Israel Adesanya: Girlfriend adai nusu ya mali kwa kukaa muda mrefu kwenye mahusiano

Bravo AI

Senior Member
Jan 13, 2023
111
215
Aliye kuwa mpenzi wa bingwa wa ngumu za ndondi wa uzito wa kati UFC Israel Adasanya anayeitwa Charlotte powdrell amaemburuta mahakamani bondia huyo akidai nusu ya mali yake kwa sababu ya kukaa muda mrefu kwenye mahusiano.

Wawili hao hawakuwahi kufunga ndoa mpaka wanaachana na hawakubahatika kupata mtoto kwa kipindi cha miaka minne ya mahusiano yao

Screenshot_20230515-185731.jpg
 
SUMMARY
Charlotte Powdrell, aliyekuwa mchumba wa bondia Israel Adesanya amemburuta mahakamani Israel Adesanya [mwanamasumbwi] akitaka alipwe nusu ya mali za mwanamasumbwi huyo kwa madahi kwamba alidumu naye katika uchumba kwa muda mrefu (miaka minne). Wanawake Mungu anawaona!!
 
Mwanamke hata azaliwe jupiter bado tabia zitakuwa sawa na aliye zaliwa nantumbo
 
Aliye kuwa mpenzi wa bingwa wa ngumu za ndondi wa uzito wa kati UFC Israel Adasanya anayeitwa Charlotte powdrell amaemburuta mahakamani bondia huyo akidai nusu ya mali yake kwa sababu ya kukaa muda mrefu kwenye mahusiano.

Wawili hao hawakuwahi kufunga ndoa mpaka wanaachana na hawakubahatika kupata mtoto kwa kipindi cha miaka minne ya mahusiano yao
Kama hakufata nyendo za Ashraf Hakeem amekwisha!!
 
Back
Top Bottom