ITV kituo kitafungwa au mtaingiza Nchi katika machafuko

ITV kituo kitafungwa au mtaingiza Nchi katika machafuko

mimi nasema wanaowalipua polisi waongeze kasi maana hata wao hawana huruma kwa watanzania wenzao...
 
HATARI.,.

Akisoma maoni ya kipima joto 'JE WANANCHI WANAOVAMIA WATU WA USALAMA(MAPOLISI) NA KUWAPIGA WANAELEWA HATARI YAKE.?'

Msomaji wa habari akasoma ujumbe wa Raia mmoja aliesema ''WAPIGWE TU, MBONA WAO WANATUPIGA''

hii ni hatari kwa Taifa hasa kipindi hiki tunapoelekea 2015.

Ikumbukwe KENYA ni kauli chafu kama hizi kwa baadhi ya vyombo vya habari viliingiza ktk machafuko.

TAFADHALINI ITV MSITUINGIZE KTK MAJANGA. HARIRINI JUMBE KABLA YA KUZISOMA.

MSG SENT.

kasoma FB au twita? hao ndo wakahariri.

*haya ni maoni ya wananchi na siyo msimamo wa ITV wala mmiliki wake
 
Watu wadilifu wapo, ila hawatapewa nafasi NYETI kwasababu wataleta kiwingu kwenye ulaji wa wakubwa ambao hula bila kushiba.

Wasio waoga wapo, ila wakipewa nafasi hawataacha kutolewa kafara kwasabau wasipofungwa mdomo watatoa siri za mabosi

Serikali ya sisiem ina tendency ya kuwabadili watu, wengine wakishapewa madaraka wanaangalia uzito uko wapi, ikiwa uadilifu utawaangamiza wanaamua aidha kunyamazia maovu au kuishi kama waroma..ndio Tz yetu ilivyo

Unawaza kwa kutumia makalio??? Mbona Pinda hajafuta kauli yake??
 
wapigwe tu na bado mbn wao wanawaumiza wananchi wasio na hatia Rushwa,eti wanalinda raia na mali zaooo wizi mtupu wnye uweredi na kz ya polisi wamebaki wachache,Pinda alisema wapigwe na mimi nasema wapigwe OVA!!
 
Mbona Pinda alishasemaga wapigwe mkuu?

Unapingana na kauli ya Mh wewe?
 
Mbona Pinda alishasemaga wapigwe mkuu?

Unapingana na kauli ya Mh wewe?

Ndo hapo chacha anataka tuipinge kauli ya Mh.ili tuonekane wananchi hatutii kauli za wakuu,nshaiona janja yake huyu.
 
Jamaa ndo wamekamatwa na mahakamani wamefikishwa.
Je, viongozi wamewasaidia hata dhamani?
Au ndo wanaondoka zao majuu
 
!
!
polisi ni viumbe ambavyo havistahili kuishi.....wauwawe kwa wingi. Siwapendi hawa watu, Mungu anisamehe. Wafe vifu vya tabu mno ndio dua langu usiku na mchana.

Hata mimi siwapendi sana waliniulia babangu hivihivi bila kosa la msingi! RIP my dad huku duniani nami nawaombea wafe km walivyokuuwa ww
 
HATARI.,.

Akisoma maoni ya kipima joto 'JE WANANCHI WANAOVAMIA WATU WA USALAMA(MAPOLISI) NA KUWAPIGA WANAELEWA HATARI YAKE.?'

Msomaji wa habari akasoma ujumbe wa Raia mmoja aliesema ''WAPIGWE TU, MBONA WAO WANATUPIGA''

hii ni hatari kwa Taifa hasa kipindi hiki tunapoelekea 2015.

Ikumbukwe KENYA ni kauli chafu kama hizi kwa baadhi ya vyombo vya habari viliingiza ktk machafuko.

TAFADHALINI ITV MSITUINGIZE KTK MAJANGA. HARIRINI JUMBE KABLA YA KUZISOMA.

MSG SENT.

wapigweee tuuu.
kaka hayo ci maoni ya itv ni maneno yetu wa tz tumechoshwa na serikali.hii ya ccm wapigweeeee
ITV someni ujumbe wetu kama tunavvyoutuma na hio ndio demokrasiaaa kupotosha ni dhambiiii
 
HATARI.,.

Akisoma maoni ya kipima joto 'JE WANANCHI WANAOVAMIA WATU WA USALAMA(MAPOLISI) NA KUWAPIGA WANAELEWA HATARI YAKE.?'

Msomaji wa habari akasoma ujumbe wa Raia mmoja aliesema ''WAPIGWE TU, MBONA WAO WANATUPIGA''

hii ni hatari kwa Taifa hasa kipindi hiki tunapoelekea 2015.

Ikumbukwe KENYA ni kauli chafu kama hizi kwa baadhi ya vyombo vya habari viliingiza ktk machafuko.

TAFADHALINI ITV MSITUINGIZE KTK MAJANGA. HARIRINI JUMBE KABLA YA KUZISOMA.

MSG SENT.

Kwani kuna shida gani? fresh tu..jamaa ka quote msemo wa kiongozi wake. Acha wapigwe..na wao wasikie utamu wq virungu
 
Back
Top Bottom