuabudu Lipumba mumfanye mungu wenu, ndiyo aliwasaidia mlipokuwa ICU.
sio ccm mkuu, bali jk na genge lake la ccm maslai, ccm imani hawajapendezwa na huu uharamia na utetezi wa wezi unaofanywa na jk waziwazi.acheni ccm wamkumbatie muhongo watakumbuka shuka kumekucha
sio ccm mkuu, bali jk na genge lake la ccm maslai, ccm imani hawajapendezwa na huu uharamia na utetezi wa wezi unaofanywa na jk waziwazi.
acheni ccm wamkumbatie muhongo watakumbuka shuka kumekucha