Na ndiye raisi wa kwanza ambae ameleta maafa makubwa ambayo hayajawahi kutokea nchini mpaka kupelekea kuua raia wengi sana nchini kwa kutumia jeshi l,Hilo jiambie wewe na minyumbu myenzio mnaoteseka, wengine Wala hatuna habari hi zo; tunasngalia tu maendeleo. Kuhusu kutokudumu milele Waislamu wanafahamu na kulikubali hilo kuliko kitu chochote hivyo Wala usijihangaishe kumwambia hivyo Samia kwani atakuona ni mshamba mmoja uliyechelewa mno.
Nimalizie na kukukumbusha jambo Moja muhimu linaloumiza mioyo yenu kupita kiasi; nalo ni kuwa itabaki milele kuwa RAISI WA KWANZA MWANAMKE KWENYE NCHI HII YA TANZANIA NI DR SAMIA SULUHU HASSAN, mleta mageuzi ya kweli.......sizungumzii habari za dini yake, hilo nakuachieni nyie mambururaz.
Unalijua hilo pia?