ITV kituo kitafungwa au mtaingiza Nchi katika machafuko

ITV kituo kitafungwa au mtaingiza Nchi katika machafuko

by blogger;
Ndg jaribu kuishirikisha akili uweke ushabiki pembeni. Kazi ya mhariri ni nini.

Ivi unafikiri kwa huo ujumbe kusomwa na mtangazaji mapolisi wameuchukuliaje.?



wewe blogger waambie hivi hao polisi wako kuwa sasa basii tumechokaaa! tutawapiga mishele ya ---- wakiendelea kuleta ujuaji!

WaPiGweeeee Pumbaaafu.
 
Last edited by a moderator:
Majuto ni Mjukuu.,, mtazijutia kauli hizi mnazozitoa hapa.,

Watanzania wanajitoa uelewa makusudi kabisa na uwezo hata wa kulinganisha yaliyowakuta majirani zetu, RWANDA na KENYA.
 
by blogger;
Ivi unapotetea kwamba 'MAPOLISI WAPIGWE' wakati sasaivi wewe upo ndani familia yako wao wapo nje wanafanya doria kukulinda, TUKUELEWEJE.??

Alikua na uwezo wa kutoisoma hyo msg.



blogger wapo nje kwa sababu tunawalipa mshahara wa kutulinda usiku na mchana, hawajaaajiri kupiga watu na kuumiza watu wanapodai haki zao kikatiba!

NA MM NASEMA WAPIGWEEEEE WASIACHWE!
 
Last edited by a moderator:
HATARI.,.

Akisoma maoni ya kipima joto 'JE WANANCHI WANAOVAMIA WATU WA USALAMA(MAPOLISI) NA KUWAPIGA WANAELEWA HATARI YAKE.?'

Msomaji wa habari akasoma ujumbe wa Raia mmoja aliesema ''WAPIGWE TU, MBONA WAO WANATUPIGA''

hii ni hatari kwa Taifa hasa kipindi hiki tunapoelekea 2015.

Ikumbukwe KENYA ni kauli chafu kama hizi kwa baadhi ya vyombo vya habari viliingiza ktk machafuko.

TAFADHALINI ITV MSITUINGIZE KTK MAJANGA. HARIRINI JUMBE KABLA YA KUZISOMA.

MSG SENT.
ITV hawana makosa. Hiyo ilikuwa ni kauli ya Pinda... Wasiliana na Pinda umuonye kwanza yeye...
 
Ndg jaribu kuishirikisha akili uweke ushabiki pembeni. Kazi ya mhariri ni nini.

Ivi unafikiri kwa huo ujumbe kusomwa na mtangazaji mapolisi wameuchukuliaje.?

Wapigwe tu wananchi nao wameshachoka.
 
ujinga ni kitu kibaya sana.

Ni kweli kabisa yani CCM ilitumia mbinu mbaya sana ya kuwatawala watu kwa kuwanyima elimu ya kujikomboa kifikra.

Karine hii kweli wasomi wanabaguana kimakabila wakati ambapo wenzetu wanatamani kupata kiingozi bora kutoka popote duniani alimradi atimize ndoto zao.Mfano Obama kuchaguliwa na wazungu na waafrika kutawala Marekani .
 
tujaribu kujenga urafiki na polis....


wanasiasa wame hodhi chombo muihimu kama polis hii ni hatari sana.
 
Tatizo ni kwamba polisi wa Tanzania hana tofauti na mbwa aliyemshika!Kazi yao wote ni kufata amri !!
 
Na Mimi nasema ikiwaezekana walipuliwe kwa mabomu kama wanavyotupiga sisi kumbuka awuae kwa upanga na yeye atauawa kwa upanga
 
Kuna watu maboya sijapata kuona. Yaani wewe kwa akili yako unataka ITV wapotoshe kwa kuhariri maoni ya watu?
Hivi unajua kweli Taratibu na sheria za kuhabarisha au kurupuka tu kama mgonjwa wa kuhara anayewahi chooni?
Sasa na Mimi nasema wapigwe tu, tumechoka.
Ova
 
Waandishi MLITAKIWA KUJIPANGA KISHA MPATE MAELEKEZO KWA WAHUSIKA.
PINDI MKIFIKA HAPO MKAE WAPI ILI KUSUBIRI KUPEWA TAARIFA YA KILICHOJIRI.
MSIWE MNAJIPELEKA MNAVYOTAKA TU, SABABU ETI MWANA HABARI.
UTARATIBU HURATIBIWA.
KUKIMBILIA NANI KASEMA NN NA NANI KAJIBU NN, MUHUSIKA KAFIKA ANACHEKA KAONDOKA ANACHEKA. NYINYI MNALIA, POLE SANAAA.
JITAMBUENI KTK KAZI YENU

ndio waandishi wetu hao wanajiona wako juu ya sheria
wapigwe tu
ningekua mm ndo polis yule d.o.g ningemwachia afanye yake
wana bahati sana hao leo
mxhiuuuu
 
ITV kinapaswa kuandaliwa mpango kazi kichomwe halafu tukitane upya hapa hapa kf wajinga sana.
 
ndio waandishi wetu hao wanajiona wako juu ya sheria
wapigwe tu
ningekua mm ndo polis yule d.o.g ningemwachia afanye yake
wana bahati sana hao leo
mxhiuuuu
Nawashauri polisi wakamvamie huyu mtangazi wamfanyie kitu mbaya ili ajue kuongea ujinga siyo ishu.
 
Back
Top Bottom