Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 90,869
- 106,137
Weezy F Baby kiboko. He's the new king of hip hop.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature currently requires accessing the site using the built-in Safari browser.
Kuna mtu yoyote ameshaisikiliza hii album...? nimesikia tracks mbili tu..Hopefully weekend hii nitaisikiliza vizuri.
But they are both not authorities on the subject, too bad I cant find a SOHH.com review.
Na wewe unamamlaka ya kuchagua wenye mamlaka wasio na review?
But they are both not authorities on the subject...
Umesema Washington Post na Rolling Stone hawana mamlaka katika masuala ya hip hop!
Na wewe unamamlaka ya kuchagua wenye mamlaka wasio na review?
Numbers don't lie...wenye mamlaka (wapenzi/ washabiki wake) have spoken. A million sales in a week is an amazing feat, period!
It can be successfully argued kwamba kusema asiye na mamlaka si kuchagua aliye mamlaka.
No?
... too bad I cant find a SOHH.com review.
No.
Ulichagua mwenye mamlaka.
Ukiona bao linaelekea kusiko, ndugu yangu, unapangurua kete mapema, tunaanza upya, halafu mimi na wewe tu ndio tutajua mchezo umekwendaje! LOL!
LOL!
If I can't even find a SOHH.com review how can you say kwamba niliwachagua wao kuwa ndiyo mamlaka?
Sohh.COM used to be the one stop shop for Hip Hop news, not anymore, hence too bad....
Acha ku-spin we kaidi wewe!
Umesema Washington Post na Rolling Stone hawana mamlaka, halafu ukasikitika huwezi kupata review ya Sohh.COM. Sasa mana yake nini kama sio kusema Sohh.com ndio wana mamlaka? Na kama sio wakali tena, mbona unajiuma uma kusema unatafuta review yao huipati?
Acha kujikanyaga we mtu!
I am not talking about sales, if you talk sales mbona Jiggah ana sale kuliko Common, Kweli na Guru.
Lakini Jiggah mwenyewe anakwambia ana wish angeweza ku rhyme kama Kweli na Common?
I'm taking authentic street credentials, not a following of a million crackheads and their immediate friends.
If you ask me T.I has better beats, production and rhymes than Weezy.