Itakuwaje siku Samia akiingia JF asome watu wanavyomchukulia?

Itakuwaje siku Samia akiingia JF asome watu wanavyomchukulia?

ukiwa huna mihemko,
unaweza kua mtulivu sana, ukaweza kusoma na kuewa vema nilichoeleza tangu reply yangu ya mwanzo na hata komenti muhimu sana zilizofuata.

otherwise,
utapotoka na kujaribu kupotosha wadau wa Jf kindezi namna hiyo.

ni muhimu sana kua wastahilivu uwapo jukwaani gentleman, madhara ya kukurupuka ni pamoja na kujiexpose ulivyo empty head 🐒
Mtu yeyote anaruhusiwa kuingia jf, ila kwa mtu ambaye mtazamo wake kwa jf kuwa ni useless lakini bado anashinda humu 24/7 lazima awe na shida kidogo kwenye akili yake. Yaani hajui nini ni nini. Kitu useless ila umekikumbatia muda wote, are you okay gentleman? 😂 😂 😂
 
Kule nyuma JF ilikuwa inaheshimika sana, ukiandika post ya malalamiko haiishi wiki umeona matokeo. JF ilikuwa source ya knowledge, kulikuwa na mada zilizokuwa zinafundisha hasa, viongozi wa serikali walikuwemo humu muda wote.
Sahv post hata uandike mara 100 huwezi kuona impact, imepuuzwa, viongozi hawaji tena humu, humu kumeoza ni matusi, uzushi, kushambulia na kudhalilisha utu wa watu. JF inatumika kufanya siasa za kishamba, siasa za majitaka, watu wenye akili wamekimbia mtandao.
Wapumbavu km mleta mada wameharibu JF, Leo hii haiwezi kumsaidia mwananchi, serikali haiuamini huu mtandao tena kwa aina ya post zilizomo humu, umekuwa km gazeti la Mwanahalisi gazeti ambalo hakuna mfanyabiashara au kampuni yenye akili ikapeleka tangazo lake kule.
Mmiliki wa JF ana-entertain wapumbavu na wanamfanya asifanikiwe km ambavyo ingekuwa, kuna watu wamejimilikisha huu mtandao na kazi yao ni uzushi, matusi, kuidogosha serikali, kukebehi, kuijekejeli serikali siyo ukosoaji. Mmeiharibu JF nyie mambwa nyumbu wa chadema.
Mbona mwandiko kama wa Gerishoni aliyependwa na kisukari?
 
Mtu yeyote anaruhusiwa kuingia jf, ila kwa mtu ambaye mtazamo wake kwa jf kuwa ni useless lakini bado anashinda humu 24/7 lazima awe na shida kidogo kwenye akili yake. Yaani hajui nini ni nini. Kitu useless ila umekikumbatia muda wote, are you okay gentleman? 😂 😂 😂
ok.🐒
 
USHINDI WA CCM ni tafiti ya kwanza

Sababu Rais ni Mgombea wa CCM

WATANZANIA wamempa kura nyingi kuliko Rais yoyote mwengine kipindi cha vyama vingi 🫎✍️
Nimeishia hapo uliposema utafiti wako umetumia ushindi wa CCM.
 
USHINDI WA CCM ni tafiti ya kwanza

Sababu Rais ni Mgombea wa CCM

WATANZANIA wamempa kura nyingi kuliko Rais yoyote mwengine kipindi cha vyama vingi 🫎✍️
Hata wasio Watanzania wanatucheka katika hili.

Wangempa Salum Mwalimu hata 10%, shida kundi la vilaza linashindwa hata kubalance hesabu na nyakati.

Kwa nyakati hizi hakuna kiongozi nchi yoyote wa kushinda uchaguzi kuzidi 60% hapa ndio vilaza wanapojichanganya.
 
Kule nyuma JF ilikuwa inaheshimika sana, ukiandika post ya malalamiko haiishi wiki umeona matokeo. JF ilikuwa source ya knowledge, kulikuwa na mada zilizokuwa zinafundisha hasa, viongozi wa serikali walikuwemo humu muda wote.
Sahv post hata uandike mara 100 huwezi kuona impact, imepuuzwa, viongozi hawaji tena humu, humu kumeoza ni matusi, uzushi, kushambulia na kudhalilisha utu wa watu. JF inatumika kufanya siasa za kishamba, siasa za majitaka, watu wenye akili wamekimbia mtandao.
Wapumbavu km mleta mada wameharibu JF, Leo hii haiwezi kumsaidia mwananchi, serikali haiuamini huu mtandao tena kwa aina ya post zilizomo humu, umekuwa km gazeti la Mwanahalisi gazeti ambalo hakuna mfanyabiashara au kampuni yenye akili ikapeleka tangazo lake kule.
Mmiliki wa JF ana-entertain wapumbavu na wanamfanya asifanikiwe km ambavyo ingekuwa, kuna watu wamejimilikisha huu mtandao na kazi yao ni uzushi, matusi, kuidogosha serikali, kukebehi, kuijekejeli serikali siyo ukosoaji. Mmeiharibu JF nyie mambwa nyumbu wa chadema.
Unaposema mwenye akili wameukimbia huu mtandao, je wameenda kwenye mitandao gani? Toa mfano mmojawapo kama hutojali
 
Unfortunately what you feel or think about her does not affect her in anyway
 
Kwanza hawezi kuingia humu, hv ukitaja social media na JF ipo? Hii platform ni ya watu wasio na akili, ni ya watu waliokata tamaa, wafuasi wa chadema. Kazi yao ni kutukana, kudhalilisha, kuzusha uwongo, kuchochea chuki na ubaguzi.
JF nyumbu wa chadema wameiteka kwasababu founders wake ni wafuasi wa chadema. Nyie wapumbavu mmeuharibu huu mtandao kwa maslahi yenu ya kipumbavu. JF inatumika kufanya siasa za majitaka, siasa za kishamba za nyumbu wa chadema.
Hata hivyo bwanamdogo ujue watumiaje wa mitandao yote ya jamii hawafiki ht asilimia 5 kwa hiyo mnajisumbua tu. Pili Samia km kuna wapumbavu wanamchukia ni wale wale wapumbavu wachache wa siku zote na ht ID zenu ni zile zile. Vinginevyo watanzania wenye akili timamu, wazalendo tunampenda Rais wetu, tulimchagua mwaka jana. Ila wapumbavu km wewe na wenzako mliokimbia uchaguzi mmekazana kutaka kuushawishi na kuaminisha umma wa watanzania upumbavu wenu, mjidanganya na kufurahi km mazuzu
Sasa mbona na wewe upo jamii forum ya wapumbavu na ya CHADEMA? Kwa hio Hadi wake akina Lucas mwashamba,samia2025,zitto kabwe,pm nchemba na kada wengine umu ni CHADEMA? Hebu omba radhi Kwa umma na Mkurugenzi wa Jf, umejibu Kwa jazba sana na mihemko, Je hio ndio demokrasia na Jiheshimu maoni ya watu wengine hata kama hayakufurahishi?....
 
Ingekuwa Katiba na Sheria zake

Mwaka 2015 Chadema wasingeshinda Wabunge wote wale Madiwani na kuongoza Halmashauri nyingi

Jiji la Dar Walishinda sehemu na majimbo kibao

Leo Watanzania wameamia CCM kwaujinga wao kipindi cha rip JPM Wabunge wapinzani wakaanza kuamia CCM
Wkt kipindi cha Uchaguzi Wananchi vijana wanaosapoti Upinzani wamekesha kulinda kura zao karibu week1

Mshangao uyo Mbunge anakuja kuamia CCM

Wananchi walishafukwa sana na Wapinzani wa kiafrika
Kutokea pale 🫎🫎‼️

CCM tukawa tunapeta kwa nguvu ndogo tu ✍️
 
Kizazi chenye kuchukia wapinzani bado kipo kinanguvu sana
Ndio Ushindi wa CCM wasasa wenye kishindo kikubwa ✍️
 
Hamuogope nani Rais Dk Samia popote kwake popote anaweza kuja masaa 24 mpaka Makanisani mwenu
Na hakuna Kima yoyote wa kukohoa
Unacheza na Rais wa Jamhuri
Mnamuombea Mabaya yanawapata wengine

Mfano mzee Warioba jana kadhalilika sana

Angekuwa Yule ni Mzee Wasira

Jukwaa lingewaka MOTO na YESU YESU anaweza 😂😂😂😂
Mzee warioba ana miaka90+ ni bahati sana na neema tosha Dunia ya sasa kuishi Hadi umri ule na kusimama majukwaani, na awamu hii kajitakia mwnywe kutokupumzika Kwa wakati, mara ya kwanza usisau Makonda ndo alimdhalilisha na wenzake Kwa maelekezo maalumu.
 
Ndio wanakopatikana wapiga kura wengi huku. Kwahiyo tafiti lazima zianzie huku sio huko Lumumba, akili ndogo kumbe wewe

Kimara kwa waamiaji 🫎🫎 VS Temeke mbagala kigamboni kwa Wazawa

Kwako wewe wapi kwenye Watu wengi ❓️

Sasa kote uko Uchaguzi umefanyika kwa utulivu mkubwa❗️ endelea vikindu Mkuranga Kimanzichana Kibit Ikwiriri muhoro mijini na ndani ndani

CCM Oyeeee
 
Mzee warioba ana miaka90+ ni bahati sana na neema tosha Dunia ya sasa kuishi Hadi umri ule na kusimama majukwaani, na awamu hii kajitakia mwnywe kutokupumzika Kwa wakati, mara ya kwanza usisau Makonda ndo alimdhalilisha na wenzake Kwa maelekezo maalumu.

Mzee Wasira anamiaka mingapi??
Mbona Wanamuombeaga mabaya ❗️
 
Attachments

  • IMG-20260824-WA0073.jpg
    IMG-20260824-WA0073.jpg
    38.2 KB · Views: 1
  • Yeriko.png
    Yeriko.png
    1.8 MB · Views: 1
Kwanza we ni zoba unajulikana, pili watu km ww ndiyo mmeharibu JF mmefukuza watu wenye akili. Wapumbavu mmevamia huu mtandao na bahati mbaya moderators wamewa-entertain kwani mitazamo yenu inafanana. Usisahau JF wafuasi wake hasa wanaomchukia Rais ni chini ya asilimia moja ya watanzania. Kwa maana hiyo kampeni zenu zote mnazofanya humu haifikii ht kiwango cha tone la maji ktk maji ya bahari. Endeleeni tu kujidanganya mabwege nyie
Nani amekuambia? Kwani unaishi wapi? Kwa watu tunaishi maisha yote tunajua mitazamo ya watu, nyie mnamlemba na kumdanganya, Huyu mtu wenu anachukiwa saana.
 
Hata wasio Watanzania wanatucheka katika hili.

Wangempa Salum Mwalimu hata 10%, shida kundi la vilaza linashindwa hata kubalance hesabu na nyakati.

Kwa nyakati hizi hakuna kiongozi nchi yoyote wa kushinda uchaguzi kuzidi 60% hapa ndio vilaza wanapojichanganya.

Tofauti na uko kwengine CCM inatekeleza ahadi zake kwa % kubwa

Sasa tumpe zawadi %10 Salum Mwalimu kwanini na wapiga kura Ndio wenye kuamua wapigie kura nani‼️

Kwanini utaki kukubali CCM imeshinda kwa %98

wkt
Uchaguzi wa Serikali za mitaa CCM iyoiyo
Imeshinda kwa %98 pamoja na kuwepo Wapinzani wote mpaka Chadema ndani👈

Kwanini kama niwewe ni unapendq Upinzani usishangazwe zaidi kujua ukweli wawazi kabisa

Kwamba kufikia mwaka 2024
Bado Upinzani Tanzania unafanya Siasa za Kubet

Kuangalia kwanza wapi kwenye chemchem ya Upinzani ndipo wanaweka nguvu kwa kuweka mgombea ‼️

Jiulize kwanini 2024 Serikali za mitaa
CCM imeshinda kabla ya Uchaguzi kwa %65

Ndio mjue Tanzania kubwa sana kuna maeneo hawajui kabisa kuhusu
Mgombea wa Upinzani kufikia sasa

USHAHIDI mwengine Ndiomana kila mwanasiasa anatamani zaidi kugombea
Chini ya CCM

Chumbuko la Dkt Slaa ni CCM kukatwa Ndio akaenda Upinzani

Rip Edward Lowassa ni CCM ivyo ivyo baada ya kukatwa Ndio kaenda Upinzani

Lkn Chaguo la kwanza
ni CCM✅️
sio Upinzani ‼️
 
Back
Top Bottom