Itakuwaje siku Samia akiingia JF asome watu wanavyomchukulia?

Laiti ningekuwa rais, ningetenga siku moja rasmi ya kitaifa, watu wasiende kazini.

Niite siku ya kuondoa dukuduku, kila mtu aseme chochote, hata akitukana sawa tu, aandike, aongee au afanye vyovyote awezavyo, ili tu dukuduku limtoke, asiwe na kinyongo. Kinyongo ni sumu mbaya iuayo.

Maoni ya watu wangu yooote nitahakikisha yanakusanywa, yanachakatwa na mwisho yanatolewa taarifa, uongozi uboreshe wapi, umekosea wapi na ujirekebishe vipi.

Naamini ingekuwa njia nzuri sana ya kulilainisha taifa.
Watu wenye dukuduku lazima wawe na stress, huwezi kufurahia maisha ukiwa stressed, ndio maana Tanzania imo miongoni mwa mataifa ambayo watu wake hawana furaha kabisa.
Amapita mno na yeye aliwahi kukiri mwenyewe kwenye Ile siku aliyokuwa mgeni rasmi Bawacha
 
Leo ukidanganywa kama katoto kwamba CCM inaiba kura

Mbona 2015 wapinzani chini ya rip Edward Lowassa walipata Ushindi sehemu nyingi tu

Kiasi ruzuku ya Chadema walikuwa wanapokea karibu Bilioni 1+ kila mwezi✍️
 
Watanzania wapo huru kuchagua yoyote wamtakae

Siolazima Wachague Upinzani ndiyo Demokrasia ya wapi iyo‼️‼️
 
Wala hilo halihitaji ushahidi kuwa ww ulikuwa chawa wa jiwe au unakataa hukuwa chawa wake?

Uyo Mdini Mdini ndio inamchagulia msimamo wake❗️

Akili yake imedhibitiwa na Dini kwaiyo Dini ndio inaamua sio yeye uyo 🤠🤠
 
Laiti ningekuwa rais, ningetenga siku moja rasmi ya kitaifa, watu wasiende kazini.

Niite siku ya kuondoa dukuduku, kila mtu aseme chochote, hata akitukana sawa tu, aandike, aongee au afanye vyovyote awezavyo, ili tu dukuduku limtoke, asiwe na kinyongo. Kinyongo ni sumu mbaya iuayo.

Maoni ya watu wangu yooote nitahakikisha yanakusanywa, yanachakatwa na mwisho yanatolewa taarifa, uongozi uboreshe wapi, umekosea wapi na ujirekebishe vipi.

Naamini ingekuwa njia nzuri sana ya kulilainisha taifa.
Watu wenye dukuduku lazima wawe na stress, huwezi kufurahia maisha ukiwa stressed, ndio maana Tanzania imo miongoni mwa mataifa ambayo watu wake hawana furaha kabisa.
Nitakuwa wa mwisho kuamini kwamba Bibi Kizimkazi haiingiii JF kuperuzi.
 
Kwahiyo huyu Mama kuna muda tutamuonea bure, Dr Nchimbi amewafungulia code tu ya katiba mnaona kilichompata?

Sasa ndio muelewe vizuri wanaoongoza nchi hamuwaoni kwa macho ya nyama, huyo Mama vingine tunamuonea tu.
Word..
 
Laiti ningekuwa rais, ningetenga siku moja rasmi ya kitaifa, watu wasiende kazini.

Niite siku ya kuondoa dukuduku, kila mtu aseme chochote, hata akitukana sawa tu, aandike, aongee au afanye vyovyote awezavyo, ili tu dukuduku limtoke, asiwe na kinyongo. Kinyongo ni sumu mbaya iuayo.

Maoni ya watu wangu yooote nitahakikisha yanakusanywa, yanachakatwa na mwisho yanatolewa taarifa, uongozi uboreshe wapi, umekosea wapi na ujirekebishe vipi.

Naamini ingekuwa njia nzuri sana ya kulilainisha taifa.
Watu wenye dukuduku lazima wawe na stress, huwezi kufurahia maisha ukiwa stressed, ndio maana Tanzania imo miongoni mwa mataifa ambayo watu wake hawana furaha kabisa.
Aiseeee acha tu , japo sijawai kuwa karibu yake. Zamani nilikua namun admire kwenye uongozi wake.

Currently namwogopa mno mno na hata comment humu mtandaoni naogopa.. kwa kweli namuogopa sana huyo kiumbe..

Cc. KIFO NI KIFO TU.
 
Humu ndani kuna wapiga kelele wachache , just imagine kama mngekuwa mko wengi sana ile mil 300 ingewashinda kwa kipind kile ..Tatizo lenu nyie ni waongo na mnalazimisha kila mtu awe upande wenu , jf kama platfom yenu ina wnachama chini ya mil 1 , wakiwa na multiple ID ...Mko wachache sana bado .
 
Yule Mama ni Mke wa pili Malafyale.
Yani Tunaongozwa na Waswahili mno.
Huu Muungano hapana aisee.

Ndio maana Mshenzi, Mcharuko, Shambenga, Gubegube, Michambo nk

Yule hajali kitu na Hasikiliz mtu.
Jasili haachi asili
Na nadhani ukiangalia watu wa kada ya Pwani hawastahili kuwa katika position ya rank ya juu kitaifa
 
Aiseeee acha tu , japo sijawai kuwa karibu yake. Zamani nilikua namun admire kwenye uongozi wake.

Currently namwogopa mno mno na hata comment humu mtandaoni naogopa.. kwa kweli namuogopa sana huyo kiumbe..

Cc. KIFO NI KIFO TU.
Kumuogopa ni kukiogopa kifo, lakini je utaogopa kukimbia kifo hadi lini?
 
Inaoneka mpaka sasa hamjui tatizo siyo Mama think deep.

Freeman Mbowe na akili zake zote alizojaaliwa na Mungu lakini aliweza kurubuniwa na watu wajinga kama Yericko Nyerere.

Freeman Mbowe angetumia utashi binafsi ilikuwa astaafu kwa heshima, lakini tatizo ni machawa waliokuwa wananufaika naye kama huyu mpuuzi Yericko.

Cameroon haiongozwi na Rais maana muda mwingi anaishi ulaya, sasa wale wanufaika wa mfumo wamemuweka pale Paulo Biya kuwa Rais wa maisha, nina uhakika hata ukipata nafasi ya kukutana na Paulo Biya hata yeye mwenyewe hajui kama bado ni Rais.

Kwahiyo huyu Mama kuna muda tutamuonea bure, Dr Nchimbi amewafungulia code tu ya katiba mnaona kilichompata?

Sasa ndio muelewe vizuri wanaoongoza nchi hamuwaoni kwa macho ya nyama, huyo Mama vingine tunamuonea tu.
Umeandika ujinga
 
Laiti ningekuwa rais, ningetenga siku moja rasmi ya kitaifa, watu wasiende kazini.

Niite siku ya kuondoa dukuduku, kila mtu aseme chochote, hata akitukana sawa tu, aandike, aongee au afanye vyovyote awezavyo, ili tu dukuduku limtoke, asiwe na kinyongo. Kinyongo ni sumu mbaya iuayo.

Maoni ya watu wangu yooote nitahakikisha yanakusanywa, yanachakatwa na mwisho yanatolewa taarifa, uongozi uboreshe wapi, umekosea wapi na ujirekebishe vipi.

Naamini ingekuwa njia nzuri sana ya kulilainisha taifa.
Watu wenye dukuduku lazima wawe na stress, huwezi kufurahia maisha ukiwa stressed, ndio maana Tanzania imo miongoni mwa mataifa ambayo watu wake hawana furaha kabisa.
Anakuwepo JF mara nyingi tu.
 
Back
Top Bottom