Kule nyuma JF ilikuwa inaheshimika sana, ukiandika post ya malalamiko haiishi wiki umeona matokeo. JF ilikuwa source ya knowledge, kulikuwa na mada zilizokuwa zinafundisha hasa, viongozi wa serikali walikuwemo humu muda wote.
Sahv post hata uandike mara 100 huwezi kuona impact, imepuuzwa, viongozi hawaji tena humu, humu kumeoza ni matusi, uzushi, kushambulia na kudhalilisha utu wa watu. JF inatumika kufanya za kishamba, siasa za majitaka, watu wenye akili wamekimbia mtandao.
Wapumbavu km mleta mada wameharibu JF, Leo hii haiwezi kumsaidia mwananchi, serikali haiuamini huu mtandao tena kwa aina ya post zilizomo humu, umekuwa km gazeti la Mwanahalisi gazeti ambalo hakuna mfanyabiashara au kampuni yenye akili ikapeleka tangazo lake kule.
Mmiliki wa JF ana-entertain wapumbavu na wanamfanya asifanikiwe km ambavyo ingekuwa, kuna watu wamejimilikisha huu mtandao na kazi yao ni uzushi, matusi, kuidogosha serikali, kukebehi, kuijekejeli serikali siyo ukosoaji. Mmeiharibu JF nyie mambwa nyumbu wa chadema.