Itakuwaje siku Samia akiingia JF asome watu wanavyomchukulia?

Laiti ningekuwa rais, ningetenga siku moja rasmi ya kitaifa, watu wasiende kazini.

Niite siku ya kuondoa dukuduku, kila mtu aseme chochote, hata akitukana sawa tu, aandike, aongee au afanye vyovyote awezavyo, ili tu dukuduku limtoke, asiwe na kinyongo. Kinyongo ni sumu mbaya iuayo.

Maoni ya watu wangu yooote nitahakikisha yanakusanywa, yanachakatwa na mwisho yanatolewa taarifa, uongozi uboreshe wapi, umekosea wapi na ujirekebishe vipi.

Naamini ingekuwa njia nzuri sana ya kulilainisha taifa.
Watu wenye dukuduku lazima wawe na stress, huwezi kufurahia maisha ukiwa stressed, ndio maana Tanzania imo miongoni mwa mataifa ambayo watu wake hawana furaha kabisa.
Haya unayowaza yanaitwa "utashi wakisiasa".

Hawa makabaila hawana aina hiyo ya mawazo.

Wanachowaza ni namna ya kukandamiza siasa za ushindani na kuua upinzani na wapinzani ili kuweza kukasimisha madaraka kwa familia zao.
 
Tofauti na uko kwengine CCM inatekeleza ahadi zake kwa % kubwa
Siku 100 za Samia kuwepo madarakani ataanzisha mchakato wa kupatikana katiba mpya, hadi sasa ni miezi 10 imepita, hamna hata dalili za kupata katiba mpya.

Juzi baada ya kumfukuza uanachama wa CCM Emmanuel Nchimbi, Samia anaibuka hadharani akiisifia katiba chakavu ya mwaka 1977.

Tunawezaje kupata katiba mpya kutoka kwa mtu mwenye ndimi mbili kama huyu?
 
Laiti ningekuwa rais, ningetenga siku moja rasmi ya kitaifa, watu wasiende kazini.

Niite siku ya kuondoa dukuduku, kila mtu aseme chochote, hata akitukana sawa tu, aandike, aongee au afanye vyovyote awezavyo, ili tu dukuduku limtoke, asiwe na kinyongo. Kinyongo ni sumu mbaya iuayo.

Maoni ya watu wangu yooote nitahakikisha yanakusanywa, yanachakatwa na mwisho yanatolewa taarifa, uongozi uboreshe wapi, umekosea wapi na ujirekebishe vipi.

Naamini ingekuwa njia nzuri sana ya kulilainisha taifa.
Watu wenye dukuduku lazima wawe na stress, huwezi kufurahia maisha ukiwa stressed, ndio maana Tanzania imo miongoni mwa mataifa ambayo watu wake hawana furaha kabisa.
Mkuu umewaza vizuri,vipi tuanze na familia zenu kama utakua nayo.
 
Mfano mzee Warioba jana kadhalilika sana
Mtu akiugua ugonjwa anadhalilika?

Mbona Kikwete alisha dondoka jukwaani kwenye mikutano ya hadhara na siyo mara moja na husemi alidhalilika??

KIKWETE:
Mwaka 2005:
Alidondoka jukwaani pale Jangwani wakati wa ufunguzi wa kampeni zake za kwanza za kuwania urais kupitia CCM.

Mwaka 2010:
Alianguka tena mnamo mwezi Agosti katika viwanja hivyo hivyo vya Jangwani kwenye uzinduzi wa kampeni za awamu ya pili..
 
Laiti ningekuwa rais, ningetenga siku moja rasmi ya kitaifa, watu wasiende kazini.

Niite siku ya kuondoa dukuduku, kila mtu aseme chochote, hata akitukana sawa tu, aandike, aongee au afanye vyovyote awezavyo, ili tu dukuduku limtoke, asiwe na kinyongo. Kinyongo ni sumu mbaya iuayo.

Maoni ya watu wangu yooote nitahakikisha yanakusanywa, yanachakatwa na mwisho yanatolewa taarifa, uongozi uboreshe wapi, umekosea wapi na ujirekebishe vipi.

Naamini ingekuwa njia nzuri sana ya kulilainisha taifa.
Watu wenye dukuduku lazima wawe na stress, huwezi kufurahia maisha ukiwa stressed, ndio maana Tanzania imo miongoni mwa mataifa ambayo watu wake hawana furaha kabisa.
Jf kwa siku haifikishi watu 1m, Tanzania ina watu 70m
 
Back
Top Bottom