ITV Live: Lipumba anamshukia Kikwete ESCROW

ITV Live: Lipumba anamshukia Kikwete ESCROW

Mtu yeyote mwizi lazma awatetee wezi wenzake ndo ilivyo kwa sasa ktk serikal hii moja undugu umetawala huwez toa punsheement kwa ndugu zako hivyo lazma uwabebe tu kulinda heshima ndivyo anavyofanya rais wa sasa hivyo nafuu muda wake uishe tu aje hata huyo lipumba atuongoze
 
Hao wezi ni akina nani? unabwabwaja na kuhororoja bila mpango.

Kikwete kapelekewa maazimio manane na yote kayafanyia kazi, kinachokuuma ni nini?
hao wezi wanafahamika sana, wakiongozwa na singasinga, rugemalila na mafisadi papa kina chenge, tibaijuka na hata ngeleja. Jk kawalinda mchana kweupe, mpaka mdomo unatetemeka. Kikwete hakutekeleza maazimio ya bunge, bali aliwasafisha watuhumiwa kwa kuanzisha uchunguzi juu ya uchunguzi. Kikwete kawaangusha watanzania tofauti na matarajio yao mwaka 2005 wakati akiingia madarakani.
 
Toka nazaliwa anagombania yeye had sasa me nmemchoka hana swagger amuwez JK kipenz cha Africa.....Rais hayupo kumtetea IPTL wala Tanesco Rais yupo kusema ukweli na kuagza sheria ifatwe ndommna watumishi wake wanachunguzwa.....takukuru......tume ya maadili na wengne washasimamishwa na kutolewa mnataka nini nyie mavi ya ng'ombe?
wanachunguzwa mpaka lini? Ama kweli mangumbaro wako wengi ndani ya nchi hii.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mshukuru nyerere alituunganisha ila miccm mnatugaw nyerere alifanya kwa nafasi yake kwa kipindi chake hakutaka umugabe au ughadaffi ila nyie mnataka ufalme kabisa ni ziro kuona unashabikia majizi kama unatetea majizi kuanzi leo nakuita mwizi tu potelea mbali hizo ban nizile

wewe FaizaFoxy ni mwizi ni fisadi

Hahahaaaa! Mkuu umefunguka sana, umesema yote leo. Ukiwa uko timamu kichwani ni lazima uone haya kutetea wezi.
Hakika, aibu naona mimi.
Ova
 
Last edited by a moderator:
Kila kikicha LIPUMBA anakuwa mwepesi wa siasa. Haya maneno ya dalali, mara usanii yamekuwa yakitumiwa sana kwenye sakata la ESCROW kutaka kumsafisha REGINALD MENGI kuwa dalali wa vitalu. LIPUMBA naye anaondoka nayo kama yalivyo.

=TataMadiba huwa hamuwezi kuchangia mada kusika Kwa fact zilizoko jukwaani mpk mtaje watu ambao sio bona fide wa issue tajwa. Kama MNA fact za Mengi kufanya udalali wa vitalu fungua uzi ulete data na sio kuwa mnatumia km counter challenge kwenye Uzi za wengine.

Siwezi kuwa adui Kwa kusema ukweli. Hata kama ndivyo bora kuwa adui kuliko kuwa rafiki wa wezi.
 
Alikuunganisha ulikuwa umefarakana na nani?

Nyerere mwenyewe alipokuja Dar alipokewa, kauta watu wako bukweri kabisa.

Hii nchi ilikuwa ni kitovu cha amani na ndiyo maana ikaitwa Dr Es Salaam, imo kwenye Qur'an hiyo.

Toka Zanzibar mpaka Kongo ilikuwa shwari kabisa na watu wakifanya biashara zao bila uvunjifu wa amani.

Dar ndiyo kabisa, tulikuwa hatuna kufuli za milango kabla ya Uhuru.

Kakuta watu wako bukheri chini ya unyonyaji wa Wakoloni? Unaongelea bukheri ipi wewe? Sikuelewi.
Enzi za kudhalilishwa utu wa mtu mweusi unaita bukheri?! Unaongelea Historia ipi wewe kabla ya uhuru?
Ova
 
  • Thanks
Reactions: BAK
hao wezi wanafahamika sana, wakiongozwa na singasinga, rugemalila na mafisadi papa kina chenge, tibaijuka na hata ngeleja. Jk kawalinda mchana kweupe, mpaka mdomo unatetemeka. Kikwete hakutekeleza maazimio ya bunge, bali aliwasafisha watuhumiwa kwa kuanzisha uchunguzi juu ya uchunguzi. Kikwete kawaangusha watanzania tofauti na matarajio yao mwaka 2005 wakati akiingia madarakani.

Walikuibia nini? ile mitambo pale Tegete ilijiweka yenyewe?

Maazimio ya bunge ni manane, lipi halikutekelezwa?

Majuha wachache mmejiangusha wenyewe kwa kuuamini uongo mnaoendelea kulishwa na vyombo vya habari vya Mengi na Mbowe. Kuweni wa kweli.

Hakuna ataekupa umeme wa bure.
 
Alikuunganisha ulikuwa umefarakana na nani?

Nyerere mwenyewe alipokuja Dar alipokewa, kauta watu wako bukweri kabisa.

Hii nchi ilikuwa ni kitovu cha amani na ndiyo maana ikaitwa Dr Es Salaam, imo kwenye Qur'an hiyo.

Toka Zanzibar mpaka Kongo ilikuwa shwari kabisa na watu wakifanya biashara zao bila uvunjifu wa amani.

Dar ndiyo kabisa, tulikuwa hatuna kufuli za milango kabla ya Uhuru.

sasa miccm imefanya maisha magumu enzi za mwinyi na mkapa ndio mkaanza kuweka makufuli baada ya watu kukosa kazi na huyu wa ari mpya ndio anataka kuua watu wasio na hatia huko mtwara

wewe ni mwizi
 
=TataMadiba huwa hamuwezi kuchangia mada kusika Kwa fact zilizoko jukwaani mpk mtaje watu ambao sio bona fide wa issue tajwa. Kama MNA fact za Mengi kufanya udalali wa vitalu fungua uzi ulete data na sio kuwa mnatumia km counter challenge kwenye Uzi za wengine.

Siwezi kuwa adui Kwa kusema ukweli. Hata kama ndivyo bora kuwa adui kuliko kuwa rafiki wa wezi.
Chief tusamehe bure,huku kwetu ccm hatuna hoja,zimeshaisha kitambo tumebaki kuattach watu
 
Si bora leo unaweza kusema wamekosa panadol, tuliaminishwa wakati wa Nyerere kuwa Aspro mbili kwa magonjwa 20. Na sisi tumo tu. Kumbe yote tunadanganywa tukiumwa tusiulize dawa tujikandamize na Aspro mbili kwa magonjwa ishirini.

Leo unasema "wanasoma " chini ya mbuyu, neema kubwa hiyo. Wakati huo wa Nyerere chini ya mbuyu unakwenda kuokota mabuyu ufanye lunch.
huna lolote zaidi ya ubaguzi na chuki.
 
RIP kisha kufa? RIP inatakiwa ukiwa hai. Oh you who believe enter into peace. Siyo ku rest in peace, itamsaidia nini kama uhai wake alikuwa hayuko kwenye peace?

Jakaya hafanyi vitu kwa kukurupuka, hufanya vitu vyake kiumakini mkubwa sana.

Jinsi unavyokomaa kumtetea JK hata asipostahili nina hakika kama Bi Salma angekuwa member hapa angeku pm kukuuliza kulikoni? Lazima angekuwa na mashaka kuwa wewe ni nyumba ndogo hata kama umri umekutupa mkono.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Walikuibia nini? ile mitambo pale Tegete ilijiweka yenyewe?

Maazimio ya bunge ni manane, lipi halikutekelezwa?

Majuha wachache mmejiangusha wenyewe kwa kuuamini uongo mnaoendelea kulishwa na vyombo vya habari vya Mengi na Mbowe. Kuweni wa kweli.

Hakuna ataekupa umeme wa bure.

Mtu pekee ambaye angeweza kutamka kauli hizi na nikamwelewa ni mke tu wa Seth Singh, lakini kwa wewe naona kama umetumwa tu.
Sijui kama kuna wakati huwa unafikiria shida za wenzio. Sijui kama unafikiria maumivu ya wenzio wanaoteseka kutokana na wizi wa hawa unaowatetea.
Nitajitolea kukutembeza uijue Tanzania. Nitarudi February ukiwa tayari niPM.

Shida yako shida yangu. Ukweli ubaki kuwa ukweli.

Tulikuwa na shida ya umeme na hawahawa mnaosema leo hii ni wezi ndiyo waliokuja kuwekeza wakati tuna shida.

Huyo Sethi ni mwekezaji kutokea Iringa, kama hakuwekeza Tanzania atawekeza kwingine, hakuanza leo, toka enzi za Nyerere wazee wake walikuwa na kampuni Iringa ya ukandarasi ikiitwa Ruaha Concrete Company RCC.

Ni mtu wa kawaida sana wala kilemba na ndev zake sisikutishe hiyo ni imani yake. Na hana wizi huyu, ni mfanya biashara, alikuta urithi wa wazee wake kauendeleza sasa umekuwa wa Kimataifa, ni faraja kubwa sana kwa Tanzania kwa kijana mfanya biashara kutokea Iringa kuikuza biashara na kuwa wa Kimataifa. Inabidi tujivunie. Na kampuni yake imeinunuwa Mechmar na VIP kwa makubaliano maalum na wamewalipa.

Nilidhani Watanzania tungejivunia kuwa kijana wetu wa Kitanzania kaweza kujitutumuwa, kutumia akili, kukopa, kuhangaika na kuweza kuinunuwa hiyo mitambo ambayo tulishindwa kama taifa kuinunuwa wenyewe wakati wa shida.

Kainunuwa, katutowa kwenye janaga la kuwa mitambo ya watu wa nje, kaahidi kuwa anaibadilisha kuifanya ya gas mwaka huu huu unaokuja kesho kutwa 2015 na kuufanya umemem ushuke hadi kufikia senti 8. tena si kwa maneno kwa maandishi na miakataba amabapo hakuna kampuni nyingine yeyeote iliyowahi kufanya hivyo hadi hii leo.

Leo anakuja mtu kuwajaza ujinga kuwa huyu ni mwizi na wewe bila kufikiri hata chembe unakubali tu.

Sethi alikuibia nini wewe?

Ile mitambo pale Tegeta ni yako? uliinunuwa wewe? au iliinunuwa Serikali yako?

Huyu Sethi ni wakusaidiwa, huyu si wa kusakamwa, katutoa kwenye shimo kwa kuinunuwa hiyo mitambo kutoka kwa wawekezaji ambao hawana uchungu na hii nchi hata chembe na kakubali kushusha bei ya umeme na kakuballi kubeba madeni yote yatakayojitokeza.

Huyu ni mzalendo huyu, huyu ni wa kubebwa na kuenziwa na kupewa kila msaada anaouhitaji si wakunyanyaswa hata kidogo.

Dhambi ya Sethi ni nini?
 
Huo ndiyo ukweli.
Kweli kabisa hata mwenezi mwanadiwani ametutaarifu hapa jamvini ya kwamba JK ameshakutana na Kardinali Pengo yule wa mkombozi hivi karibuni. Hivi huyu Harun Lipumba hana asili ya umisheni kweli? maana alikuwa mkali sana, anyway ingali miezi tisa tu ova!
 
Jinsi unavyokomaa kumtetea JK hata asipostahili nina hakika kama Bi Salma angekuwa member hapa angeku pm kukuuliza kulikoni? Lazima angekuwa na mashaka kuwa wewe ni nyumba ndogo hata kama umri umekutupa mkono.

Sasa umekosa hoja unaanza kuchakaza.
 
Kuna anaeichukia rushwa zaidi ya Kikwete? tunaoona kaiunda TAKUKURU na leo inazagaa wilaya zote, tumeona mpaka mawaziri wakiswekwa jela na Kikwete, nani wa kabla yake alithubutu hayo?
haa haa kikwete huyuhuyu wa kutetea wizi wa escrow ama! Siamini macho yangu, labda ni mwingine na sio huyu aliyeingizwa na mtandao mwaka 2005 chini ya kina lowassa na rostam aziz!
 
huna lolote zaidi ya ubaguzi na chuki.

Ubaguzi kwa nani? chuki kwa nani? wewe usiye na ubaguzi na usiye na chuki ungeshadidia ujinga na uongo unaoenezwa humu kwa Kikwete? Kosa lake nini? kukataa kumtaifisha Sethi? licha ya sababu alizotowa kwenye mkutano wake basi ana sababu nyingine moja tu inayomfanya asiweze kumtaifisha Sethi, nayo ni kwa uzalendo wa Sethi tu.

Mnataka kusema nini nyinyi? dhamira zenu zinawasuta. Mnakuja na uongo wa kila aina humu, na huo si ubaguzi?
 
haa haa kikwete huyuhuyu wa kutetea wizi wa escrow ama! Siamini macho yangu, labda ni mwingine na sio huyu aliyeingizwa na mtandao mwaka 2005 chini ya kina lowassa na rostam aziz!

Huyo mwizi wa escrow ni nani? mimi nnawaona nyinyi ndiyo mmekuwa wezi wa fadhila.
 
Back
Top Bottom