Tizama www,tzuk.comTZUK.com - Connecting Tanzanians In The UK - HOME kuna picha ya Sumaye yeye amekwenda kutibiwa uingereza kwa pesa za walipa kodi,lakini amepiga picha yuko kwenye mahubiri ya dini,chanzo cha habari soma Tanzania Daima kwenye maoni ya Richmond kwenda bungeni www,freemedia.co.tz,jee Sumaye na Michuzi nani wa kusemwa?
Kama kweli anatumia kifaa cha kazi cha mwajiri (camera) kwa manufaa ya blog yake/kwa kupiga picha na kuweka kwenye blog yake basi litakuwa ni kosa, unless alikubaliana hilo na mwajiri wake.
Na pia kama anatoa same photos and video clips kwenye blog yake na kwa mwajiri wake pia ni kosa unless kuna makubaliano maalum na mwajiri wake.
Kama anatoa breaking news kwenye blog yake, kabla hizo news hazijatolewa na gazeti au website ya gazeti aliloajiriwa, basi ni kosa pia unless kuna makubaliano maalum na mwajiri wake au yeye ndio anampa favour mwajiri kwa kumpa habari ambazo tayari zipo Michuzi blog.
Kwa Michuzi kuzichukulia safari za kikazi kama vaccation ni kosa, anatakiwa ajue kwamba everyword counts. Kama analipiwa safari na Daily news, basi anatakiwa ajue kuwa ni pesa za walipa kodi, na anatakiwa awape heshima hao walipa kodi kwa kuonyesha kwamba hachukulii kazi yake kimzahamzaha. Vinginevyo, alivyosema mchangiaji mmoja hapa kwamba alichofanya Michuzi ni freudian slip, basi Michuzi inaelekea huwa hafanyi kazi zake ipasavyo.
Hata hivyo Michuzi kafanya bonge la courtesy call kwa JF kwa kuhamishia umma humu JF. As known, once you step in JF, it is hard to step out.
Kama haya yote sio kweli, ingekuwa vizuri kwa bwana Michuzi, ajitokeze na kuelezea huu utata.
hio picha ilipigwa london na mwana JF mmoja aliileta hapa......kwani wewe mbona umepiga picha na stripers?OYO ,
Kazi unayo mzee..utajibu sana ..kwanini usinyamaze tu?una uhakika gani kama naniii ndiyo kanuunua hiyo makitu...isije ikawa imelipiwa na wadau
naomba kujua mahusiano ya kodi ya wanananchi na mr michuzi kupiga picha akiwa mapumzikoni baada ya kazi.....
Mr Michuzi ni maarufu huwezi kumlinganisha na watu kama anty Uwiano au investigatro dilunga
Jibu ni BOTH of em.
Kwa kuongezea tu ni kwamba,malengo mazima ya ziara hii ya Michuzi kwa mujibu wake yeye mwenyewe,anataka tuelewe kuwa ni vekesheni,hapo na sisi ndo tukauliza,si big deal hapa kwani hatuna maslahi.
Nimesema ni BOTH kwasababu kinachopigiwa kelele si ndo hicho hicho "Ufujaji wa pesa za walipa kodi?"
Kama Sumaye akifanya hivyo,basi na Michuzi ni halali,what kind of generation tunajenga? Ni lazima sisi kama jamii tubadiike kwanza inapokuja kwenye issue ambazo tunataka ziwe mifano yenye kuijenga jamii,sasa mwingine akifanya kazi serikalini si ndio atajuwa kuwa kazi serikalini ni kama vekeshini tu? Hushangazwi kwanini jamii yetu iko corrupt? Utajustify sasa hivi lakini consequences zake ni long term.
Mama!....Maneno yako ni mazito na umeyajenga kwenye mtiririko wa kiuandishi,Yote uliyoyaeleza yamewahi kujadiliwa kirefu na hao waajiri wa Michuzi.Hakuna asiyemfahamu Issa humu kwa uandishi wake na kuchanganyika kwake na Jamii ya Watanzania wawe nyumbani pale Leaders Club au hata ng'ambo anapokwenda kikazi kwa kutumwa na Daily News,kuongozana na Rais au ziara zake binafsi (Vakesheni).
Mara nyingi Michuzi hutumia neno vacation kwenye ziara za nje hata kama akiwa kazini...inaweza kuwa ni kosa....lakini ni wazi kabisa hutumia muda huo kufanya kazi aliyotumwa na Mwajiri wake,na kila mtu analifahamu hilo....Michuzi ni mtani na nafikiri (mawazo yangu) Utani wake umefanya baadhi ya watu,watumie makosa yake ya kibinadamu kumbana Michuzi kutokana na Lugha zake za mitaani ambazo mara nyingine zinaleta maana tofauti.(Ambazo huweza kutumiwa vibaya na baadhi ya watu)
Madai ya mleta mada (Muanzisha thread) ni mazito na wala sio ya kuupuzwa,kwa sababu kuna pesa ya mlipa kodi inatumika hapa...Lakini kujenga hoja na kujua kwa nini Michuzi anachanganya kazi na mambo binafsi na kutumia Vifaa vya Umma kwa kazi binafsi ni bora muwasilishe malalamiko kwa Mwajiri wake...kuliko hapa ambako baadaye tutaanza kuingia kwenye Maisha binafsi ya Ndugu yetu na kumkosea Heshima.
All in all Bado Michuzi ni muhimu kwa kutupa habari,ziwe za serikali au jamii inayotuzunguka,naweza kusema kila mmoja wetu kwa namna yake anaguswa na Habari za Michuzi haswa kupitia Blog yake.....Michuzi ni muingiaji humu,lakini kwa Kariba yake hawezi kujibu madai ya humu....cha msingi ni vyema kuwasiliana na watu wa Daily News na patafanywa marekebisho pale panapoonekana pamepwaya.Contact ya Daily News ni 222-135239/222 112881 au email newsdesk@dailynews-tsn.com na webmaster@daily.co.tz
Issa Michuzi kaandika kwenye blog yake kuwa yuko vekesheni, na kweli anatundika picha mbalimbali akiwa anajivinjari sehemu mbalimbali nchini Marekani.
View attachment 4638
Ninachojiuliza, je ni kweli amejilipia vekesheni hiyo yeye mwenyewe au yuko kwenye msafara wa Rais Kikwete nchini Marekani?
View attachment 4639
Kama yuko kwenye msafara wa rais, ina maana analipiwa gharama zote na pesa ya walipa kodi. Je ni halali kufanya ziara ya kikazi kuwa vekesheni yake na kufanya shughuli binafsi kama alivyoonyesha kwenye picha mbalimbali kwenye blog yake?
View attachment 4640
Kwa mshahara wa mfanyakazi wa serikali kama Issa, sio rahisi kufanya vekesheni sehemu mbalimbali za dunia, na kujigharimia mwenyewe. Je Issa Michuzi anapata wapi pesa hizi?
Je, Issa Michuzi ni fisadi au anafadhiliwa na mafisadi kwenye safari zake? Kama mfanyakazi wa serikali, Issa Michuzi anatumia muda kiasi gani ofisini, akilitumikia Taifa kama muda mwingi anakuwa safarini, na kwa nini anatumia muda wake mwingi kwenye shughuli zake binafsi kama safari zake zinalipiwa na walipa kodi?
Naomba kueleweshwa na yeyote mwenye kujua zaidi.
Picha zote zimetoka Michuzi blog.
Michuzi kafanya kazi aliyotumwa huko Marekani.
wakati Sumaye kasema anaumwa hivyo akatibiwe nje wakati hana ugonjwa ana nguvu za kutembea kwenye makanisa na kuhubiri,mgonjwa anakuwa hana nguvu za kutembelea makanisa,sana sana ataombewa yeye,kama ana nguvu za kuzurura makanisani hakuna na sababu kutumbua pesa zetu walipa kodi kwa kisingizio cha kutibiwa.
mwaka 2004 alitumia pesa za serikali milioni 500 kwa safari ya kikanisa MAREKANI.
- Hoja hujibiwa kwa hoja, huu ndio mfano wa kuigwa, chapa bakora hao hakuna huruma!
- Mungu ambarikie Michuzi azidi, maana namkumbuka longtime ago akitupiga picha bure pale YMCA kwenye Disco toto la DJ Kali Kali na Nigger Jay,
- leo michuzi ni mfalme tena wa kujadiliwa na wasomi wa Internet tena wa dunia nzima? Wallahi Mungu kweli yupo, Michuzi mwanangu kula vekesheni ila usisahau wabongo tuna roho za kikorosho si unaonaa hapa watu wanataka ukale polisi,
- Wengine humu tunawajua sana walijaribu kuazisha vi-blogu vyao kushindana na wewe sasa yamewashinda huko kwao hakuna comment hata moja zaidi ya mipicha yao tu, chunga sana hawa Michuzi, nitaku-beep!
FMES!
kweli kabisa huyu mtu ni supa star hawajui kama katoka mbali,wape wasifu wake kidogo.anachokula leo Michuzi kakisotea zaidi ya miaka 15 iliyopita.lakini kazi iliyompeleka kaifanya lawama za nini jamani!- Hoja hujibiwa kwa hoja, huu ndio mfano wa kuigwa, chapa bakora hao hakuna huruma!
- Mungu ambarikie Michuzi azidi, maana namkumbuka longtime ago akitupiga picha bure pale YMCA kwenye Disco toto la DJ Kali Kali na Nigger Jay,
- leo michuzi ni mfalme tena wa kujadiliwa na wasomi wa Internet tena wa dunia nzima? Wallahi Mungu kweli yupo, Michuzi mwanangu kula vekesheni ila usisahau wabongo tuna roho za kikorosho si unaonaa hapa watu wanataka ukale polisi,
- Wengine humu tunawajua sana walijaribu kuazisha vi-blogu vyao kushindana na wewe sasa yamewashinda huko kwao hakuna comment hata moja zaidi ya mipicha yao tu, chunga sana hawa Michuzi, nitaku-beep!
FMES!
- Hoja hujibiwa kwa hoja, huu ndio mfano wa kuigwa, chapa bakora hao hakuna huruma!
- Mungu ambarikie Michuzi azidi, maana namkumbuka longtime ago akitupiga picha bure pale YMCA kwenye Disco toto la DJ Kali Kali na Nigger Jay,
- leo michuzi ni mfalme tena wa kujadiliwa na wasomi wa Internet tena wa dunia nzima? Wallahi Mungu kweli yupo, Michuzi mwanangu kula vekesheni ila usisahau wabongo tuna roho za kikorosho si unaonaa hapa watu wanataka ukale polisi,
- Wengine humu tunawajua sana walijaribu kuazisha vi-blogu vyao kushindana na wewe sasa yamewashinda huko kwao hakuna comment hata moja zaidi ya mipicha yao tu, chunga sana hawa Michuzi, nitaku-beep!
FMES!
Issa Michuzi kaandika kwenye blog yake kuwa yuko vekesheni, na kweli anatundika picha mbalimbali akiwa anajivinjari sehemu mbalimbali nchini Marekani.
View attachment 4638
Ninachojiuliza, je ni kweli amejilipia vekesheni hiyo yeye mwenyewe au yuko kwenye msafara wa Rais Kikwete nchini Marekani?
View attachment 4639
Kama yuko kwenye msafara wa rais, ina maana analipiwa gharama zote na pesa ya walipa kodi. Je ni halali kufanya ziara ya kikazi kuwa vekesheni yake na kufanya shughuli binafsi kama alivyoonyesha kwenye picha mbalimbali kwenye blog yake?
View attachment 4640
Kwa mshahara wa mfanyakazi wa serikali kama Issa, sio rahisi kufanya vekesheni sehemu mbalimbali za dunia, na kujigharimia mwenyewe. Je Issa Michuzi anapata wapi pesa hizi?
Je, Issa Michuzi ni fisadi au anafadhiliwa na mafisadi kwenye safari zake? Kama mfanyakazi wa serikali, Issa Michuzi anatumia muda kiasi gani ofisini, akilitumikia Taifa kama muda mwingi anakuwa safarini, na kwa nini anatumia muda wake mwingi kwenye shughuli zake binafsi kama safari zake zinalipiwa na walipa kodi?
Naomba kueleweshwa na yeyote mwenye kujua zaidi.
Picha zote zimetoka Michuzi blog.
Tarehe May 25, 2009 8:09 PM, Mtoa Maoni:Anonymous
AMIII FOLAMU ACHENI WIVU ENDELEZENI BLOG YENU VAKESHENI LA MKUU WETU WA WILAYA MH.NANIII LINAWAUMA NA MBADO NA MTAJUUUTAAA KUMFAHAMUUU.
Tarehe May 25, 2009 8:41 PM, Mtoa Maoni:Anonymous
POLE KAKA MICHUZI.
MIMI HAO JAMII FORUMS NILIACHANA NAO ZAMANI SANA KWANI KULE NI KUISIFU CHADEMA TU,
WAMEKUTUKANA KWA MUDA MREFU NA KUIKANDIA BLOG YAKO HASA YULE MWANAKIJIJI,
HAWA WALIKUWA WANAITWA JAMBO FORUM WAKAIBA BRAND YAKO YA BLOG YA JAMII WAO WAKAWEKA JAMII FORUMS.
NI KUNDI LA WACHAGGA WA CHADEMA KAZI YAKO KUMTUKANA RAIS WETU,MAWAZIRI NA SERIKALI UKIWAKOSOA WANAKUFUNGIA.
NI FORUMS ISIO NA DEMOKRASIA,KIBAYA ZAIDI HAO KINA MWANAKIJIJI WAKIWA NA JAMBO LAO WANALILETA HAPA HAPA KWAKO.
HUKU WAKIKUONEA DONGE MOYONI.
WALIWAHI KUTUNGA UONGO KUWA ISSA MICHUZI ATAPEWA UPIGA PICHA IKULU WAKATI HANA SIFA,NILIBISHANA NAO SANA JUU YA HILI KUWA KAMA ISSA MICHUZI HANA SIFA ZA KUPIGA PICHA NANI ANAWEZA? HAWAKUHOJI FREDY MARO ANA SIFA ZIPI ZA KUPIGA PICHA UKIGOOGLE UTAONA UNAFIKI WA HAWA KINA MWANAKIJIJI.
MIJADALA YA JAMII FORUMS IMEGUBIKWA NA UDINI LINAPOTOKEA JAMBO KWA MUISLAM BASI WAO WANAMKOMALIA.
UCHAGUZI WA BUSANDA WAO WALISHATOA MATOKEO KUWA CHADEMA ITASHINDA KWA ASILIMIA 55.
AKATOKEA MTU KUPINGA AKASHAMBULIWA SANA.
JAMII FORUMS HAINA UMAARUFU WOWOTE KWANI IMEPOTEZA MWELEKEO,WATU WA MAANA WOTE HAWAPITI KWANI NI KAMA TAWI LA CHADEMA.
HALAFU MTU MMOJA ANAKUWA NA MAJINA ZAIDI YA KUMI KAMA MWANAKIJIJI ANATUMIA MWAFRIKA WA KIKE,BI SENTI 50,MADELA WA MADILU,KOBA,NYANI NGABU,KELLY 01,ANAANDIKA YEYE HALAFU ANAJIJIBU,NI KAMA KARATA TATU MCHEZO WA KITAPELI.
MICHUZI UKO JUU SANA LABDA UWAWEKEE PICHA ZA MWENYEKITI WAO MBOWE ALIPOKUWA DJ AKIWA NA KALIKITI KICHWANI PALE MBOWE CLUB, WAJUE KUWA WEWE NI MKONGWE KWENYE FANI.
KINGINE HAWA WATU WAKO NJE ILA WENGI WAO HAWAWEZI KUSAFIRI KAMA WAKO DETROIT MAREKANI LAKINI VIBALI VYAO HAVIWARUHUSU KUSAFIRI YAANI WAKO CHIMBO AU UNDERGROUND WENGI WAO WANASUBIRI LABDA RAIS OBAMA ATATOA MSAMAHA WA ILLEGAL IMMIGRANTS,
NDIO WAWEZE KUJA NYUMBANI KUSALIMIA NDUGU NA JAMAA AU KUSHIRIKI KWENYE KAMPENI ZA VYAMA VYAO AU KUJA NA MAITI INAPOTOKEA MISIBA,
KINGINE NAULI YA TZ NA MAREKANI NI KUBWA HIVYO KAZI ZAO ZA KUWATAWAZA WAZEE HAZIWAKIDHI KUPATA TIKETI YA KWENDA HOLIDAY,
CHUKI ZAO ZOTE NDIO WANAZIWEKA JAMII FORUM KWA KINA MICHUZI,RAIS WETU N.K
NI MIMI MDAU MSWAHILI NILIYEKUWA JAMBO FORUM KABLA YA KUKOPI BRAND YA MICHUZI NA KUIITA JAMII FORUM, NIMEACHA KUCHANGIA BAADA YA KUONA TUNAJADILI UCHAGGA,UCHADEMA NA UKRISTU TU.
MDAU.MSWAHILI.
FMES huu utakuwa ni uswahili wa ajabu kusema kuwa watu wanajadili hoja hapa JF kwa kujuana,samahani sana sipo kwenye kundi hilo....Wengine tunajadili hoja kama watu "Huru" Mkuu.
Usitake kuipeleka hoja kwenye personal for almost everybody who's contributing on this thread,honestly. Unataka kusema nani si mshabiki wa Michuzi? Yani unataka kusema ni wote wenye kuhoji kama ni neno ama ni kweli ni vekesheni got anything to do with the so called Michuzi's well being?
Nadhani kama unawafahamu hao waliotaka kuanzisha "Viblogu" ambao hawampendi Michuzi,basi kauli hizo na ziwe kwao,ila wengine tunajadili tu bila maslahi na huku pia tukimfagilia Michuzi.
Kuweka mambo ya ushabiki kwenye shughuli za umma hakufai kabisa,na ndiyo msingi wa hoja hapa. No wonder ufanisi wa serikali zetu ni mbovu kwasababu watu wakiulizwa maswali badala ya mjadala ni chuki kwamba eti kuna vijicho.
Si wote mkuu.
kweli kabisa huyu mtu ni supa star hawajui kama katoka mbali,wape wasifu wake kidogo.anachokula leo Michuzi kakisotea zaidi ya miaka 15 iliyopita.lakini kazi iliyompeleka kaifanya lawama za nini jamani!
ila ametuletea watu wengi kwenye JF tizama wageni waliopo leo.
- - Mkuu Mushi leo naona unatafuta sana ligi na mimi, samahani sana sina sababu ya ligi na wewe, kwa sababu Michuzi humjui kwa maneno yako mwenyewe, halafu unasema hujawahi kuanzisha blogu, sasa pili pili inakuwashia nini mkuu?
- - Wewe huji hapa kwa sababu ya kumjua Michuzi then pili pili inakuwahisa nini?
- Please sina muda wa kupoteza na wewe.