The activist
Senior Member
- Aug 9, 2014
- 113
- 67
Unapaswa kuelewa kuwa hayo ni maoni ya wananchi na si msimamo wa ITV.Ulitaka maoni yawe ya aina gani? Je unamshauri mtangazaji achakachue maoni ya wananchi kama inavyo fanyika sasa Dodoma?
Ndg jaribu kuishirikisha akili uweke ushabiki pembeni. Kazi ya mhariri ni nini.
Ivi unafikiri kwa huo ujumbe kusomwa na mtangazaji mapolisi wameuchukuliaje.?
Tuishie kuandika humu ndani tu ila,acheni upumbavu waandishi.
Hivi unapozuiwa kiingia sehemu kwa matakwa ya mwenyeji wako halafu ukalazimisha unaaka akufanyaje!!!?
Bunge lina mwenyeji? Unajua kwanini linaitwa Bunge la Wananchi wa JMT?
tatizo la mengi anataka nchi hii wote tuwe chini yake pamoja na serikali mpaka rais awe anashauriwa nayeye
washkaji wanatuonea sana,halafu hawachukuliwi hatua zaidi ya kuhamishwa vituo. nikisikia polisi kadundwa huwa nafurahi kweliHATARI.,.
Akisoma maoni ya kipima joto 'JE WANANCHI WANAOVAMIA WATU WA USALAMA(MAPOLISI) NA KUWAPIGA WANAELEWA HATARI YAKE.?'
Msomaji wa habari akasoma ujumbe wa Raia mmoja aliesema ''WAPIGWE TU, MBONA WAO WANATUPIGA''
hii ni hatari kwa Taifa hasa kipindi hiki tunapoelekea 2015.
Ikumbukwe KENYA ni kauli chafu kama hizi kwa baadhi ya vyombo vya habari viliingiza ktk machafuko.
TAFADHALINI ITV MSITUINGIZE KTK MAJANGA. HARIRINI JUMBE KABLA YA KUZISOMA.
MSG SENT.
Ntakuverify hii inaweza kuwa ndio last warning endelea sasa
Police wa ccm,mahakama za ccmsawa ni kweli lakini hizo njia hawa hawataki ..ndani ya mioyo yao wanachotaka ni fujo tu na sio kingine ndo maana hawataki kwenda kwenye vyombo vya sheria
Chadema chademaa peoples powerrrr tweeende kamaaandaaaaits easier to trace some of the guys here we have seen it and no one can keep quite ...lugha chafu humu zitawatoka puani kwanza kwa sasa wanahitajika watu wa kutolea mfano kuhusu matumizi mabaya ya mtandao
Mmeshindwa kuzuia migogoro ya wakulima wafugaji,ujangili mnafuata wanaharakativyombo vya ulinzi lazima viheshimiwe hii jeuri wajinga wataumia mtapigwa sana na mtabaki vilema awamu hii kipigo kianzie kwa viongozi wakuu wa maandamano kama iliyotokea kwa Lipumba kupindi cha Mkapa...kwa sababu huu uchochezi unaofanywa una hatarisha amani na shughuli zetu mbalimbali kwa ujumli uchumi wa wajasiriamali utayumba
HATARI.,.
Akisoma maoni ya kipima joto 'JE WANANCHI WANAOVAMIA WATU WA USALAMA(MAPOLISI) NA KUWAPIGA WANAELEWA HATARI YAKE.?'
Msomaji wa habari akasoma ujumbe wa Raia mmoja aliesema ''WAPIGWE TU, MBONA WAO WANATUPIGA''
hii ni hatari kwa Taifa hasa kipindi hiki tunapoelekea 2015.
Ikumbukwe KENYA ni kauli chafu kama hizi kwa baadhi ya vyombo vya habari viliingiza ktk machafuko.
TAFADHALINI ITV MSITUINGIZE KTK MAJANGA. HARIRINI JUMBE KABLA YA KUZISOMA.
MSG SENT.
sawa ni kweli lakini hizo njia hawa hawataki ..ndani ya mioyo yao wanachotaka ni fujo tu na sio kingine ndo maana hawataki kwenda kwenye vyombo vya sheria
HATARI.,.
Akisoma maoni ya kipima joto 'JE WANANCHI WANAOVAMIA WATU WA USALAMA(MAPOLISI) NA KUWAPIGA WANAELEWA HATARI YAKE.?'
Msomaji wa habari akasoma ujumbe wa Raia mmoja aliesema ''WAPIGWE TU, MBONA WAO WANATUPIGA''
hii ni hatari kwa Taifa hasa kipindi hiki tunapoelekea 2015.
Ikumbukwe KENYA ni kauli chafu kama hizi kwa baadhi ya vyombo vya habari viliingiza ktk machafuko.
TAFADHALINI ITV MSITUINGIZE KTK MAJANGA. HARIRINI JUMBE KABLA YA KUZISOMA.
MSG SENT.
kijana mwenzangu msakatonge nakushangaa sana,pinda aliposema "wapigwe tu"alikuwa haliingizi taifa katika machafuko?mbona kijana haujitambui?pinda alichokisema live nani alikihariri?