blogger
JF-Expert Member
- Mar 13, 2012
- 13,416
- 16,789
- Thread starter
- #21
Kweli mahaba taabu. Mtu mzima unajisemea maneno ka ch.oo? Kifungwe kimesema nini?? Kituo huwa hakisemi, watu ndo wamesema. Hata kama hamtatangaza, elewa kuwa watu sasa wamechokaaaaa. Chokochoko mtafanya, mtaua, mtapiga na kulemaza lakini, nia ya moyo haifutwi kwa mtutu, kabla hamjaharibu zaidi, leteni maelewano. Kura humaliza mambo yoote.
Jaribu kutumia akili.