Itakuwaje siku Samia akiingia JF asome watu wanavyomchukulia?

Kutokuwa uwezo wa kumfanya chochote haina maana kwamba tunamtakia mema. In fact mimi licha ya ujinga wangu huu nina akili ya kutosha sana kumchukia.
Ni ujinga tu huwez kumfanya kitu chochote hata ukimtakia mabaya Kuna wengi wanamtakia mema kuliko wanaokutakia mema wewe, mumewe kafariki na umri wa miaka 80, sa mtu wa miaka hyo kufariki ni ajabu, mama hataishi kwenye ujane ya taabu hata cku Moja, yaan kiufupi unajitesa mwenyewe
 
Kwanza hawezi kuingia humu, hv ukitaja social media na JF ipo? Hii platform ni ya watu wasio na akili, ni ya watu waliokata tamaa, wafuasi wa chadema. Kazi yao ni kutukana, kudhalilisha, kuzusha uwongo, kuchochea chuki na ubaguzi.
JF nyumbu wa chadema wameiteka kwasababu founders wake ni wafuasi wa chadema. Nyie wapumbavu mmeuharibu huu mtandao kwa maslahi yenu ya kipumbavu. JF inatumika kufanya siasa za majitaka, siasa za kishamba za nyumbu wa chadema.
Hata hivyo bwanamdogo ujue watumiaje wa mitandao yote ya jamii hawafiki ht asilimia 5 kwa hiyo mnajisumbua tu. Pili Samia km kuna wapumbavu wanamchukia ni wale wale wapumbavu wachache wa siku zote na ht ID zenu ni zile zile. Vinginevyo watanzania wenye akili timamu, wazalendo tunampenda Rais wetu, tulimchagua mwaka jana. Ila wapumbavu km wewe na wenzako mliokimbia uchaguzi mmekazana kutaka kuushawishi na kuaminisha umma wa watanzania upumbavu wenu, mjidanganya na kufurahi km mazuzu
 
Attachments

  • Cam.png
    Cam.png
    336.1 KB · Views: 2
  • Home-Page_800.png
    Home-Page_800.png
    41.9 KB · Views: 2
Ila pamoja na hilo ni kweli kuwa watuniaji wa jf sidhani kama wanafika hata %3 ya watz.
True. Jf ni mtandao mmoja tu. Wao mitandao yote wanasema ni asilimia 1. Hata ikiwa ni kweli huko kitaa Maza hakuhaliki. Sio kwenye daladala sio sokoni. Watu wamechafukwa sana . Sidhani kama huu ukweli anaujua.
 
Ila tuongee ukweli hivi Kuna chawa yeyote wa magufuri anaye mkubali huyu mama?
Nyinyi machawa wa Magu mlianza kumchukia binti msumi tangu siku ya kwanza anaingia ikulu hata kabla ya kuanza kuchanya madudu ya kuteka na kuwa wapinzani wake.
Weka ushahidi wa uzushi wako…..
 
Ni ujinga tu huwez kumfanya kitu chochote hata ukimtakia mabaya Kuna wengi wanamtakia mema kuliko wanaokutakia mema wewe, mumewe kafariki na umri wa miaka 80, sa mtu wa miaka hyo kufariki ni ajabu, mama hataishi kwenye ujane ya taabu hata cku Moja, yaan kiufupi unajitesa mwenyewe
Ni kweli inawezekana najitesa mwenyewe ila ndo hivyo sasa nina mchukia sana kwa sababu sina sababu ya kumpenda
 
Bora umchukie mtu wa level zako kumchukia Rais wa nchi ni kujitesa, huwezi kukaa nae hata cku Moja mkamaliza tofauti zenu, chukia umasikini upambane nao sio mtu
 
Laiti ningekuwa rais, ningetenga siku moja rasmi ya kitaifa, watu wasiende kazini.

Niite siku ya kuondoa dukuduku, kila mtu aseme chochote, hata akitukana sawa tu, aandike, aongee au afanye vyovyote awezavyo, ili tu dukuduku limtoke, asiwe na kinyongo. Kinyongo ni sumu mbaya iuayo.

Maoni ya watu wangu yooote nitahakikisha yanakusanywa, yanachakatwa na mwisho yanatolewa taarifa, uongozi uboreshe wapi, umekosea wapi na ujirekebishe vipi.

Naamini ingekuwa njia nzuri sana ya kulilainisha taifa.
Watu wenye dukuduku lazima wawe na stress, huwezi kufurahia maisha ukiwa stressed, ndio maana Tanzania imo miongoni mwa mataifa ambayo watu wake hawana furaha kabisa.
Pamoja na maumivu yote ya msiba, Biblia inasema:

Wagalatia 6:7
“Msidanganyike, Mungu hadhihakiwi; kwa kuwa cho chote apandacho mtu, ndicho atakachovuna.

8 Maana yeye apandaye kwa mwili wake, katika mwili wake atavuna uharibifu; bali yeye apandaye kwa Roho, katika Roho atavuna uzima wa milele”.

Neno la Mungu lina nguvu sana na halina mwanzo wala mwisho.

Mama aliposema "Kifo ni kifo tu" alipouwawa ndg Kibao, ile ilikuwa kupanda uharibifu, watu waliumia kwa matamshi yale na si wa upinzani peke yake.
Pale hapakuwepo hekima ya Kimungu.

Sasa yale mtu asemayo mtu, huwa yanarudi kumsuta.
Kweli dunia tambara bovu.
 
Pamoja na maumivu yote ya msiba, Biblia inasema:

Wagalatia 6:7
“Msidanganyike, Mungu hadhihakiwi; kwa kuwa cho chote apandacho mtu, ndicho atakachovuna.

8 Maana yeye apandaye kwa mwili wake, katika mwili wake atavuna uharibifu; bali yeye apandaye kwa Roho, katika Roho atavuna uzima wa milele”.

Neno la Mungu lina nguvu sana na hslina mwanxo wala mwisho.

Mama aliposema "Kifo ni kifobtu" alipouwawa ndg Kibao, ile ilikuwa kupanda uharibifu, watu waliumia na si wa upinzani peke yake.
Pale hspskuwepo hekima ya Kimungu.

Sasa yale mtu asemayo yanarudi kumsuta.
Kweli dunia tambara bovu.
Na kawaida ya mbegu, unapanda moja, inazaa mamia
 
Siku zote Mungu hawezi kujiambatanisha na Wachochezi waongo waongo wafitini wenye nia mbaya kwa Watanzania million 60+
 
Kwanza hawezi kuingia humu, hv ukitaja social media na JF ipo? Hii platform ni ya watu wasio na akili, ni ya watu waliokata tamaa, wafuasi wa chadema. Kazi yao ni kutukana, kudhalilisha, kuzusha uwongo, kuchochea chuki na ubaguzi.
JF nyumbu wa chadema wameiteka kwasababu founders wake ni wafuasi wa chadema. Nyie wapumbavu mmeuharibu huu mtandao kwa maslahi yenu ya kipumbavu. JF inatumika kufanya siasa za majitaka, siasa za kishamba za nyumbu wa chadema.
Hata hivyo bwanamdogo ujue watumiaje wa mitandao yote ya jamii hawafiki ht asilimia 5 kwa hiyo mnajisumbua tu. Pili Samia km kuna wapumbavu wanamchukia ni wale wale wapumbavu wachache wa siku zote na ht ID zenu ni zile zile. Vinginevyo watanzania wenye akili timamu, wazalendo tunampenda Rais wetu, tulimchagua mwaka jana. Ila wapumbavu km wewe na wenzako mliokimbia uchaguzi mmekazana kutaka kuushawishi na kuaminisha umma wa watanzania upumbavu wenu, mjidanganya na kufurahi km mazuzu
Siasa za kuteka, kuuwa, kufira na kubambikia watu kesi za uhaini nani muasisi wake?

Wizi, dhulma, ufisadi nk nani muasisi wa siasa za namna hiyo?

Tuondolee ujinga wako hapa.
 
Bora umchukie mtu wa level zako kumchukia Rais wa nchi ni kujitesa, huwezi kukaa nae hata cku Moja mkamaliza tofauti zenu, chukia umasikini upambane nao sio mtu
Watu wa level zangu siwezi kuwachukia kwasababu mara nyingi wanajitahidi kuwa wema. Ni kweli kwamba siwezi kukaa nae na ndo sababu nafanya dua kila siku mabaya yamkute ikiwezekana afe kabisa hiyo ndio itakuwa mwisho wa tofauti zetu. Umaskini nauchukia sana pia, ila watu kama huyu bibi nao nawachukia kwasababu wapo kundi moja na umasikini
 
Watu wa level zangu siwezi kuwachukia kwasababu mara nyingi wanajitahidi kuwa wema. Ni kweli kwamba siwezi kukaa na ndo sababu nafanya dua kila siku mabaya yamkute ikiwezekana afe kabisa hiyo ndio itakuwa mwisho wa tofauti zetu. Umaskini nauchukia sana pia, ila watu kama huyu bibi nao nawachukia kwasababu wapo kundi moja na umasikinun
 
True. Jf ni mtandao mmoja tu. Wao mitandao yote wanasema ni asilimia 1. Hata ikiwa ni kweli huko kitaa Maza hakuhaliki. Sio kwenye daladala sio sokoni. Watu wamechafukwa sana . Sidhani kama huu ukweli anaujua.
Mm tangu nizaliwe mpaka najielewa ccm haijawahi kukubalika sehemu za mijini.
Ccm huwa inakubalika vijijini Kwa kiasi kikubwa.
Kabla ya Magufuri kuja na kutumia mabavu kuuwa siasa za ushindani ccm ilikuwa imesha poteza majimbo karibia yote kwenye majiji yote na miji ukiondoa Tanga na Dodoma hivyo suala la kiongozi wa ccm kutokukubalika sehemu za mijini sio geni.
Haya matusi anayo tukanwa huyu mama hayafiki hata robo ya aliyo tukanwa Kikwete licha ya kwamba Kikwete hakuwahi kufanya maovu kama ya huyu mama sema kipindi hicho mitandao ya kijamii ilikuwa haijashamili kama Sasa.

Mm mkuu ni mfanya biashara wa mazao hivyo Mimi ninazunguka sana vjiji vingi na sehemu kubwa ya nchi bado ccm ina ushawishi mkubwa vijijini na Nina uhakika na ninacho kiongea.
 
Yes CCM Ina wafuasi sijui kwanini wanatumia ubabe wa kutaka wao awe asilimia mia mpaka uchaguzi wa serikali za mitaa. Ujinga huu wakianza 2019! Hakuna kitu kibaya kama kujaribu 'kula' ya watu. Tangu 2019 ccm wanapora uchaguzi wazi wazi. Hii imechangia kufika hapa tulipo.
 
Kwanza hawezi kuingia humu, hv ukitaja social media na JF ipo? Hii platform ni ya watu wasio na akili, ni ya watu waliokata tamaa, wafuasi wa chadema. Kazi yao ni kutukana, kudhalilisha, kuzusha uwongo, kuchochea chuki na ubaguzi.
JF nyumbu wa chadema wameiteka kwasababu founders wake ni wafuasi wa chadema. Nyie wapumbavu mmeuharibu huu mtandao kwa maslahi yenu ya kipumbavu. JF inatumika kufanya siasa za majitaka, siasa za kishamba za nyumbu wa chadema.
Hata hivyo bwanamdogo ujue watumiaje wa mitandao yote ya jamii hawafiki ht asilimia 5 kwa hiyo mnajisumbua tu. Pili Samia km kuna wapumbavu wanamchukia ni wale wale wapumbavu wachache wa siku zote na ht ID zenu ni zile zile. Vinginevyo watanzania wenye akili timamu, wazalendo tunampenda Rais wetu, tulimchagua mwaka jana. Ila wapumbavu km wewe na wenzako mliokimbia uchaguzi mmekazana kutaka kuushawishi na kuaminisha umma wa watanzania upumbavu wenu, mjidanganya na kufurahi km mazuzu
Umeandika kwa hasira sana alafu ni ujinga. Kunywa maji kidogo akili ikukae sawa then nikuulize, je na wewe ni member wa Chadema? Maana huko humu. Kwanini usienxe kwenye social media zingine kwani hii umesema siyo social media.
Hata Tlaatlaah pamoja na ujinga wake lakini hawezi andika haya
 
Back
Top Bottom