Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,277
- 144,454
Huna ushahidi, la sivyo uweke hapa.Wala hilo halihitaji ushahidi kuwa ww ulikuwa chawa wa jiwe au unakataa hukuwa chawa wake?
Mzushi tu wewe.
Huna ushahidi, la sivyo uweke hapa.Wala hilo halihitaji ushahidi kuwa ww ulikuwa chawa wa jiwe au unakataa hukuwa chawa wake?
So unakiri kuwa na wewe ni zombie? Maana huko humu.Wanaochukia rais ni mazombie ya chadema yaliyopo hapa jf, hata robo asilimia ya watanzania wote hawafiki, watanzania zaidi ya milioni 60 wanampenda
Umeulizwa ulifanya utafiti gani? Naona unabinuka tu na mambo ambayo hujaulizwaUtafiti wawapi nyinyi na vi ID vyenu vingi vingi ndio mnajiona ni Watanzania wote
Mbona mlishindwa kushawishi Maandamano nchi nzima
Badala yake mkaishia
kimara tu wanapoishi 🫎🫎🫎🫎🫎🫎🫎🫎 kwa wingi😂😂
Mkuu kumuombea mtu kufa ni ujiga kwa sababu kifo kwa binadamu sio adhabu bali wajibu bora hata ingekuwa unamuombe kwenda jera Kwa sababu jera ni adhabu ya kidunia.Watu wa level zangu siwezi kuwachukia kwasababu mara nyingi wanajitahidi kuwa wema. Ni kweli kwamba siwezi kukaa nae na ndo sababu nafanya dua kila siku mabaya yamkute ikiwezekana afe kabisa hiyo ndio itakuwa mwisho wa tofauti zetu. Umaskini nauchukia sana pia, ila watu kama huyu bibi nao nawachukia kwasababu wapo kundi moja na umasikini
Hata shetani anakuzidi kila kituKumchukia mtu anaekuzidi Kila kitu ni ujinga wa mwisho, huwezi kumfanya kitu chochote
Ndio wanakopatikana wapiga kura wengi huku. Kwahiyo tafiti lazima zianzie huku sio huko Lumumba, akili ndogo kumbe weweKama ni mitaaa ya 🫎🫎🫎🫎🫎 sitashangaaa ndiomana
wakaitwa 🫎🫎🫎🫎😂
Sio mm niliwapa ilo jina ni Watafiti wenu😂
Natambua yote uliyoyasema ila siwezi kujizuia kumchukiaMkuu kumuombea mtu kufa ni ujiga kwa sababu kifo kwa binadamu sio adhabu bali wajibu bora hata ingekuwa unamuombe kwenda jera Kwa sababu jera ni adhabu ya kidunia.
Alafu hata kama kweli kifo kingekuwa ni adhabu Kwa waovu ww una uhakika gani iwapo ww ni mtakatifu kumzidi Samia mbele ya huyo Mungu wako au ww Kwa akili yako unadhani uovu pekee mbele ya mungu ni kuua na kuiba kula?
Kuna vitu vinashangaza sana, jukwaa ambalo unasema ni useless ila unashinda humu kutwa nzima. Ujinga nao ni kipajikwamba JF ni mali ya familia ya ya wafuata mkumbo wenye chuki binafsi na mihemko nonsense, right?Na kwamba kutukana na kuporomosha matusi jukwaani mnafanya kwa umoja hivyo bila maelekezo, si ndio?🐒
Acha kumsingizia kuwa ni mke wa pili, yeye ukweli ni mke wa TATU.Yule Mama ni Mke wa pili Malafyale.
Yani Tunaongozwa na Waswahili mno.
Huu Muungano hapana aisee.
Ndio maana Mshenzi, Mcharuko, Shambenga, Gubegube, Michambo nk
Yule hajali kitu na Hasikiliz mtu.
Jasili haachi asili
Hata mm hilo ndo linanishangaza hata Leo hii ccm ikikubali kuweka tume huru ya uchaguzi bado ina nafasi kubwa ya kushinda ila huu upumbavu wa Magu kutaka kufuta upinzani na kurazimisha ushindi wa asimia 97 Kwa ccm ndo umeifikisha nchi kwenye hali hii.Yes CCM Ina wafuasi sijui kwanini wanatumia ubabe wa kutaka wao awe asilimia mia mpaka uchaguzi wa serikali za mitaa. Ujinga huu wakianza 2019! Hakuna kitu kibaya kama kujaribu 'kula' ya watu. Tangu 2019 ccm wanapora uchaguzi wazi wazi. Hii imechangia kufika hapa tulipo.
ukiwa huna mihemko,Kuna vitu vinashangaza sana, jukwaa ambalo unasema ni useless ila unashinda humu kutwa nzima. Ujinga nao ni kipaji
Yes CCM Ina wafuasi sijui kwanini wanatumia ubabe wa kutaka wao awe asilimia mia mpaka uchaguzi wa serikali za mitaa. Ujinga huu wakianza 2019! Hakuna kitu kibaya kama kujaribu 'kula' ya watu. Tangu 2019 ccm wanapora uchaguzi wazi wazi. Hii imechangia kufika hapa tulipo.
Lakini ndiye Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hutaki hamia BurundiYule Mama ni Mke wa pili Malafyale.
Yani Tunaongozwa na Waswahili mno.
Huu Muungano hapana aisee.
Ndio maana Mshenzi, Mcharuko, Shambenga, Gubegube, Michambo nk
Yule hajali kitu na Hasikiliz mtu.
Jasili haachi asili
Umewaza km mm na hakika ingependeza na kusisimua sanaLaiti ningekuwa rais, ningetenga siku moja rasmi ya kitaifa, watu wasiende kazini.
Niite siku ya kuondoa dukuduku, kila mtu aseme chochote, hata akitukana sawa tu, aandike, aongee au afanye vyovyote awezavyo, ili tu dukuduku limtoke, asiwe na kinyongo. Kinyongo ni sumu mbaya iuayo.
Maoni ya watu wangu yooote nitahakikisha yanakusanywa, yanachakatwa na mwisho yanatolewa taarifa, uongozi uboreshe wapi, umekosea wapi na ujirekebishe vipi.
Naamini ingekuwa njia nzuri sana ya kulilainisha taifa.
Watu wenye dukuduku lazima wawe na stress, huwezi kufurahia maisha ukiwa stressed, ndio maana Tanzania imo miongoni mwa mataifa ambayo watu wake hawana furaha kabisa.
Umeulizwa ulifanya utafiti gani? Naona unabinuka tu na mambo ambayo hujaulizwa
Acha tuu... Shankupe limepewa nchi..... ukimuuliza maana ya Rais hata yeye hajui..Yule Mama ni Mke wa pili Malafyale.
Yani Tunaongozwa na Waswahili mno.
Huu Muungano hapana aisee.
Ndio maana Mshenzi, Mcharuko, Shambenga, Gubegube, Michambo nk
Yule hajali kitu na Hasikiliz mtu.
Jasili haachi asili
RubbishWATANZANIA wamempa kura nyingi kuliko Rais yoyote mwengine kipindi cha vyama vingi 🫎✍️
Mbona alishawahi kumwambia Melo kwamba huwa anaingia humu ?Laiti ningekuwa rais, ningetenga siku moja rasmi ya kitaifa, watu wasiende kazini.
Niite siku ya kuondoa dukuduku, kila mtu aseme chochote, hata akitukana sawa tu, aandike, aongee au afanye vyovyote awezavyo, ili tu dukuduku limtoke, asiwe na kinyongo. Kinyongo ni sumu mbaya iuayo.
Maoni ya watu wangu yooote nitahakikisha yanakusanywa, yanachakatwa na mwisho yanatolewa taarifa, uongozi uboreshe wapi, umekosea wapi na ujirekebishe vipi.
Naamini ingekuwa njia nzuri sana ya kulilainisha taifa.
Watu wenye dukuduku lazima wawe na stress, huwezi kufurahia maisha ukiwa stressed, ndio maana Tanzania imo miongoni mwa mataifa ambayo watu wake hawana furaha kabisa.