ITV kituo kitafungwa au mtaingiza Nchi katika machafuko

ITV kituo kitafungwa au mtaingiza Nchi katika machafuko

tatizo la mengi anataka nchi hii wote tuwe chini yake pamoja na serikali mpaka rais awe anashauriwa nayeye

Acha mirungi akili yako itakuwa sawa,mengi ndio aliyetuma huo ujumbe? Jaribu kutumia IQ yako ndogo uliyonayo.!
 
Ingekua redio nuru au redio imani ungeshasiki, lakini ITV ah mengi ni wetu yule

Tatizo hizo redio uchochezi wake ni wa kidini ambao kwa kweli ni hatari kuliko virungu vya polisi, kama bado mpaka leo hujaelewa hilo basi kajiunge tu na ponda ieleweke.
 
Unaweza kuingia muda wowote,na kufanya chochote unachotaka kwa kuwa ni mali yako mwananchi?
Ukijenga nyumba yako, unaweza kuingia chumba chochote unachotaka na kujisaidia hovyo hovyo tu kwa sabau ni mali yako?
 
Ni watu wenye fikra finyu ndio wenye sera za upiganaji.

ITV ni Kituo cha TV cha mapunguani wasio na muono. Kuanzia mwenye kituo mpaka waendeshaji vipindi, wote finyu.

Hivi wewe unafahamu punguani? Unafahamu muono? Siku utakapokuwa huru utaelewa Kati ya wewe na hao unaowaita mapunguani na punguani.kwanza bado tunitaji TV huru.
 
HATARI.,.

Akisoma maoni ya kipima joto 'JE WANANCHI WANAOVAMIA WATU WA USALAMA(MAPOLISI) NA KUWAPIGA WANAELEWA HATARI YAKE.?'

Msomaji wa habari akasoma ujumbe wa Raia mmoja aliesema ''WAPIGWE TU, MBONA WAO WANATUPIGA''

hii ni hatari kwa Taifa hasa kipindi hiki tunapoelekea 2015.

Ikumbukwe KENYA ni kauli chafu kama hizi kwa baadhi ya vyombo vya habari viliingiza ktk machafuko.

TAFADHALINI ITV MSITUINGIZE KTK MAJANGA. HARIRINI JUMBE KABLA YA KUZISOMA.

MSG SENT.
NASEMA WAPIGWE TU acha uoga wewe
 
Ni watu wenye fikra finyu ndio wenye sera za upiganaji.

ITV ni Kituo cha TV cha mapunguani wasio na muono. Kuanzia mwenye kituo mpaka waendeshaji vipindi, wote finyu.

Super brand TV station , ITV. tbc na ccm wana muono gani?
 
HATARI.,.

Akisoma maoni ya kipima joto 'JE WANANCHI WANAOVAMIA WATU WA USALAMA(MAPOLISI) NA KUWAPIGA WANAELEWA HATARI YAKE.?'

Msomaji wa habari akasoma ujumbe wa Raia mmoja aliesema ''WAPIGWE TU, MBONA WAO WANATUPIGA''

hii ni hatari kwa Taifa hasa kipindi hiki tunapoelekea 2015.

Ikumbukwe KENYA ni kauli chafu kama hizi kwa baadhi ya vyombo vya habari viliingiza ktk machafuko.

TAFADHALINI ITV MSITUINGIZE KTK MAJANGA. HARIRINI JUMBE KABLA YA KUZISOMA.

MSG SENT.
Sasa kosa liko wapi wakati hata waziri mkuu alitamka bungeni kuwa polisi wawapige raia wasiotii amri. Wewe uko tayari kupigwa na polisi bila kosa?! Mbona husemi kuwa Pinda ndiye mtu hatari zaidi kwa kuchochea uvunjifu wa amani akiwa kiongozi mkuu?! Afer all hayo yalikuwa ni maoni ya raia. Jana si umeona polisi walivyokuwa wakiwapiga waandishi wa habari bila kosa? Je hiyo ni sawa? Kauli chafu ilitolewa na Pinda siyo huyo mwananchi!
mbowe+clip.jpg
mwandishi.jpg
polisi.jpg
 
Ukijenga nyumba yako, unaweza kuingia chumba chochote unachotaka na kujisaidia hovyo hovyo tu kwa sabau ni mali yako?

Utakuwa umejipa uhuru usio na mipaka ambao ni UWENDAWAZIMU.

Sasa sijui ni taasisi gani inawafanyakazi wendawazimu watakaokupa uhuru wa kufanya chochote!!?
 
Mi jakaya naona anamlea lea sana huyu mengi.ingekua mkapa angeshanyooka siku nyingi,
 
Acha uchochezi ww, ulitaka asome comment gani? polisi waache ujinga, wanapiga watu hovyo, wanashirikiana na wahalifu, ukipeleka tatizo lako polisi wanataka hela, Leo polisi wamepiga mwandishi wa habari wa ITV, walimuua Mwangosi, ulitaka ITV watoke na matarumbeta barabarani kuwapongeza polisi Kwa kupiga na kuonea watu .
Huyo jamaa akili zake sio nzuri. Ngoja siku wakimshukia wamtandike yeye kisawawa ndio ataelewa ubaya wa polisi kama walivyoelekezwa na Pinda
 
HATARI.,.

Akisoma maoni ya kipima joto 'JE WANANCHI WANAOVAMIA WATU WA USALAMA(MAPOLISI) NA KUWAPIGA WANAELEWA HATARI YAKE.?'

Msomaji wa habari akasoma ujumbe wa Raia mmoja aliesema ''WAPIGWE TU, MBONA WAO WANATUPIGA''

hii ni hatari kwa Taifa hasa kipindi hiki tunapoelekea 2015.

Ikumbukwe KENYA ni kauli chafu kama hizi kwa baadhi ya vyombo vya habari viliingiza ktk machafuko.

TAFADHALINI ITV MSITUINGIZE KTK MAJANGA. HARIRINI JUMBE KABLA YA KUZISOMA.

MSG SENT.
Hata kaam umetumwa kuja kuandika pumba za wakubwa zako, nadhani kabla ya kuandika ungejiuliza japo kwa sekunde moja, hivi yule alitoa tamko bungeni kwamba "Wapigwe tu" alikuwa anajenga au anabomoa usalama wa nchi?
 
Ivi unapotetea kwamba 'MAPOLISI WAPIGWE' wakati sasaivi wewe upo ndani familia yako wao wapo nje wanafanya doria kukulinda, TUKUELEWEJE.??

Alikua na uwezo wa kutoisoma hyo msg.

mkuu yaani polisi wa bongo waache kukamata bodaboda walinde raia?raia tunajilinda wenyewe polis ukiwaona wapo doria ujue wanatafuta namna ya kupata rushwa!!
 
Alikuwa anajenga! Ushabiki mwingine hauna maana!
Walolala ndani mmewapelekea chai?
Na walotenguka miguu mmewapa dawa?
Cc tupo Bilkana tunaponda raha kwa raha zetu! Misukule tutafanye harambe tuwapoze kitu Kosovo lakin msiache kuandamana kwa msilolijua
 
Acha mirungi akili yako itakuwa sawa,mengi ndio aliyetuma huo ujumbe? Jaribu kutumia IQ yako ndogo uliyonayo.!
Mkuu Alhaji Mwinyi alishatabiri chuki ya wasionacho dhidi ya walionacho kama Regnald Mengi miaka zaidi ya 20 iliyopita.

Kwahiyo ukiona mtu kama huyo anatoka nje ya mada na kuanza kumshambulia mtu asiyehusika na matamshi ujue ndiyo wale wale wasionacho wanatoa nyongo mwilini....
 
Back
Top Bottom