ITV Live: Lipumba anamshukia Kikwete ESCROW

ITV Live: Lipumba anamshukia Kikwete ESCROW

Naona somo unaelewa kwa nini serikali yako ya ccm inashindwa kuwachukulia hatua hawa wapuuzi wanaojiita wachungaji
ccm ukiwa mtenda maovu ndio unakumbatiwa hawa wachungaji ni wa kupotezwa gerezani serikali yako inayoongozwa na rais dhaifu ndio imeshindwa kudhibiti
-mauaji ya albino
-rushwa
-ufisadi
-wizi
-ujambazi

sasa kwa kuwa upo hapa unawatetea hao majizi na mauaji wewe ni mwizi na muuaji pamoja na wachungaji uchwara wote hamfai
ndio maana mnajaza akina
Lukuvi wanaohubiri udini bungeni bado unashabikia miccm
mafisadi ndio waandishi wa katiba
wewe ni mwizi

Wangekuwa hawakamatwi ungeona hao wachungaji wanaotumia viungo vya albino wakishikwa? hujasoma? hivi kanisani huwa mnavitumia viungo vya albino kufanyia nini?

Hayo mengine yote porojo na nimeshayajibu, kama ni wizi ujambazi, rushwa, ufisadi, uongo, uvivu, yalikithiri wakati wa Nyerere kuweka misingi mibovu ya nchi.

Chakula hakuna, ufanye nini ukae na njaa? unakwenda RTC unahonga unapewa chakula, hapo ndipo rushwa ilipoanza.

Nguo hamna unafanya nini? unakwenda Kenya unanunuwa unazipitisha kimagendo, ukishkwa unahonga khanga doti moja unaachiwa, hapo ndipo mianya ya rushwa ilipoanzia.

Watu wanakamatwa hovyo wanapelekwa vijiji vya ujamaa, huko shida, porini, wanaoumwa na nyoka haya wanaliwa na simba haya, wanaokufa kwa kukosa matibabu haya. Wengine wanatoroka na kuanza ujambazi.

Huo ndiyo wakati wa Nyerere.
 
Kuna gari yenye namba za serikali ilikuwa imebeba mifuko ya sandarusi zilizojaa mihela toka Stanbic Bank ilielekea ikulu. takriban bilioni 10 zilipelekwa huko.
 
Ninavyo vyote mkononi lete hiyo elimu; usikose tu kuelezea ni kwa nyaraka gani pesa hutoka kwenye akaunti ya serikali kwenda kwenye akaunt ya mzabuni, nani anaziandaa, nani anazisani hadi pesa itinge kwa mtoa huduma na kama akaunti nzima anaimiliki mtoa huduma tangu pale anapokuwa mdai/mdeni

Chanzo cha Escrow a/c ni kwamba TANESCO ililalamika kuwa IPTL inamlipisha TANESCO hela kubwa sana.wakaenda mahakamani Tanesco ikashinda,upo hapo?

Mahakama ikashauri kuwa waje wapige mahesabu upya(re-calculation) ili gharama ipungue wagawane ile hela ya escrow na gharama ipunguzwe kwa Tanesco.Mara ya kwanza IPTL ilitumia gharama zote za uwekezaji kama ndio principle jambo ambalo kisheria si sahihi,inatakiwa itumike ile hela ambayo IPTL walianzia kazi ambayo ni elfu 50.upo hapo?

sasa IPTL walikuwa wanatumia principle kubwa ambayo kimsingi wakikopa benk hela kuja kufanya shughuli yoyote wao ndo wanaitumia kama principle.hata kama ni wewe umenunua shati la elfu 20 kwa kubandika hela kidogo kidogo dukani kila ukileta elfu 5 mwenye duka anakwambia shati limepanda bei litakua elfu 30,ukileta tena elfu 10 anakwambia shati litauzwa elfu 60.utaliweza hilo shati?kumbe yeye anaenda benk kukopa hela ili aongeze maduka mengi zaidi.anapandisha gharama apendavyo .utaweza hiyo biashara mkuu?kumbuka kuwa IPTL inalipwa capacity charge hata kama ikizima mitambo,na bado serikali inainunulia mafuta mazito ya kuendeshea mitambo,sasa ndo IPTL.

Ile pesa ya Escrow ni capacity charge,capacity charge kisheria inalipa KODI.
kwahiyo walitakiwa wakokotoe upya ili pesa nyingine irudi Tanesco kama mahakama ya biashara ya kimataifa ilivyosema kwa kutumia mtaji wa elfu 50.kwahiyo hapo utaona kuwa hela nyingi sana ingerudi Tanesco kwakua mwanzo walitumia mamilioni ya pesa kama mtaji badala ya elfu 50.
SUMMARY.
1.TANESCO walitakiwa warudishiwe pesa zao nyingi sanaaaaa kutoka mule kwenye escrow a/c.
2.inayobaki ndio mali ya IPTL ambayo pia ilitakiwa ilipe kodi ya VAT.
3.Tanesco sasa ilitakiwa ianze kulipa gharama ndogo kwavile re-calculation inakuwa ni ndogo Tsh 50,000.
UMENISOMA?hivyo ndivyo nilivyoelewa.sasa niambie,ESCROW ni pesa ya nani?
 
ITV kiboko inaleta watu ambao hawapepesi macho kwa watawala Dr slaa, Leo lipumba

Wakina Kinana, Nape na Makonda huwa wanaitwa ITV lakini huwa wanaingia mtini wanaishia kujipeleka TBC kwa kuwa wanajua waandishi wa huko uhoji maswali yanayoegemea CCM tofauti na ITV.
 
sijawahi kuona faizafoxy ametukana, mnyonge mnyongeni haki yake mpeni

hatukani ila nimdini na mbaguzi,nijuavyo mimi watanzania wote ni ndugu,hatna sababu ya kutukana dini za wenzetu wala kubaguana kidini,na hapa jamvini tunatakiwa tubishane kwa hoja si kwa ubaguzi wa kidini,kikabila wala kiitikadi,hoja ndio ijadiliwe,tukifanya hivyo tutaweza kupambanua mawao ya kila mmoja na kuona ukweli upo wapi
 
Ninavyo vyote mkononi lete hiyo elimu; usikose tu kuelezea ni kwa nyaraka gani pesa hutoka kwenye akaunti ya serikali kwenda kwenye akaunt ya mzabuni, nani anaziandaa, nani anazisani hadi pesa itinge kwa mtoa huduma na kama akaunti nzima anaimiliki mtoa huduma tangu pale anapokuwa mdai/mdeni

Sijui sana utendaji wa BOT ebu nifahamishe BOT inaruhusiwa mtu binafsi au Kampuni kufungua Account huko?
 
Kwa hilo nawaunga mkono, huwezi kupata wadhifa wa kuongoza watu zaidi ya Million 45 bila ridhaa ya Mwenyeezi Mungu.

Na inawezekana Mungu alifanya makusudi ili kupitia Kikwete CCM ianguke na mambo mengi ya hovyo juu ya CCM yabainike ndani ya utawala wake.
 
Chanzo cha Escrow a/c ni kwamba TANESCO ililalamika kuwa IPTL inamlipisha TANESCO hela kubwa sana.wakaenda mahakamani Tanesco ikashinda,upo hapo?

Mahakama ikashauri kuwa waje wapige mahesabu upya(re-calculation) ili gharama ipungue wagawane ile hela ya escrow na gharama ipunguzwe kwa Tanesco.Mara ya kwanza IPTL ilitumia gharama zote za uwekezaji kama ndio principle jambo ambalo kisheria si sahihi,inatakiwa itumike ile hela ambayo IPTL walianzia kazi ambayo ni elfu 50.upo hapo?

sasa IPTL walikuwa wanatumia principle kubwa ambayo kimsingi wakikopa benk hela kuja kufanya shughuli yoyote wao ndo wanaitumia kama principle.hata kama ni wewe umenunua shati la elfu 20 kwa kubandika hela kidogo kidogo dukani kila ukileta elfu 5 mwenye duka anakwambia shati limepanda bei litakua elfu 30,ukileta tena elfu 10 anakwambia shati litauzwa elfu 60.utaliweza hilo shati?kumbe yeye anaenda benk kukopa hela ili aongeze maduka mengi zaidi.anapandisha gharama apendavyo .utaweza hiyo biashara mkuu?kumbuka kuwa IPTL inalipwa capacity charge hata kama ikizima mitambo,na bado serikali inainunulia mafuta mazito ya kuendeshea mitambo,sasa ndo IPTL.

Ile pesa ya Escrow ni capacity charge,capacity charge kisheria inalipa KODI.
kwahiyo walitakiwa wakokotoe upya ili pesa nyingine irudi Tanesco kama mahakama ya biashara ya kimataifa ilivyosema kwa kutumia mtaji wa elfu 50.kwahiyo hapo utaona kuwa hela nyingi sana ingerudi Tanesco kwakua mwanzo walitumia mamilioni ya pesa kama mtaji badala ya elfu 50.
SUMMARY.
1.TANESCO walitakiwa warudishiwe pesa zao nyingi sanaaaaa kutoka mule kwenye escrow a/c.
2.inayobaki ndio mali ya IPTL ambayo pia ilitakiwa ilipe kodi ya VAT.
3.Tanesco sasa ilitakiwa ianze kulipa gharama ndogo kwavile re-calculation inakuwa ni ndogo Tsh 50,000.
UMENISOMA?hivyo ndivyo nilivyoelewa.sasa niambie,ESCROW ni pesa ya nani?
Hizi ni blaablaa tunazozijua ambazo wakwapuaji huziongea; mahakama ikisema ulipwe maana yake unakwenda nyumbani kwa mdaiwa akutolee pesa kwenye ATM? Hii ni wizara ya serikali na malipo yote huhitaji viambatisho vya nyaraka kwa ajili ya kuandaa malipo. Nimekuuliza amount ya madai kwenye hizo nyaraka huisemi hata mimi najua recalcullation ilikuwa bado sasa hizo nyaraka za madai zimeebeba amount gani? na hundi ingeandkwa moja? si zingeandikwa mbili moja ya makato ya kodi na nyingine ya balance ya muhusika? na je hiyo hundi ingekwenda kukomba kiasi chote katika akaunt? jibu mambo ya msingi acha ubabaishaji wa vilaza wa kawaida au hujui utaratibu wa kuandaa malipo ya serikali?
 
Kuna gari yenye namba za serikali ilikuwa imebeba mifuko ya sandarusi zilizojaa mihela toka Stanbic Bank ilielekea ikulu. takriban bilioni 10 zilipelekwa huko.

Zilikuwa mbili si moja, ni zile fuso chakavu zilizonunuliwa kwa millioni 600.
 
Kwa hilo nawaunga mkono, huwezi kupata wadhifa wa kuongoza watu zaidi ya Million 45 bila ridhaa ya Mwenyeezi Mungu.
Na Mungu kweli kawaamsha Watanzania wasifanye tena kosa la kuchagua mtu kwa tabasamu lake. Hata kwenye Biblia Mungu alikuwa anawadhibu Wayahudi kwa kuwapa viongozi hovyo mfano wa Kikwete.
 
Kajichanganya sana Prof Lipumba huwezi amini economist mzima hawezi kujua kuwa hizo hela sio za umma ila element ya kodi ambayo haina utata Mh Rais ana kosa gani Lipumba tafuta kete nyingine ya kisiasa sio Escrow
 
UKAWA wanaalikwa ITV ili kutetea Muhongo ang'olewe ili MENGI awe dalali wa vitalu vya gesi, wanyonge hatutakubali ang'oke

Unawakilisha wanyonge gani we tapeli? Kajinyonge basi.
 
Back
Top Bottom