ITV kituo kitafungwa au mtaingiza Nchi katika machafuko

HATARI.,.

Akisoma maoni ya kipima joto 'JE WANANCHI WANAOVAMIA WATU WA USALAMA(MAPOLISI) NA KUWAPIGA WANAELEWA HATARI YAKE.?'

Msomaji wa habari akasoma ujumbe wa Raia mmoja aliesema ''WAPIGWE TU, MBONA WAO WANATUPIGA''

hii ni hatari kwa Taifa hasa kipindi hiki tunapoelekea 2015.

Ikumbukwe KENYA ni kauli chafu kama hizi kwa baadhi ya vyombo vya habari viliingiza ktk machafuko.

TAFADHALINI ITV MSITUINGIZE KTK MAJANGA. HARIRINI JUMBE KABLA YA KUZISOMA.

MSG SENT.

Acha uk*ma wewe
 
We si uendelee kuangalia Tbc
 
vyombo vya ulinzi lazima viheshimiwe hii jeuri wajinga wataumia mtapigwa sana na mtabaki vilema awamu hii kipigo kianzie kwa viongozi wakuu wa maandamano kama iliyotokea kwa Lipumba kupindi cha Mkapa...kwa sababu huu uchochezi unaofanywa una hatarisha amani na shughuli zetu mbalimbali kwa ujumli uchumi wa wajasiriamali utayumba
 
Watu kutoa maoni kuna kosa gani?? Inaelekea umeathiriwa na sera za kisoshalist za kukandamiza uhuru wa kutoa maoni. Nchi ikiingia machafukoni tuanze na hao viongozi wanaosema wapigwe tu.
 
Kuna watu maboya sijapata kuona. Yaani wewe kwa akili yako unataka ITV wapotoshe kwa kuhariri maoni ya watu?
Hivi unajua kweli Taratibu na sheria za kuhabarisha au kurupuka tu kama mgonjwa wa kuhara anayewahi chooni?
Sasa na Mimi nasema wapigwe tu, tumechoka.
Ova

Bora umemwambia maana wao wamezoea kubadilisha ukweli kuwa uongo
 
its easier to trace some of the guys here we have seen it and no one can keep quite ...lugha chafu humu zitawatoka puani kwanza kwa sasa wanahitajika watu wa kutolea mfano kuhusu matumizi mabaya ya mtandao
 
Ndg jaribu kuishirikisha akili uweke ushabiki pembeni. Kazi ya mhariri ni nini.

Ivi unafikiri kwa huo ujumbe kusomwa na mtangazaji mapolisi wameuchukuliaje.?
Acha uchokonozi ndugu!!!!!
Nchi hii kila aliye na akili anaona na kusikia waaaazi yanayoendelea!!!!

Haihitaji kituo cha habari kujua kuwa kuna baadhi ya watendaji wanaudhi jamii tena saana tu!!!
 
vyombo vya ulinzi lazima viheshimiwe hii jeuri wajinga wataumia mtapigwa sana na mtabaki vilema awamu hii kipigo kianzie kwa viongozi wakuu wa maandamano kama iliyotokea kwa Lipumba kupindi cha Mkapa...kwa sababu huu uchochezi unaofanywa una hatarisha amani na shughuli zetu mbalimbali kwa ujumli uchumi wa wajasiriamali utayumba

Vitisho na ukatili havijawahi kuwa dawa mbele ya jamii!!!!!
Inatakiwa akili, busara, haki, sheria, wajibu, kanuni na taratibu! !!!

Hii inataikwa juu mpaka chini tena kwa uwazi hii ndio dawa ya kudumu!!
 
HATARI.,.

Akisoma maoni ya kipima joto 'JE WANANCHI WANAOVAMIA WATU WA USALAMA(MAPOLISI) NA KUWAPIGA WANAELEWA HATARI YAKE.?'

Msomaji wa habari akasoma ujumbe wa Raia mmoja aliesema ''WAPIGWE TU, MBONA WAO WANATUPIGA''

hii ni hatari kwa Taifa hasa kipindi hiki tunapoelekea 2015.

Ikumbukwe KENYA ni kauli chafu kama hizi kwa baadhi ya vyombo vya habari viliingiza ktk machafuko.

TAFADHALINI ITV MSITUINGIZE KTK MAJANGA. HARIRINI JUMBE KABLA YA KUZISOMA.

MSG SENT.

hili tu ndo limekufikirisha na kudhan kuwa litaipeleka nchi machafukoni????maneno alosema Pinder bungeni kupitia tbc???
 
unafanya kazi TBC nini mkuu? Manake nyie mmezoea tu kuficha ficha..
 
HATARI.,.

Akisoma maoni ya kipima joto 'JE WANANCHI WANAOVAMIA WATU WA USALAMA(MAPOLISI) NA KUWAPIGA WANAELEWA HATARI YAKE.?'

Msomaji wa habari akasoma ujumbe wa Raia mmoja aliesema ''WAPIGWE TU, MBONA WAO WANATUPIGA''

hii ni hatari kwa Taifa hasa kipindi hiki tunapoelekea 2015.

Ikumbukwe KENYA ni kauli chafu kama hizi kwa baadhi ya vyombo vya habari viliingiza ktk machafuko.

TAFADHALINI ITV MSITUINGIZE KTK MAJANGA. HARIRINI JUMBE KABLA YA KUZISOMA.

MSG SENT.
Hivi pinda alisemaje kipindi kile? Kama nimesahau vile mtoa thread tukumbushe,halafu sijui kama unakumbuka au ulisikia Komba wa bungeni alisema tatu zikipita ataingia msituni je ataenda kula matunda au?
 
Vitisho na ukatili havijawahi kuwa dawa mbele ya jamii!!!!!
Inatakiwa akili, busara, haki, sheria, wajibu, kanuni na taratibu! !!!

Hii inataikwa juu mpaka chini tena kwa uwazi hii ndio dawa ya kudumu!!

sawa ni kweli lakini hizo njia hawa hawataki ..ndani ya mioyo yao wanachotaka ni fujo tu na sio kingine ndo maana hawataki kwenda kwenye vyombo vya sheria
 
HATARI.,.

Akisoma maoni ya kipima joto 'JE WANANCHI WANAOVAMIA WATU WA USALAMA(MAPOLISI) NA KUWAPIGA WANAELEWA HATARI YAKE.?'

Msomaji wa habari akasoma ujumbe wa Raia mmoja aliesema ''WAPIGWE TU, MBONA WAO WANATUPIGA''

hii ni hatari kwa Taifa hasa kipindi hiki tunapoelekea 2015.

Ikumbukwe KENYA ni kauli chafu kama hizi kwa baadhi ya vyombo vya habari viliingiza ktk machafuko.

TAFADHALINI ITV MSITUINGIZE KTK MAJANGA. HARIRINI JUMBE KABLA YA KUZISOMA.

MSG SENT.

Tena kama hawa wa kituo cha hapa mwenge wapigwe tu!walimkamata jamaa yangu juzi kufika kituoni kumbe alikuwa na pombe aina viroba mfukoni,polisi wakavichukua wakavinywa vyote.narudia tena wapigwe tuuuu
 
Ni watu wenye fikra finyu ndio wenye sera za upiganaji.

ITV ni Kituo cha TV cha mapunguani wasio na muono. Kuanzia mwenye kituo mpaka waendeshaji vipindi, wote finyu.
 
Hizo ni cheche za wananchi tumeichoka serikali sikivu.sasa ITV ndo imetoq maoni au mwanachi kwanza leo waandishi wa habari wamefunguliwa mbwa na polisiccm.

Kiukweli, pakitokea machafuko makubwa na mauaji,ITV hawatakwepa lawama.
 
hatari.,.

Akisoma maoni ya kipima joto 'je wananchi wanaovamia watu wa usalama(mapolisi) na kuwapiga wanaelewa hatari yake.?'

msomaji wa habari akasoma ujumbe wa raia mmoja aliesema ''wapigwe tu, mbona wao wanatupiga''

hii ni hatari kwa taifa hasa kipindi hiki tunapoelekea 2015.

Ikumbukwe kenya ni kauli chafu kama hizi kwa baadhi ya vyombo vya habari viliingiza ktk machafuko.

Tafadhalini itv msituingize ktk majanga. Haririni jumbe kabla ya kuzisoma.

Msg sent.

ulitaka itv wa-edit hayo maoni na kuandika yanayowapendeza watawala?
 
Acha uk*ma wewe

HATARI.,.

Akisoma maoni ya kipima joto 'JE WANANCHI WANAOVAMIA WATU WA USALAMA(MAPOLISI) NA KUWAPIGA WANAELEWA HATARI YAKE.?'

Msomaji wa habari akasoma ujumbe wa Raia mmoja aliesema ''WAPIGWE TU, MBONA WAO WANATUPIGA''

hii ni hatari kwa Taifa hasa kipindi hiki tunapoelekea 2015.

Ikumbukwe KENYA ni kauli chafu kama hizi kwa baadhi ya vyombo vya habari viliingiza ktk machafuko.

TAFADHALINI ITV MSITUINGIZE KTK MAJANGA. HARIRINI JUMBE KABLA YA KUZISOMA.

MSG SENT.

We vipi ?eti majanga loh
 
Waandishi MLITAKIWA KUJIPANGA KISHA MPATE MAELEKEZO KWA WAHUSIKA.
PINDI MKIFIKA HAPO MKAE WAPI ILI KUSUBIRI KUPEWA TAARIFA YA KILICHOJIRI.
MSIWE MNAJIPELEKA MNAVYOTAKA TU, SABABU ETI MWANA HABARI.
UTARATIBU HURATIBIWA.
KUKIMBILIA NANI KASEMA NN NA NANI KAJIBU NN, MUHUSIKA KAFIKA ANACHEKA KAONDOKA ANACHEKA. NYINYI MNALIA, POLE SANAAA.
JITAMBUENI KTK KAZI YENU

Wewe wa ajabu kweli! Waandishi hata wale wanaoandika habari za vita wanafika mstari wa mbele na wanaheshimika na pande zote. Hawakai maofisini kutegemea habari za kulishwa sasa itakuwa tukio la kuhojiwa Mbowe? Sasa mtafikia wakati hata mpirani mtawaambia waandishi wasubiri nje mtawapa matokeo waandike.
 
HATARI.,.

Akisoma maoni ya kipima joto 'JE WANANCHI WANAOVAMIA WATU WA USALAMA(MAPOLISI) NA KUWAPIGA WANAELEWA HATARI YAKE.?'

Msomaji wa habari akasoma ujumbe wa Raia mmoja aliesema ''WAPIGWE TU, MBONA WAO WANATUPIGA''

hii ni hatari kwa Taifa hasa kipindi hiki tunapoelekea 2015.

Ikumbukwe KENYA ni kauli chafu kama hizi kwa baadhi ya vyombo vya habari viliingiza ktk machafuko.

TAFADHALINI ITV MSITUINGIZE KTK MAJANGA. HARIRINI JUMBE KABLA YA KUZISOMA.

MSG SENT.

nimekuweka kapuni kwa muda.
wakati kauli kama hiyo ilitolewa na kiongozi mkubwa tena ndani ya chombo wanacho kiita kitukufu. sembuse redio?????
 
Polisi ingefaa cku moja tu wapumzike.
Kama hamtamkuta kaolewa yeye mkewe mkwe hata mjukuu halafu mnaangaliana!
NYINYI KULA KULALA WA MJINI ROPOKENI TU. TAZAMENI WASAFIRI KWA NJIA YA BARABARA KANDA YA MAZIWA MAKUU WATU WANAVYOFANYIWA.
ULINZI WA TAIFA UIMARISHWE KWA GHARAMA YE YOTE!
 
Back
Top Bottom