Issa Michuzi na vekesheni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Issa Michuzi na vekesheni

Discussion in 'Celebrities Forum' started by Mapinduzi, May 24, 2009.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #1
  May 24, 2009
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Issa Michuzi kaandika kwenye blog yake kuwa yuko vekesheni, na kweli anatundika picha mbalimbali akiwa anajivinjari sehemu mbalimbali nchini Marekani.

  View attachment 4638

  Ninachojiuliza, je ni kweli amejilipia vekesheni hiyo yeye mwenyewe au yuko kwenye msafara wa Rais Kikwete nchini Marekani?

  View attachment 4639

  Kama yuko kwenye msafara wa rais, ina maana analipiwa gharama zote na pesa ya walipa kodi. Je ni halali kufanya ziara ya kikazi kuwa vekesheni yake na kufanya shughuli binafsi kama alivyoonyesha kwenye picha mbalimbali kwenye blog yake?


  View attachment 4640

  Kwa mshahara wa mfanyakazi wa serikali kama Issa, sio rahisi kufanya vekesheni sehemu mbalimbali za dunia, na kujigharimia mwenyewe. Je Issa Michuzi anapata wapi pesa hizi?

  Je, Issa Michuzi ni fisadi au anafadhiliwa na mafisadi kwenye safari zake? Kama mfanyakazi wa serikali, Issa Michuzi anatumia muda kiasi gani ofisini, akilitumikia Taifa kama muda mwingi anakuwa safarini, na kwa nini anatumia muda wake mwingi kwenye shughuli zake binafsi kama safari zake zinalipiwa na walipa kodi?

  Naomba kueleweshwa na yeyote mwenye kujua zaidi.

  Picha zote zimetoka Michuzi blog.
   
 2. Pundamilia07

  Pundamilia07 JF-Expert Member

  #2
  May 24, 2009
  Joined: Oct 29, 2007
  Messages: 1,433
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Je, Issa Michuzi ni fisadi au anafadhiliwa na mafisadi kwenye safari zake?

  Oh, yeah, nimepotea katika kichaka cha ukoka!!!!
   
 3. Visenti

  Visenti JF-Expert Member

  #3
  May 24, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 1,031
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 133
  Yupo kikazi ktk msafara wa JK, kwa wabongo kwenda nje kikazi wanaichukulia ni vekesheni, hata mabalozi wetu wako vekesheni.
   
 4. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #4
  May 24, 2009
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0

  Kwa nini wanatumia pesa za walipa kodi kwenye vekesheni zao jamani? Hii ndio mipango ya nchi ambayo wanafunzi wa shule ya msingi wanakaa chini kwa ukosefu wa madawati?
   
 5. BUSARA6

  BUSARA6 JF-Expert Member

  #5
  May 24, 2009
  Joined: Jan 8, 2007
  Messages: 340
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Yupo kikazi, si unajua ana kazi mbili!
   
 6. M

  Mapinduzi JF-Expert Member

  #6
  May 24, 2009
  Joined: Aug 23, 2008
  Messages: 2,427
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0

  Sijui kama ana kazi mbili, kazi hizo ni zipi ndugu yangu? Tafadhali, naomba nieleweshe.

  View attachment 4648


   
  Last edited by a moderator: May 24, 2009
 7. Maarifa

  Maarifa JF-Expert Member

  #7
  May 24, 2009
  Joined: Nov 23, 2006
  Messages: 2,873
  Likes Received: 1,045
  Trophy Points: 280
  Hata Da Gama yuko vekesheni!! Duuhh!
   
 8. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #8
  May 24, 2009
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,588
  Likes Received: 480
  Trophy Points: 180
  Sasa mnataka kuchemka, kama mmekosa thread za kuanzisha bora mtafute wimbo mmoja hapa tuujadili.
  Hiyo lugha ya vekesheni ni humour anayoitumia michuzi kama msanii katika fani ya ku-blog. Kama unashangaa kutumia vekesheni mbona huulizi kwanini anajiita ''nanihii'', au unadhani ana jina?
   
 9. L

  LeoKweli JF-Expert Member

  #9
  May 24, 2009
  Joined: Apr 23, 2008
  Messages: 335
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  usishangazwe mzee! issa michuzi ni mpiga picha wa gazeti la shirika la serikali daily news! kwahiyo huenda popote mkuu wa nchi anapoenda lazima gazeti la serikali liwepo. kuhusu yeye kutumia hizo nafasi kufanya vitu vingine i think is unfair critisim,, hata wewe ukienda kwenye mkutano mbagala baada ya mkutano kama kuna ndugu zako utatumia wasaha kwenda kuwatembelea, issa michuzi ni ndugu wa wa tanzania wote ughaibuni.mwisho ratiba ya rais ina a lot of unofficial hours which doesnt need watu wasiotoka in the goverment to be with president,in which michuzi he in not government official
   
 10. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #10
  May 24, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Wewe UM katafute kazi ya kufanya..sasa ni madudu gani haya unatuletea jamvini?
   
 11. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #11
  May 24, 2009
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,445
  Likes Received: 7,182
  Trophy Points: 280
  mhuuu kazi kweli kweli
   
 12. ChaMtuMavi

  ChaMtuMavi JF-Expert Member

  #12
  May 24, 2009
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 333
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kwani na yeye si ana haki kuleta mawazo yake, wewe vipi wewe
   
 13. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #13
  May 24, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Na mimi nina haki ya kuhoji..so just tuliza kitenesi.
   
 14. ChaMtuMavi

  ChaMtuMavi JF-Expert Member

  #14
  May 24, 2009
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 333
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
 15. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #15
  May 24, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
 16. ChaMtuMavi

  ChaMtuMavi JF-Expert Member

  #16
  May 24, 2009
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 333
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  sasa na wewe acha kufuata fuata avatar yangu, na huo ndio uhuru wangu
   
 17. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #17
  May 24, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Huna ubavu wa kuni-limit uhuru wangu wa maoni..this will go down as your wildest of wishes but will never become true..kama nilivyokwisha kwambia kama umekereka sana saga vyupa..mimi ntakusaidia kukunywesha..thats all i can do.!
   
 18. ChaMtuMavi

  ChaMtuMavi JF-Expert Member

  #18
  May 24, 2009
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 333
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  this time itabidi umueleze mwenzio kwanini unanifuatafuata na avatar yangu
   
 19. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #19
  May 24, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Nakufuata wewe au avatar au wote wawili?..lol
   
 20. ChaMtuMavi

  ChaMtuMavi JF-Expert Member

  #20
  May 24, 2009
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 333
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  sasa ndio itabidi umueleze mwenzio, Bwa hahaha
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...