Islamization ya CCM-CCM inasilimu

Islamization ya CCM-CCM inasilimu

Kwanza hakuna habari ya nani ni daraja la kwanza na nani ni daraja la chini..ni tabia na matendo yetu sote yanayotokana na malezi tunamopitia yanaumba sifa za mtu..wakristo wana sifa zao kulingana na imani zao vile vle waislamu hata wapagani..
Pili, elimu si vyeti peke yake..ni mabadiliko ya mtu kumfanya awe huru kifikra..malalamiko ya kwamba watu wa dini fulani wako nyuma ni ya muda mrefu..hawana mashule, hawana hospitali, hawana vyuo nk sasa kumbe inapotokea watu wa kundi hili wanapata nafasi kwenye ngazi za maamuz wanaona ndio wakati wao kuzawazisha wanayodhani ni mapungufu bila kujali kabisa matokeo ya hicho wanachofanya..ndio maana ya hizi sauti kuwakumbusha hatari za hicho wanachofanya.
Narudia tena mtaishi maisha magumu sana iwapo mtaendelea kujipa umuhimu msio kuwa nao ndani ya nchi hii.
 
Ukweli ni kwamba CCM imeasisiwa na waislamu. nyie wengine mlidandia wakati gari ishakolea mwendo 😃😃😃
Ukweli ni kwamba hujuu hata ccm kwamba ni muungano wa vyama vya Tanu na ASP, hakuna dini iliyounganisha vyama ni Watanganyika na Wazanzibar ndio walioungana na kuunganisha vyama.

Wakoloni hawakuwa wanatawala waislamu, walikuwa wanatawala Watanganyika.
 
Binafsi nitatofautiana kidogo na wewe; hata bila ya kuwa na nia ya kumtetea Samia Suluhu Hassan kwa anayoyafanya sasa.

Hili tatizo la mvutano wa dini tumekuwa nalo miaka yote, hata wakati wa kupigania uhuru, lilikuwepo ingawa halikuwa wazi.
Wale wazee wa Kariakoo, baba na babu zake Mohamed Said ambao amefanya juhudi kubwa sana kuwatengenezea umaarufu wa kupigania uhuru, misingi yao ilikuwa kwenye udini. Lakini kwa vile hawakuwa na kisomo na wala ushawishi/uwezo wa kufanya mipango ya harakati za kutafuta uhuru kwa kupambana na Mwingereza, juhudi zao zikawa ni ngumu na kubidi kutegemea watu wa dini nyingine hata kabla ya Mwalimu Nyerere kushika hatamu.
Hata juhudi za kupigania uhuru zilipokaza, hao wazee walitamani sana kumshawishi Mwalimu Nyerere abadili dini; kwa hiyo wao juhudi zao ziliegemea zaidi kuukuza uislam katika mapambano hayo; na Mwalimu alijuwa nia hiyo, na ndiyo sababu ililazimu ashirikiane na watu kama Rashid Kawawa, na akina Fundikira ambao walijuwa maana ya kuwa uhuru siyo sehemu ya dini.
Ni sababu hizo hizo zilizofanya paundwe na chombo BAKWATA kuepukana na mlengo uliokuwa umejizamisha zaidi kwenye udini badala ya umoja wa kitaifa.

Kwa hiyo, juhudi ziliendelea kufanyika kuzima malalamiko ya hawa ambao udini ndilo lilikuwa jambo muhimu zaidi kwao kuliko muungano wa watu kama taifa; ndiyo maana malalamiko ya waislam kutokuwa na shule za kutosha na bila ya kuwaingiza kwenye mfumio wa pamoja ttaifa lingeendelea kutengana kwa misingi ya kidini.
Viongozi wa kiislam ambao hawakuwa na vigezo vya hata kushika vyeo vya uwaziri, lakini walikuwa ni watu wenye busara, kama Omari Muhaji wakapata kuteuliwa kuwa mawaziri ili kujenga umoja.

Juhudi zote hizo zilizofanywa kitaifa, bado hazikuwa na maana yoyote ya kuzima hicho kikundi cha wenye uislam kupewa umuhimu zaidi kuliko umoja wa kitaifa wetu. Kwa hiyo chokochoko zilikuwepo na ziliendelea wakati wote ila uongozi wa kitaifa uliokuwa imara ulififisha chokochoko hizo. Watu wakaanza kufikiri mambo yta udini na ukabila tumeyamaliza Tanzania; hadi walipoingia akina Kikwete walioanza kuupalilia utengano wetu kwa misingi za kidini na mingineyo.
Ni Kikwete ndiye aliyetoa tuzo ya heshima kwa hao wazee wa Kariakoo.

Sasa wakati huu tunapozungumzia CCM kutekwa na uislam, ni wazi kabisa kutekwa huko kunatokea wapi.
BAKWATA kwa vile ni sehemu ya CCM, hawa wenye ajenda yao wakaona waingirie huko, kupitia BAKWATA. Badala ya kushindana na BAKWATA wakiwa nje, ikawa rahisi kuitumia wakiwa ndani. Kwa hiyo, hiyo ndiyo imekuwa barabara ya kuingilia CCM na kuiteka.
Samia ametumia mwanya huo, kwa sababu hana njia nyingine yoyote ya ushawishi kupata kundi la kumuunga mkono.
Hiyo historia unayoikariri ni mazungumzo ya porojo mgahawani kama anavyosimulia Mohammed Said jinsi ati "wazee wake" ndio walileta uhuru.
Porojo zina madhara yake na usiuone ukweli kama unavyotakiwa.
Mkuu unamsikia au umemsoma Chief Mkwawa wa Iringa au Mkwavinyika Munyigumba Mwamuyinga aliyezaliwa 1855?
Unafahamu kisago alichowaandalia wajerumani pale Lugalo, Iringa?
Umemsikia Chief Mirambo wa Tabora na jeshi lake la Riga-Ruga , na alizaliwa 1840 , na jinsi alivyowa control waarabu?
Na je unamfahamu Chief Mangi Meli wa Uchaggani na jinsi wajerumani walivyomyonga kwa kudai uhuru mwaka 1900?
Pengine hujamsikia Kinjeketile Ngwale na vita ya Majimaji kuukataa ukoloni mwaka 1905.

Katika huu muktadha ni kosa kufikiri uhuru umeletwa na dini fulani, mababu zetu walilianza hilo miaka mingi hata kabla Nyerere hajazaliwa.
 
Uhuru gani huo unai uzungumzua wakati hata ukitazama chuki ya wazanzibar leo dhidi ya wabara inatokana na wazanzibar kuchukia kwanini tanganyika ilimwondia muarabu zanzibar na kuwapatia uhuru ...ni rahisi muislamu kula nguruwe kuliko muislamy kuwa MZALENDO shika haya maneno yangu.
Mkuu waislamu ndio wazalendo wa kwanza nchi hii.. wakati nyie mnakatazwa makanisani msishiriki harakati za uhuru enzi hizo.

Wao (waislamu) walikuwa mstari wa mbele kupambania uhuru.. hadi wengine walifilisika akina Dossa Aziz.. Hebu leo ngoja tutoe somo.. mnalishwa lishwa chuki huko na akina kitim*.. mnakuja kuropoka ropoka humu
 
Nyinyi wagaratia msipo futa fikira mlio jijengea Kwa muda mrefu kwenye vichwa vyenu ya kujiona nyinyi ni daraja la kwanza na waislamu ni daraja la pili ndani ya nchi hii mtaishi maisha magumu sana yaliyo jaa donona kwa sababu kichaka cha waislamu hawajasoma waislamu wamekifyeka.

Mada za Udini zisipendi ila waislamu wamekua wanafanya vibaya kwenye Uongozi wao ni kuuza rasilimali za nchi tu
 
Ukweli ni kwamba hujuu hata ccm kwamba ni muungano wa vyama vya Tanu na ASP, hakuna dini iliyounganisha vyama ni Watanganyika na Wazanzibar ndio walioungana na kuunganisha vyama.

Wakoloni hawakuwa wanatawala waislamu, walikuwa wanatawala Watanganyika.
Enheee safi kabisa 👏🏾... ASP na TANU zimeasisiwa na waislamu. Na ndio zilizozaa CCM📌📌📌
 
Enheee safi kabisa 👏🏾... ASP na TANU zimeasisiwa na waislamu. Na ndio zilizozaa CCM📌📌📌
Hazikuasisiwa na Waislamu, ziliasisiwa na Watanganyika na Wazanzibar.

Au tukubaliane Waislamu walifanya biashara haram ya utumwa na Pembe za ndovu, tusiwatambuwe kama Waarabu, tuwatambuwe kwa dini yao, hivi ndivyo unavyotaka?
 
Mada za Udini zisipendi ila waislamu wamekua wanafanya vibaya kwenye Uongozi wao ni kuuza rasilimali za nchi tu
Rasilimali gani walizouza.. tuanzie hap
Ukweli ni kwamba hujuu hata ccm kwamba ni muungano wa vyama vya Tanu na ASP, hakuna dini iliyounganisha vyama ni Watanganyika na Wazanzibar ndio walioungana na kuunganisha vyama.

Wakoloni hawakuwa wanatawala waislamu, walikuwa wanatawala Watanganyika.
Mnachukia waislamu mpaka mnashindwa ku_acknowledge mchango wao kwenye nchi.. na inawauma hata wakipata kidogo... Yani mkeka ukitoka ukiona jina ABDALLAH roho inaku kerekeeeta
 
Rasilimali gani walizouza.. tuanzie hap

Mnachukia waislamu mpaka mnashindwa ku_acknowledge mchango wao kwenye nchi.. na inawauma hata wakipata kidogo... Yani mkeka ukitoka ukiona jina ABDALLAH roho inaku kerekeeeta
Onesha na uthibitishe wapi nilipokereka, mimi utambulisho wangu siyo dini.
 
Huyu mtu bila kificho, mara kadhaa, kwa uwazi kabisa ameonesha chuki zake za kidini dhidi ya wamristo na waislam halisi. Ikumbukwe kuwa BAKWATA ilianzishwa na CCM kwa lengo la kuwahadaa waislam, ndiyo maana waislam wote wenye akili, tima.u na imani ya kweli kwa dini yao, hawana muda na BAKWATA. Kwa mtizamo huo huo CCM kuidanya jumuia yake, inawachukua watu wa BAKWATA kama inavyowachukua UVCCM, UWT kuwaweka kwenye nafasi za CCM. BAKWATA, kwa siri ni jumuia ya CCM, sawa na ilivyo UVCCM au UWT. Watangulizi wake walifanya kwa siri, huyu ameamua kuweka wazi.
 
Hazikuasisiwa na Waislamu, ziliasisiwa na Watanganyika na Wazanzibar.

Au tukubaliane Waislamu walifanya biashara haram ya utumwa na Pembe za ndovu, tusiwatambuwe kama Waarabu, tuwatambuwe kwa dini yao, hivi ndivyo unavyotaka?
Mkuu mwanzoni wakristo walijitenga na harakati za uhuru, waliambiwa makanisani wasishiriki.

Kwa sababu wazungu waliowaambia hayo kanisani.. walikuwa na interest na mfumo wa wakati huo.. Hebu ZIMA HISIA washa AKILI..

Ndio maana wale waasis wa mwanzo walikuwa majority ni waislam na ndio waliunda TAA ambayo ikaja kuwa TANU
 
Wakristo kwenye harakati walikuja baadae... hasa baada ya kuona hatari ambayo ingetokea kama uhuru ungeletwa na waislam totally.. Wakristo wangetengwa..

So ikabidi waingie kwenye harakati.. tena mwishoni huko in late 1950's
 
Mkuu mwanzoni wakristo walijitenga na harakati za uhuru, waliambiwa makanisani wasishiriki.

Kwa sababu wazungu waliowaambia hayo kanisani.. walikuwa na interest na mfumo wa wakati huo.. Hebu ZIMA HISIA washa AKILI..

Ndio maana wale waasis wa mwanzo walikuwa majority ni waislam na ndio waliunda TAA ambayo ikaja kuwa TANU

Wakiristo walidandia treni ya Uhuru ikiwa imeshashika kasi. Harakati nyingi za kudai uhuru zilianzia pwani kwa Waislamu
 
Mkuu waislamu ndio wazalendo wa kwanza nchi hii.. wakati nyie mnakatazwa makanisani msishiriki harakati za uhuru enzi hizo.

Wao (waislamu) walikuwa mstari wa mbele kupambania uhuru.. hadi wengine walifilisika akina Dossa Aziz.. Hebu leo ngoja tutoe somo.. mnalishwa lishwa chuki huko na akina kitim*.. mnakuja kuropoka ropoka humu

ukifwata logic yako basi nchi nyingine ambazo hazikuwa na muslims kama kenya, ug, malawi, zambia, ghana zisingepata uhuru au zingechelewa sana kwa maana zote kama tanganyika zilkuwa chini ya english monarchy ina maana kila kitu kilifanana hata vyama vilivyokuwepo wakati wa ukoloni vilifanana kenya walikuwa na tanu, tanganyika tanu, zanc-zambia, etc na wote walipata uhuru miaka inayofwatana alianza ghana mwishoni mwa miaka ya 1950 na sisi wengine wote miaka ya 60' mwanzoni hivyo kama muslims ndiyo walioleta uhuru kwa nini haikutokea kabla ya miaka 60' ?

haya mambo tunadanganyana sana, bottomline muslims wamekuwa wakitumiwa na communists siku zote, muslisms fight for communism cause lkn cha ajabu communism ni atheists sasa inashangaza iweje waeleweane na muslims? ...
 
Hazikuasisiwa na Waislamu, ziliasisiwa na Watanganyika na Wazanzibar.

Au tukubaliane Waislamu walifanya biashara haram ya utumwa na Pembe za ndovu, tusiwatambuwe kama Waarabu, tuwatambuwe kwa dini yao, hivi ndivyo unavyotaka?
Wewe hyo PHD unayojiita kwenye avatar unayo kweli au mbwembwe tu 😆😆
Hazikuasisiwa na Waislamu, ziliasisiwa na Watanganyika na Wazanzibar.

Au tukubaliane Waislamu walifanya biashara haram ya utumwa na Pembe za ndovu, tusiwatambuwe kama Waarabu, tuwatambuwe kwa dini yao, hivi ndivyo unavyotaka?
Mkuu hyo PHD uliyoweka kwenye Avatar unayo kweli au mbwembwe tu.. Mbona mweupe mno.

Sasa biashara ya utumwa kuna waliyoifanya kwa kiwango kikubwa kama wazungu??? Hujasoma TransAtlantic trade??...

Hata zanzibar wanunuzi wakuu wa watumwa walikuwa ni ufaransa kwa ajili ya mashamba yao ya miwa mauritius na Reunion huko.. hilo la utumwa hakuna aliye salama.. Tena wazungu wameumiza mno watu kwenye utumwa
 
ukifwata logic yako basi nchi nyingine ambazo hazikuwa na muslims kama kenya, ug, malawi, zambia, ghana zisingepata uhuru au zingechelewa sana kwa maana zote kama tanganyika zilkuwa chini ya english monarchy ina maana kila kitu kilifanana hata vyama vilivyokuwepo wakati wa ukoloni vilifanana kenya walikuwa na tanu, tanganyika tanu, zanc-zambia, etc na wote walipata uhuru miaka inayofwatana alianza ghana mwishoni mwa miaka ya 1950 na sisi wengine wote miaka ya 60' mwanzoni hivyo kama muslims ndiyo walioleta uhuru kwa nini haikutokea kabla ya miaka 60' ?

haya mambo tunadanganyana sana, bottomline muslims wamekuwa wakitumiwa na communists siku zote, muslisms fight for communism cause lkn cha ajabu communism ni atheists sasa inashangaza iweje waeleweane na muslims? ...
Totally Irrelevant... Huwezi kufananisha harakati za uhuru za Tanganyika na Nchi zingine kama malawi sijui Ghana.. Kwanza malawi hakuna waislamu.. ni percent ndogo mno
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom