Itakuwaje siku Samia akiingia JF asome watu wanavyomchukulia?

Itakuwaje siku Samia akiingia JF asome watu wanavyomchukulia?

Laiti ningekuwa rais, ningetenga siku moja rasmi ya kitaifa, watu wasiende kazini.

Niite siku ya kuondoa dukuduku, kila mtu aseme chochote, hata akitukana sawa tu, aandike, aongee au afanye vyovyote awezavyo, ili tu dukuduku limtoke, asiwe na kinyongo. Kinyongo ni sumu mbaya iuayo.

Maoni ya watu wangu yooote nitahakikisha yanakusanywa, yanachakatwa na mwisho yanatolewa taarifa, uongozi uboreshe wapi, umekosea wapi na ujirekebishe vipi.

Naamini ingekuwa njia nzuri sana ya kulilainisha taifa.
Watu wenye dukuduku lazima wawe na stress, huwezi kufurahia maisha ukiwa stressed, ndio maana Tanzania imo miongoni mwa mataifa ambayo watu wake hawana furaha kabisa.
Kwanza we ni zoba unajulikana, pili watu km ww ndiyo mmeharibu JF mmefukuza watu wenye akili. Wapumbavu mmevamia huu mtandao na bahati mbaya moderators wamewa-entertain kwani mitazamo yenu inafanana. Usisahau JF wafuasi wake hasa wanaomchukia Rais ni chini ya asilimia moja ya watanzania. Kwa maana hiyo kampeni zenu zote mnazofanya humu haifikii ht kiwango cha tone la maji ktk maji ya bahari. Endeleeni tu kujidanganya mabwege nyie
 
Hiyo ilikuwa zamani kabla ya 29th of October 2025. Baada ya pale ni mwendo wa kukiogopa kivuli chake

Hamuogope nani Rais Dk Samia popote kwake popote anaweza kuja masaa 24 mpaka Makanisani mwenu
Na hakuna Kima yoyote wa kukohoa
Unacheza na Rais wa Jamhuri
Mnamuombea Mabaya yanawapata wengine

Mfano mzee Warioba jana kadhalilika sana

Angekuwa Yule ni Mzee Wasira

Jukwaa lingewaka MOTO na YESU YESU anaweza 😂😂😂😂
 
Ukweli Rais anapendwa zaidi kila wao wanavyo jitingisha ndivo Watanzania wanadhidi kumpenda zaidi 👍

Mungu ni mwenye kwa wote ❗️
Hivi hao waTz wanaompenda huyo bibi ni wa nchi gani? Maana huku Tz uswazi ninakoishi mm picha yake inatumika kuwatishia watoto wakikataa kutumwa.
 
Very sad. She used to a side chick/ mchepuko wa mwana.
Ndio maana hana staha hata kidogo, kuna siku alifichua jambo kuhusu Mzee Moses Nnauye, alisema walipokelewa na Nnauye Dodoma, akasema Salmin katuletea vichenchere.... na yule mzee zipu ilikuwa mbovu haifungi. Unganisha dots
Alisema kawaletea "mapapai".
"Kwa hivyo Nape ni mwanangu".
Hayo mengine Mimi sihusiki naogopa kupotea. I have children who depends on me to bring their food on the table.
 
Hamuogope nani Rais Dk Samia popote kwake popote anaweza kuja masaa 24 mpaka Makanisani mwenu
Na hakuna Kima yoyote wa kukohoa
Unacheza na Rais wa Jamhuri
Mnamuombea Mabaya yanawapata wengine

Mfano mzee Warioba jana kadhalilika sana

Angekuwa Yule ni Mzee Wasira

Jukwaa lingewaka MOTO na YESU YESU anaweza 😂😂😂😂
Mara ya mwisho kwa TEC alisusa hata kuongea baada ya kusomewa somo la maksudi la kumkera. Hatokanyaga tena mimbari ya kanisa katoliki
 
Kule nyuma JF ilikuwa inaheshimika sana, ukiandika post ya malalamiko haiishi wiki umeona matokeo. JF ilikuwa source ya knowledge, kulikuwa na mada zilizokuwa zinafundisha hasa, viongozi wa serikali walikuwemo humu muda wote.
Sahv post hata uandike mara 100 huwezi kuona impact, imepuuzwa, viongozi hawaji tena humu, humu kumeoza ni matusi, uzushi, kushambulia na kudhalilisha utu wa watu. JF inatumika kufanya siasa za kishamba, siasa za majitaka, watu wenye akili wamekimbia mtandao.
Wapumbavu km mleta mada wameharibu JF, Leo hii haiwezi kumsaidia mwananchi, serikali haiuamini huu mtandao tena kwa aina ya post zilizomo humu, umekuwa km gazeti la Mwanahalisi gazeti ambalo hakuna mfanyabiashara au kampuni yenye akili ikapeleka tangazo lake kule.
Mmiliki wa JF ana-entertain wapumbavu na wanamfanya asifanikiwe km ambavyo ingekuwa, kuna watu wamejimilikisha huu mtandao na kazi yao ni uzushi, matusi, kuidogosha serikali, kukebehi, kuijekejeli serikali siyo ukosoaji. Mmeiharibu JF nyie mambwa nyumbu wa chadema.
 
Maandamano ya nchi nzima lkn kusini yote kuko shwali kigambon yote ipo shwali Temeke yote ipo shwali Ilala yote ipo shwali

Bado mnajiona ndio sauti ya Wananchi

Fujo zimetokea tu kwenye makazi ya 🫎🫎🫎🫎🫎🫎🫎
 
Laiti ningekuwa rais, ningetenga siku moja rasmi ya kitaifa, watu wasiende kazini.

Niite siku ya kuondoa dukuduku, kila mtu aseme chochote, hata akitukana sawa tu, aandike, aongee au afanye vyovyote awezavyo, ili tu dukuduku limtoke, asiwe na kinyongo. Kinyongo ni sumu mbaya iuayo.

Maoni ya watu wangu yooote nitahakikisha yanakusanywa, yanachakatwa na mwisho yanatolewa taarifa, uongozi uboreshe wapi, umekosea wapi na ujirekebishe vipi.

Naamini ingekuwa njia nzuri sana ya kulilainisha taifa.
Watu wenye dukuduku lazima wawe na stress, huwezi kufurahia maisha ukiwa stressed, ndio maana Tanzania imo miongoni mwa mataifa ambayo watu wake hawana furaha kabisa.
Inaoneka mpaka sasa hamjui tatizo siyo Mama think deep.

Freeman Mbowe na akili zake zote alizojaaliwa na Mungu lakini aliweza kurubuniwa na watu wajinga kama Yericko Nyerere.

Freeman Mbowe angetumia utashi binafsi ilikuwa astaafu kwa heshima, lakini tatizo ni machawa waliokuwa wananufaika naye kama huyu mpuuzi Yericko.

Cameroon haiongozwi na Rais maana muda mwingi anaishi ulaya, sasa wale wanufaika wa mfumo wamemuweka pale Paulo Biya kuwa Rais wa maisha, nina uhakika hata ukipata nafasi ya kukutana na Paulo Biya hata yeye mwenyewe hajui kama bado ni Rais.

Kwahiyo huyu Mama kuna muda tutamuonea bure, Dr Nchimbi amewafungulia code tu ya katiba mnaona kilichompata?

Sasa ndio muelewe vizuri wanaoongoza nchi hamuwaoni kwa macho ya nyama, huyo Mama vingine tunamuonea tu.
 
Utafiti wawapi nyinyi na vi ID vyenu vingi vingi ndio mnajiona ni Watanzania wote

Mbona mlishindwa kushawishi Maandamano nchi nzima
Badala yake mkaishia
kimara tu wanapoishi 🫎🫎🫎🫎🫎🫎🫎🫎 kwa wingi😂😂
Kama maandamano yalifanyika Kimara tu, kwanini mauaji yalifanyika nchi nzima?

Kwahiyo mliua si kwasababu watu wanaandamana, ila mliua kwasababu nyie ni mumiani wanywa damu za watu
 
Back
Top Bottom