It's official-The Carter III cracks a million sales in it's first week

Kuuzika kwa kitu kunategemea pia na kinavyonadiwa.

Unaamini Obama ana sera nzuri kuliko Clinton?

Kuhani sasa unamshika pabaya mwenzako!

Hizi ndizo zile zinaitwa "with your back against the wall".Damned if you say yes, damned if you say no.

That was a good one!
 
Does Dre write his lyrics?

Dre is primarily a producer, he writes some, but mostly some ghostwriters like D.O.C (whose voice is sadly gone now and can't cut a serious album) do write for him.

Why do you ask?

Mind you I said The Chronic was classic.
 
Hivi huyo Guru to date ameuza album ngapi?

Cheki Soundscan, but here is where we have a fundamental difference. Album ya 2003 ya Ganstarr (Guru na Premier pamoja) "The Ownerz" ili dissapoint sana.Kwa sababu the realest hawatetereki na record company exec plans, wanakuwa real kwenye message, hawawezi kutafuta popularity kwa nyimbo kama "Lollipop" au "Magic Stick" wana represent hood.

Wanaopandisha sales za kina Weezy wala si watu wa hood, ni hawa watoto wa suburbs wa kizungu ambao Ice T aliwaimba katika "Home Invasion" kama ulisikiliza.Ukienda hood barbershop uulize watu wanaojua Hip Hop Weezy au 50 na Guru nani zaidi watakuambia "It ain't even a question"

Guru kajichokea zake US, sasa hivi kakimbilia Europe huko ambako naona mipango yake inaweza kukubalika na record execs wao.
 
Hivi huyo Guru to date ameuza album ngapi?

Nyani, kama ubora ni namba ya record sales basi tungeenda moja kwa moja kwenye stats, na watu wasingekuwa wanajadili ni nani bora.

Kwani, The R anaongoza kwa record sales?
 
It was an innocent question...
Tha Chronic iliweka G Funk kwenye map plus iliwapa daraja kina Snoop, , Warren G, Kurupt na yule mvuta bangi mwenzake(Dog Pound)...

By the way Weezy F baby amekuwa anafikisha platinum au kuvuka tangu ametoa Tha Block Is Hot(unfortunately I bought the album too)...delivery ya Weezy imeimprove kulinganisha enzi zile za Hot Boyz mpaka leo...
 
Pundit,

Nadhani kuna alternative inayoweza kusaidia huu mjadala. Labda kuna era mbili za Hip Hop. Commercial na Classic Hip Hop era. Hii ya Commercial labda inapima ubora na record sales. Lakini classic Hip Hop ni ligi nyingine.

Kwa hiyo inawezekana hawa jamaa wanaangalia dunia ya Hip Hop katika prism nyingine kabisa.
 
Cheki Soundscan, but here is where we have a fundamental difference. Album ya 2003 ya Ganstarr (Guru na Premier pamoja) "The Ownerz" ili dissapoint sana.Kwa sababu the realest hawatetereki na record company exec plans, wanakuwa real kwenye message, hawawezi kutafuta popularity kwa nyimbo kama "Lollipop" au "Magic Stick" wana represent hood.

Wanaopandisha sales za kina Weezy wala si watu wa hood, ni hawa watoto wa suburbs wa kizungu ambao Ice T aliwaimba katika "Home Invasion" kama ulisikiliza.Ukienda hood barbershop uulize watu wanaojua Hip Hop Weezy au 50 na Guru nani zaidi watakuambia "It ain't even a question"

Guru kajichokea zake US, sasa hivi kakimbilia Europe huko ambako naona mipango yake inaweza kukubalika na record execs wao.

Sasa hiyo ndo inaitwa crossover appeal....pale unapoheshimiwa kwenye streets na burbs....and that's Weezy F Baby. Ukienda Bankhead sasa hutakosa kumsikia mtu aki bump 'A Milli' na at the same time ukienda Alpharetta hutakosa kumwona dogo wa kizungu aki bump 'A Milli'....

Nowadays in hip hop you want to be internationally known but locally respected. Weezy commands both....
 
Lol si unaona Nas mwenyewe ugumu ulimshinda akaamua kucross kidogo...Common naye alivyoanza kumess na Kanyeezy sales zikajump.....!!

By the way mpaka sasa sijaelewa argument hapa ni ipi hasa...
Weezy kuuza 1 Million Units first week au album yake kuitwa classic?
 
...wanaJF bana....wee acha tu. Maandazi, machungwa, simbilisi,vitumbua, mchicha, matopetope na mangineyo 77, yote wanachanganya ili kujadili ipi ni mboga tamu.
 
Nimesikiliza nyimbo zake kwenye album mpya. Jamaa anacheza vizuri na maneno. Lakini hafundishi chochote. Delivery nzuri, sauti yake kuwa tofauti na beats nzuri zinambeba vizuri.
Figures dont lie.......I wont call it a classic, but give credit where its due, if its about sales, the dude is selling. If its about teaching me.......mmmh naaaah. But makes you think with his smart use of words, even though they lead to nowhere really!!
 
Icadon, umesikia diss ya Ne-Yo kwa Chris Brown....? Didn't know 'ol boy could spit....katumia beat ya 'A Milli'.....(kwa Weezy haters, you know you're huge when people start making diss records using your beat and your flow)....
 
Naona kila mtu anafreestyle kwenye A Millie au Lolipop....
Ila Ne-Yo naye inabidi amjibu Kells hahaha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom