Itakuaje CHADEMA kikifutwa na msajili wa vyama?

Itakuaje CHADEMA kikifutwa na msajili wa vyama?

CHADEMA ikifutwa itachukua muda sana kusimama upya kama wataunda chama kipya. Cha muhimu wawe watiifu kwa msajili ili asije kuwatumia kama mfano kwa vyama vingine visivyotii sheria bila shuruti.
Kwanini? Wachangiaji wengine sio watiifu kama wewe

Sema watahoji kwann? Jina lako lina samia daah ila jf kwa chuki
 
Helooooh

Swali tu hilo na naomba moderator hasifute wala asibadili kichwa cha habari

Chama kikifutwa na msajili wa vyama mtafanyaje?

Chadema kikifutwa kwa kanuni za nchi ninyi mtafanyaje? Wanachama na viongozi wa chadema

Mtasajili chama kingine au mtasusia maswala ya siasa

Mkisajili chama kingine mtakiitaje

Au mtaamia vyama vya siasa vingine

Moderator habari
Mawazo ya kijinga
 
Kwani si mkilifungia kisifanye siasa nani kawaambia mkifungulie hata kukifuta haitawezekana
 
CHADEMA ikifutwa ndo hatari zaidi.
Hata hivyo siasa za sasa chama su lazima as long as vijana ma wananchi wanajua juwa hakuna HAKI,hawapati fursa ya kunufaika na rasilimali za nchi yao,wanazidi kuwa mafukara huku kundi fulani linatajirika zaidi n.k.

Wafute tu.

Umeona madhara ya CHADEMA kutoshiriki chaguzi zilizopita, hasa 29 October.
Nchi inekwama
 
Watoto mmefunga shule , likizo hii mpaka inaisha tutapata shida Sana na mada za kijinga kama hizi
 
Kwani si mkilifungia kisifanye siasa nani kawaambia mkifungulie hata kukifuta haitawezekana
Una ni mention mm, mm sio msajili wa vyama mkuu
 
Back
Top Bottom