"Kaka nipo hospital nimelazwa. Presha imepanda ghafla kutokana na ishu ya amyner. Please waambie memberz wa jf hasa chitchat waniombee nipone."
hyo meseji imetoka kwa Erick. Ame2ma kwenye cmu..
You are just the perfect shemeji bishanga.. If only ningekusikiliza before!
Remmy upo tayari kupangishwa foleni???
kuna tofauti kati ya busara na mzee wa busara wa Juma Nature.
Mbona sielewi? Taarifa za kiintelijensia zinasema njemba imelazwa mount meru kisha wewe unasema?
Qt B, i really regret loving this man!
i
Mmmmmmmmhhhhh haya.........ila ujue mfupa uliomshinda fisi.........Amyner ni dada mvumilivu sana,mpaka afikishwe hapo.....
Nicky nilikupigia kukupa maelekezo flani but its ok nimesha fanikisha.
Hakuna cha maunt meru wala mount kilimanjaro, erickb52 nipo nae hapa, nimempa gemu ya ukweli hadi amesinzia....
pole mama!life has to go on,remember that amyner...me dont think alikua anamaanisha alichosema,was just utani wao tu...find out for evidences then umake decision mama..utawaacha wangapi sasa mama kumbuka kila mwanamme ana matatizo yake unlec maji ya shingo ndo tunaachaga hizi za kuskia na kusoma kwa jf hapa huwa tunachunguza na kuhakikisha kwanza ndo tunaacha mumie...
Nicas Mtei na Amyner unaikumbuka hii:-oukei wangu. I wl col u later 2bonge fresh
?Simwamini Erick. Alshawah kuiba cmu, hela, laptop na ipad za Amy. Amy alnieleza kwa masikitiko makubwa.