ITV kituo kitafungwa au mtaingiza Nchi katika machafuko

ITV kituo kitafungwa au mtaingiza Nchi katika machafuko

tatizo la mengi anataka nchi hii wote tuwe chini yake pamoja na serikali mpaka rais awe anashauriwa nayeye
Kivipi? Kwani aliyetuma ujumbe ni Mengi? Aliyefyatua bomu la uvunjifu wa amani ni Pinda. Jana si umeona polisi jinsi walivyokuwa wakiwapiga raia na waandishi wa habari bila kosa? Siku na wewe wakikutandika ndipo utaona ubaya wa hao polisi pamoja na kauli ovu kabisa ya huyo ambaye baadaye alijulikana kama m-pu-mba-vu!

mwandishi.jpg
 
!
!
polisi ni viumbe ambavyo havistahili kuishi.....wauwawe kwa wingi. Siwapendi hawa watu, Mungu anisamehe. Wafe vifu vya tabu mno ndio dua langu usiku na mchana.

ikifika usiku unalala fofofo na ndoto za alinacha juu. unafikiri amani iliyopo ni kwa sbb ya ulinzi wa mbu usiku. pole kwa matatizo ya akili uliyonayo. ila yanatibika mkuu
 
HATARI.,.

Akisoma maoni ya kipima joto 'JE WANANCHI WANAOVAMIA WATU WA USALAMA(MAPOLISI) NA KUWAPIGA WANAELEWA HATARI YAKE.?'

Msomaji wa habari akasoma ujumbe wa Raia mmoja aliesema ''WAPIGWE TU, MBONA WAO WANATUPIGA''

hii ni hatari kwa Taifa hasa kipindi hiki tunapoelekea 2015.

Ikumbukwe KENYA ni kauli chafu kama hizi kwa baadhi ya vyombo vya habari viliingiza ktk machafuko.

TAFADHALINI ITV MSITUINGIZE KTK MAJANGA. HARIRINI JUMBE KABLA YA KUZISOMA.

MSG SENT.

wafungiwe kwa lipi?
 
Acha woga kama mtoto wa kike ww.Hayo sio maoni ya ITV ni ya wananchi na lazima asome salamu ziwafikie wahusika.
KAMA VP WAPIGWE TU!
Mkuu inawezekana akawa ni mtoto wa kike kweli maana Id hazioneshi jinsia
 
polisi wasio na matatizo tunawajua, hao hata nafsi zetu zitawatetea wakati wa shida.

kwa polisi wakorofi pia tunawajua na kamwe hatutawatetea kwa lolote, ZINAUMIZA SANA TABIA ZA BAADHI YA POLISI.

ILI WAJUE KUA NA SISI NI BINADAM KAMA WAO NA SIO HAKI KUNYANYASWA WAKATI SHERIA ZIPO WAZI, " ACHENI WAPIGWE TU, NA WAPIGWE MAANA TUMECHOKA".

Wenye matatizo na wakorofi hawa hapa
mwandishi.jpg
polisi.jpg
mbowe+clip.jpg
 
Ndg jaribu kuishirikisha akili uweke ushabiki pembeni. Kazi ya mhariri ni nini.

Ivi unafikiri kwa huo ujumbe kusomwa na mtangazaji mapolisi wameuchukuliaje.?

Na ww shirikisha ubongo wako, pinda aliposema wananchi wapgwe tu na police haf Tbc wakarsha live kutoka bungen bila kuhariri we ulidhan wananchi tulichukuliaje? Na mimi nasema wapgwe tu maana tumechoka. km unaweza hariri kauli hiyo.
 
sasa kosa liko wapi wakati hata waziri mkuu alitamka bungeni kuwa polisi wawapige raia wasiotii amri. Wewe uko tayari kupigwa na polisi bila kosa?! Mbona husemi kuwa pinda ndiye mtu hatari zaidi kwa kuchochea uvunjifu wa amani akiwa kiongozi mkuu?! Afer all hayo yalikuwa ni maoni ya raia. Jana si umeona polisi walivyokuwa wakiwapiga waandishi wa habari bila kosa? Je hiyo ni sawa? Kauli chafu ilitolewa na pinda siyo huyo mwananchi!
mbowe+clip.jpg
mwandishi.jpg
polisi.jpg

wanaume wapo kazini kutuliza nchi. Endeleeni kuwa vipofu. Safi sana.

Ujumbe umemfikia mengi na kashaufanyia kazi.
 
!
!
polisi ni viumbe ambavyo havistahili kuishi.....wauwawe kwa wingi. Siwapendi hawa watu, Mungu anisamehe. Wafe vifu vya tabu mno ndio dua langu usiku na mchana.

wewe ni Jambazi, unataka polisi wafe utajirike haraka kwa ujambazi, P......ka mkubwa we!
 
wanaume wapo kazini kutuliza nchi. Endeleeni kuwa vipofu. Safi sana.

Ujumbe umemfikia mengi na kashaufanyia kazi.
Hao hawatulizi nchi bali wanavuruga nchi. Siku wakikubamba na wewe wakakuvuruga ndio utaona umafia wao kama waliomfanyia Mwangosi kule Iringa kama walivyoagizwa na yule m-pu-mba-vu kule dodoma.
 
HATARI.,.

Akisoma maoni ya kipima joto 'JE WANANCHI WANAOVAMIA WATU WA USALAMA(MAPOLISI) NA KUWAPIGA WANAELEWA HATARI YAKE.?'

Msomaji wa habari akasoma ujumbe wa Raia mmoja aliesema ''WAPIGWE TU, MBONA WAO WANATUPIGA''

hii ni hatari kwa Taifa hasa kipindi hiki tunapoelekea 2015.

Ikumbukwe KENYA ni kauli chafu kama hizi kwa baadhi ya vyombo vya habari viliingiza ktk machafuko.

TAFADHALINI ITV MSITUINGIZE KTK MAJANGA. HARIRINI JUMBE KABLA YA KUZISOMA.

MSG SENT.

wapigwe tu na wanajitakia badala ya kuimarisha ulinzi wa nchi nzima wao wanachagua wa kuwalinda wanaimarisha ulinzi katika maanadamano na haiwezekani kuyaacha mawazo ya wananchi halafu asome za kusifia tu wakat watu wanadhamira ya kuvamia vituo.
 
HATARI.,.

Akisoma maoni ya kipima joto 'JE WANANCHI WANAOVAMIA WATU WA USALAMA(MAPOLISI) NA KUWAPIGA WANAELEWA HATARI YAKE.?'

Msomaji wa habari akasoma ujumbe wa Raia mmoja aliesema ''WAPIGWE TU, MBONA WAO WANATUPIGA''

hii ni hatari kwa Taifa hasa kipindi hiki tunapoelekea 2015.

Ikumbukwe KENYA ni kauli chafu kama hizi kwa baadhi ya vyombo vya habari viliingiza ktk machafuko.

TAFADHALINI ITV MSITUINGIZE KTK MAJANGA. HARIRINI JUMBE KABLA YA KUZISOMA.

MSG SENT.
Huu ni umbumbumbu wetu, IVT kila wakitoa maoni wanaweka angalizo kuwa hayo ni maoni ya watazamaji na hayahusiani kwa jinsi yoyote na mtazamo wa kituo chao.
Lakini pia unabidi ukumbuke kuwa ITV nao wanaona kuwa wanaokandamiza wananchi ni mapolisi tena sio polisi wote bali wale 'wenye shibe' ambao ni wachache dhidi ya umma wa Watanzania walio wengi.
Kwa hakika dalili za vurugu Tanzania ni kubwa na kamwe hazitaletwa na ITV bali wakandamizaji wakielekezwa na chama chakavu!

Pinda akisema kupitia ITV ni sawa, ila mwananchi akisema kupitia hiyo hiyo ITV ni kosa! Acha kero wewe!
 
Mkivaa hizi uniforms mnakuwaga wa ajabu sana, mnajisahau kwamba mnaishi na watu huko mitaani! Pigeni waandishi, pigeni raiya wasio na hatia uweni wananchi, lakini kumbukeni kwamba waandishi wa habari wana siraha nzito kuzidi hizo bunduki zenu, wanao uwezo wa kupandisha munkari wa raiya kuzidi hayo mabomu ya gesi mnayovaa tumboni! Hii ndiyo customer care mnayofundishwa?!
View attachment 186271

Vijitu vwenyewe vidogo ila vikivaa hizo unoform vinapata ujasiri sana
 
Waandishi MLITAKIWA KUJIPANGA KISHA MPATE MAELEKEZO KWA WAHUSIKA.
PINDI MKIFIKA HAPO MKAE WAPI ILI KUSUBIRI KUPEWA TAARIFA YA KILICHOJIRI.
MSIWE MNAJIPELEKA MNAVYOTAKA TU, SABABU ETI MWANA HABARI.
UTARATIBU HURATIBIWA.
KUKIMBILIA NANI KASEMA NN NA NANI KAJIBU NN, MUHUSIKA KAFIKA ANACHEKA KAONDOKA ANACHEKA. NYINYI MNALIA, POLE SANAAA.
JITAMBUENI KTK KAZI YENU

None sense!!, Waandishi wa habari wote wanabeba vitambulisho na wote waliohojiwa walikuwa navyo kwa kuwa hiyo ndiyo kazi yao na mazingira kama yale katika nchi inayojinadi kuwa inaheshimu vyombo vya habari haikupaswa kuwapiga waandishi na hata waandamanaji wenyewe. wewe unaonekana ni mshabiki tu wa chama tawala,Unapaswa kutafakari kama kweli kinachotendeka ni sawa au ni mabavu.
 
Kitambulisho co gate pass.
Hata Uwanja wa Taifa wanapewa gate pass . hapo ni Wizara kamili ipo.
Wasomee fani kwa utashi.
Aliitwa MTU mmoja wala c chama. Kuhojiwa tu.
 
Kama hao wanaohendekeza nguvu badala ya utu na sheria wakiamini cheo ni dhamana na kusahau kua hiyo ni kazi kama ilivyo kazi nyingine yoyote, wakiingia kwenye 18 za wababe wao acheni wapigwe tu, tumechokaaa..
 
Back
Top Bottom