ITV kituo kitafungwa au mtaingiza Nchi katika machafuko

HATARI.,.

Akisoma maoni ya kipima joto 'JE WANANCHI WANAOVAMIA WATU WA USALAMA(MAPOLISI) NA KUWAPIGA WANAELEWA HATARI YAKE.?'

Msomaji wa habari akasoma ujumbe wa Raia mmoja aliesema ''WAPIGWE TU, MBONA WAO WANATUPIGA''

hii ni hatari kwa Taifa hasa kipindi hiki tunapoelekea 2015.

Ikumbukwe KENYA ni kauli chafu kama hizi kwa baadhi ya vyombo vya habari viliingiza ktk machafuko.

TAFADHALINI ITV MSITUINGIZE KTK MAJANGA. HARIRINI JUMBE KABLA YA KUZISOMA.

MSG SENT.

f.a.la wewe
 
Kuna watu maboya sijapata kuona. Yaani wewe kwa akili yako unataka ITV wapotoshe kwa kuhariri maoni ya watu?
Hivi unajua kweli Taratibu na sheria za kuhabarisha au kurupuka tu kama mgonjwa wa kuhara anayewahi chooni?
Sasa na Mimi nasema wapigwe tu, tumechoka.
Ova

wewe una hara kwa kutumia kinywa.
 
Acha woga mkuu,hivyo ni vijineno vidogo sana ktk kulipeleka taifa ktk machafuko. Ma-CCM inapotoa mijineno mikali iliyojaa dharau,chuki na uchochezi mnapiga kimya.?!
 
kijana mwenzangu msakatonge nakushangaa sana,pinda aliposema "wapigwe tu"alikuwa haliingizi taifa katika machafuko?mbona kijana haujitambui?pinda alichokisema live nani alikihariri?
Tatizo letu Siasa imeharibu mifumo yote ya kiusalama na ulinzi so mie naona wapigwe tu maana nao wanafanya kazi kisiasa sana wanaua raia bila hatia sasa watu nao wamechoka!!"" WATAPIGWA SANA TU""""
 
Watakaoandamana kifarafara kama hawa chadema wadugwe tuuuuuuu. Tena wavunjwe miguu ili wasiandamane maishani.
 
sitapenda kuandika mengi hila fuatilien polisi wa tz na nchi nyingine utana tofauti. Uganda au Kenya ukileta jeuri inakula kwako, sisi hapa 2naishi nao vzuri ukilinganisha ni nchi nyingne.
 
ushabiki wa kipuuz utaipeleka nchi pabaya
 
Huyu sio mwoga ila ni mvivu wa kufikiri mana hayo ni maoni ya wananchi,kama ni hivo then Jf nayo yabd ifungwe mana inaongea mengi sana.

Usianzishe uzi ili ufahamike au upate umaarufu.Maoni kama hayo kamwe hayawezi kuleta machafuko
 
HATARI.,.

Akisoma maoni ya kipima joto 'JE WANANCHI WANAOVAMIA WATU WA USALAMA(MAPOLISI) NA KUWAPIGA WANAELEWA HATARI YAKE.?'

Msomaji wa habari akasoma ujumbe wa Raia mmoja aliesema ''WAPIGWE TU, MBONA WAO WANATUPIGA''

hii ni hatari kwa Taifa hasa kipindi hiki tunapoelekea 2015.

Ikumbukwe KENYA ni kauli chafu kama hizi kwa baadhi ya vyombo vya habari viliingiza ktk machafuko.

TAFADHALINI ITV MSITUINGIZE KTK MAJANGA. HARIRINI JUMBE KABLA YA KUZISOMA.

MSG SENT.
Na wewe ni great thinker
 
Usiangalie upande mmoja wa shilingi,hao Kenya unaowasema sasa hivi unawaonaje?bado machafuko yanaendelelea?mm naona Kenya sasa wanaishi kwa kuheshimiana. Sio wakati wote mkafikia mwafaka mezani,angalia CUF na CCM kule Zanzibar!Kinachokusumbua wewe ni woga na ubinafsi,hauko tayari kujitoa kwa manufaa ya kizazi kijacho wakiwepo wanao. Kama Israel wangekuwa na uoga na ubinafsi kama ww wasingeishi katikati ya maadui mataifa 11 ya kiarabu!TAFAKARI.
 
HATARI.,.

Akisoma maoni ya kipima joto 'JE WANANCHI WANAOVAMIA WATU WA USALAMA(MAPOLISI) NA KUWAPIGA WANAELEWA HATARI YAKE.?'

Msomaji wa habari akasoma ujumbe wa Raia mmoja aliesema ''WAPIGWE TU, MBONA WAO WANATUPIGA''

hii ni hatari kwa Taifa hasa kipindi hiki tunapoelekea 2015.

Ikumbukwe KENYA ni kauli chafu kama hizi kwa baadhi ya vyombo vya habari viliingiza ktk machafuko.

TAFADHALINI ITV MSITUINGIZE KTK MAJANGA. HARIRINI JUMBE KABLA YA KUZISOMA.

MSG SENT.

Wewe unayeombea ITV ifungwe na wengine wote wenye mawazo kama yako ndio mnaingiza nchi kwenye machafuko.

Waacheni watu watoe madukuduku yao,yasipotoka kwa njia hii, yatatoka kwa machafuko.

Fikiria unachokiandika.
 
Duniani Tunapita,dunia Ni Njia Tu Makazi Mbinguni,hakuna Mbwa Wa Kunionea Njiani Me Mwenyewe Siwapendi Balaa,WAPIGWE TU.
 
Not joking plz Or else delete d msg. God has seen U struggling with sum thing. God says its over. A blessing is coming ur way. If u believe in God send dis msg on, plz don't ignore it, u r being tested. God is going 2 fix two things (BIG) 2nite in ur favor. If u believe in God, DROP EVRYTHIN & PASS IT ON. TOMRW WIL B D BEST DAY OF UR LIFE. DONT BREAK DIS CHAIN. SEND DIS TO 14 FRIENDS IN 10Mins!! ....
 
Back
Top Bottom