Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,398
- 30,388
- Thread starter
- #181
Mada inasema Islamization ya CCM , yaani kwa teuzi tulizoziona za mama Samia ni dhahiri ni mdini na si serikslini tu, jana tumeona teuzi za makatibu wa mikoa wa CCM.Linaloshangaza ni kwamba hakuna mahali popote nilipopinga hiyo dhana unayoijengea hoja, na in fact, mchango wangu hapo juu unaungana na nadharia yako moja kwa moja; halafu bila kufikiri ukaingiza maswala ya wapiganaji wa kikabila waliokuwa wakipinga tawala za nje ya makabila yao.
Sasa sijui ni wapi unapoona wewe napingana na hoja zako kwenye mada hii.
Tena nikueleze wazi, siyo swala tu la kuvamiwa CCM, bali ni vita waliyotangaziwa hao wengine, kama akina TEC hadi baadhi yao kutaka kuuliwa moja kwa moja.
Humu humu JF, TEC kila mara inashambuliwa na watu wa mlengo wa hao watu walioivamia CCM, kwa sababu ndiyo adui wao mkubwa katika adhma yao ya kutawala bila kuhojiwa kwa imani wanayoiamini wao.
UMEINGIZA misimamo ya Mohammed Said kudefend argument zako hapo nyuma.
MS ni mdini namba moja mtandaoni hapa na argument zake dont cut, maana yeye huwa ana argue kama wewe ulivyo argue kuwa makundi ya wanywa kagahawa DSM na Pwani ndio walipigania uhuru.
Nimekupa mifano ya mababu zetu, Mkwawa et al, kudissapprove argument yako
Tanzania ni distinct nationalism iliyoleta uhuru, hakuna mtu au dini anaweza claim ownership ya freedom struggle.
Sasa tunspoona tendency zabkijinga kuingiza udini, ukabila, Uzanzibari na Ubara vinaanza kupewa prominence, basi walio na akili wanajua dira ina mushkeli.