Itakuaje CHADEMA kikifutwa na msajili wa vyama?

Itakuaje CHADEMA kikifutwa na msajili wa vyama?

Haujui kama kesi ipo mahakaman chama kifutwe
Hata ya kusimamisha shughuli za CHADEMA hujui ilifanyika huko huko mahakamani na maamuzi ya kutengua huko huko mahakamani, yasikushughulishe, kwa sababu kwa upande wako hata kikifutwa hautafaidika chochote
 
Kama mwanch na ninataka ccm itoke madarakani lazima nihoji
 
Helooooh

Swali tu hilo na naomba moderator hasifute wala asibadili kichwa cha habari

Chama kikifutwa na msajili wa vyama mtafanyaje?

Chadema kikifutwa kwa kanuni za nchi ninyi mtafanyaje? Wanachama na viongozi wa chadema

Mtasajili chama kingine au mtasusia maswala ya siasa

Mkisajili chama kingine mtakiitaje

Au mtaamia vyama vya siasa vingine

Moderator habari
 
Sijashangaa kuona profile yako ni Tenga
 
Kumbe umejiunga JF juzi du huna hadhi ya kubishana na mimi
Pengine nimejiunga JF kitambo kuliko wewe ila hizo akili zako ndio za kijinga zaid.. mimi sibishani kwa kuwa sijakufata ulipo

Kimbele mbele chako ndio kimekuleta kwenye uzi huu, siku ingine upite mbio ndefu uache shobo
 
CHADEMA ikifutwa itachukua muda sana kusimama upya kama wataunda chama kipya. Cha muhimu wawe watiifu kwa msajili ili asije kuwatumia kama mfano kwa vyama vingine visivyotii sheria bila shuruti.
Unaweza futa chama cha siasa lakini huwezi ukazima/ fukia hoja kama katiba mpya, tume huru ya uchaguzi, ufisadi, rushwa, utekaji/ kupotezwa.. e.t.c

"You can eliminate a person e.t.c, but an idea will always find a new voice." (Unaweza kumuondoa mtu, lakini wazo daima litapata sauti mpya.)

NB. Ideas outlive those who fear them. 🔥
 
Back
Top Bottom