Islamization ya CCM-CCM inasilimu

Islamization ya CCM-CCM inasilimu

Uongo huo , vijana wa paulo manadanganywa ..Matapeli wakubwa nyie , yule mmoja na kanisa lake kapitisha madawa , amekufa leo mwanae ni teja wa kutupa ..Wezi nyie .
Kwa hiyo ni uongo bugando ni taasisi ya katoliki na KCMC hospital ni Mali ya kanisa?
Au hujui yote haya kisa elimu yako ya madrasa haikukupa mwanga wa kuyajua haya?
 
Kwa hiyo ni uongo bugando ni taasisi ya katoliki na KCMC hospital ni Mali ya kanisa?
Au hujui yote haya kisa elimu yako ya madrasa haikukupa mwanga wa kuyajua haya?
KCMC ulisikia wapi kiongozi mkubwa akalazwa KCMC , wanapewa ruzuku ila hamna kitu ..Hata viongozi wa kanisa hawalazwi hko , kasome historia ya Muhimbili
 
..ona akili ya kibaka, sudan, chad, niger wengi huko ni wakristo, kipi bora nyerere aliyefanya nchi kujenga viwanda vyake yenyewe au yule aliyefanya nchi jalala la takataka zote toka huko zinakotengenezwa znaletwa kutupwa tanzania..mentality za utegemezi wa dini yenu ndio zinaleta umaskini kwa nchi..muslims does not believe n like to work lkn ni hodari wa kutamani mambo mazuri wasiyofanyia kazi.
Ww ukiambiwa uchague kuishi kati ya Tz ya Nyerere ambayo raia wa kawaida alikuwa haruhusiwi hata kumiliki dawa ya meno bila kibali cha serikali na Tz ya Sasa utachagua kuishi Tz ipi.
Sasa hao akina Chad,na Somalia si ni waislamu ambao Kwa mitazamo wako hawana elimu hivyo ni halali kwao kuwa masikini.
Sasa inashangaza Malawi na Kongo zenye wakristo wenye elimu ni nchi zinazo nuka umasikini.
 
Sijajua wanaoleta hizi choko choko za udini.ni wapinzani wakristo
Au ni ccm wakristo?
uovu wa awamu hii unatakiwa kupingwa bila KULETA uchochezi wa kidini.kama hatumtaki mama Samia tuseme hatumtaki.sio tuseme hatumtaki alafu Bado tunamfatilia anayofanya.
Nimesema huko nyuma, mwenye macho haambiwi tazama.
Leo Makatibu wa CCM wametolewa kutoka Zenj na waislamu ni wengi walioteuliwa kuliko wakristo, na hakuna balance kulingana na populace.
Hilo lisingekuwa tatizo lakini hata uteuzi nyingi za Mama Samia serikalini unafuata mlengo huo huo wa kidini.
 
KCMC ulisikia wapi kiongozi mkubwa akalazwa KCMC , wanapewa ruzuku ila hamna kitu ..Hata viongozi wa kanisa hawalazwi hko , kasome historia ya Muhimbili
Nimekuuliza ni taasisi za kikristo au sio haf unajibu mambo yako mengine, hujui kusoma au?
 
Katika huu muktadha ni kosa kufikiri uhuru umeletwa na dini fulani, mababu zetu walilianza hilo miaka mingi hata kabla Nyerere hajazaliwa.
Mimi nilidhani mada yako inajadili Tanganyika, na siyo sehemu au kipande maalum cha nchi hiyo!

Sasa kama maana ni hiyo unayolenga wewe, ni sahihi kuwa lengo la hawa wapiganaji wa maeneo yao huenda hawakuwa na tofauti yoyote na hawa wazee wa Kariakoo na dini yao; na kwa maana hiyo mada yako inakosa inakuwa ni tofauti (inakosa lengo).
 
Nimesema huko nyuma, mwenye macho haambiwi tazama.
Leo Makatibu wa CCM wametolewa kutoka Zenj na waislamu ni wengi walioteuliwa kuliko wakristo, na hakuna balance kulingana na populace.
Hilo lisingekuwa tatizo lakini hata uteuzi nyingi za Mama Samia serikalini unafuata mlengo huo huo wa kidini.
Tulishakubaliana kuwa hii ni serikali Haram.?basi acha iendelee kufanya uharamu wake.kuchagua wakristo wengi au waislam wengi sio tiketi ya kuisafisha serikali hii.
 
Mimi nilidhani mada yako inajadili Tanganyika, na siyo sehemu au kipande maalum cha nchi hiyo!

Sasa kama maana ni hiyo unayolenga wewe, ni sahihi kuwa lengo la hawa wapiganaji wa maeneo yao huenda hawakuwa na tofauti yoyote na hawa wazee wa Kariakoo na dini yao; na kwa maana hiyo mada yako inakosa inakuwa ni tofauti (inakosa lengo).
Endelea kudhani kama unavyoona.
Hiyo ni haki ysko maana binadamu tuna uhuru wa kuelewa jinsi tunavyoelewa.
Mada inasimama pale pale, CCM insilimishwa kipindi hiki, bila ridhaa ya wanachama.
 
Baada ya kusema
Nini kinabadilika?
Mwalimu Nyerere huwa alikuwa philosophical.
Mtenda msovu kwa kujua au kutojua huwa anafikiri wengine hawaysoni maovu yake , hasa akizungukwa na wapambe wanaomjaza sifa kinafiki.
Mwalimu aliwahi kusema wakati mwingine dawa yso ni kuwazomea tu na watajiona pale walipokosea.
 
Mama Samia anatafuta kwa kiki zote aonekane chama kinamuunga mkono.
Sasa imeanza mikakati ya kukisilimisha chama ,CCM ili vikao vingine vifanyike misikitini.
Hili inaelekea ni lengo kuu la CCM na Mwenyekiti wake.

Matokeo ya uteuzi wa Makatibu wa CCM wa Mikoa itufungue macho.
Hyajafanyika kwa bahati mbaya.
Mimi sijali, siasa za bongo kichefuchefu. Mtu pekee mzalendo alikuwa Nyerere tu, wengine mhhhhh
 
Mama Samia anatafuta kwa kiki zote aonekane chama kinamuunga mkono.
Sasa imeanza mikakati ya kukisilimisha chama ,CCM ili vikao vingine vifanyike misikitini.
Hili inaelekea ni lengo kuu la CCM na Mwenyekiti wake.

Matokeo ya uteuzi wa Makatibu wa CCM wa Mikoa itufungue macho.
Hyajafanyika kwa bahati mbaya.
Hiyo ya vikao vyao kufanyika misikitini is purely exaggerating to the highest order.
Don't be rulled by baseless emotions
Japo siipendi ccm sidhani watafika huko. Vice versa hata hayati Magu hakufikia huko na kanisa lake la RC.
 
Endelea kudhani kama unavyoona.
Hiyo ni haki ysko maana binadamu tuna uhuru wa kuelewa jinsi tunavyoelewa.
Mada inasimama pale pale, CCM insilimishwa kipindi hiki, bila ridhaa ya wanachama.
Linaloshangaza ni kwamba hakuna mahali popote nilipopinga hiyo dhana unayoijengea hoja, na in fact, mchango wangu hapo juu unaungana na nadharia yako moja kwa moja; halafu bila kufikiri ukaingiza maswala ya wapiganaji wa kikabila waliokuwa wakipinga tawala za nje ya makabila yao.

Sasa sijui ni wapi unapoona wewe napingana na hoja zako kwenye mada hii.

Tena nikueleze wazi, siyo swala tu la kuvamiwa CCM, bali ni vita waliyotangaziwa hao wengine, kama akina TEC hadi baadhi yao kutaka kuuliwa moja kwa moja.
Humu humu JF, TEC kila mara inashambuliwa na watu wa mlengo wa hao watu walioivamia CCM, kwa sababu ndiyo adui wao mkubwa katika adhma yao ya kutawala bila kuhojiwa kwa imani wanayoiamini wao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom