FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,802
sasa miccm imefanya maisha magumu enzi za mwinyi na mkapa ndio mkaanza kuweka makufuli baada ya watu kukosa kazi na huyu wa ari mpya ndio anataka kuua watu wasio na hatia huko mtwara
wewe ni mwizi
Enzi za Nyerere ndiyo maisha yalipoanza kuwa magumu tena magumu kweli kweli, watu njaa mtindo mmoja. Tukaanza kukabana mchana kweupe, wizi, magendo, rushwa, utapeli, uongo, ukabaji ndipo ulipoanzia. Benki kuu imechomwa moto fedha yote imeibiwa. Wizara ya mambo ya ndani imechomwa moto, rikodi zote zimeteketezwa. Huyo ndiyo Nyerere.
Mwinyi kaingia kakuta nchi tayari hohe hahe, hajuwi hata aanzie wapi, ndipo alipowaita wazee wa Dar na kuongea nao Diamond, itafute hotuba yake ya "mikuki miwili", unichome upi? utalia ukiisikiliza.
Sasa hivi wakati wa Kikwete kuna neema Tanzania hii.