Nyahoza: Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa ni mlezi wa vyama vyote; haina uonevu wala upendeleo

Nyahoza: Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa ni mlezi wa vyama vyote; haina uonevu wala upendeleo

Nyakijooga

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2018
Posts
491
Reaction score
781
Akizungumza mara baada ya kikao na uongozi wa CHADEMA katika ofisi za makao makuu ya chama hicho, Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa, Sisty Nyahoza, amesema kuwa Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa ni mlezi wa vyama vyote vya siasa, hivyo haina uonevu wala upendeleo kwa chama chochote.

Nyahoza ameongeza kuwa wamepokelewa na kukaribishwa vyema na viongozi wa CHADEMA. Amesema kuwa lengo la ziara hiyo lilikuwa kufuatilia utekelezaji wa sera ya madawati ya kijinsia, na kwamba CHADEMA wanaitekeleza vizuri sera hiyo.


 
Back
Top Bottom