Mcharo son
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 6,185
- 5,156
Tatizo langu ni issue ya kuweka kichwani hoja ya mabadiriko ya katiba badala ya katiba mpya. ili kutetea mchezo au kuendeleza kautamaduni ka kundi
Kwanza hakuna habari ya nani ni daraja la kwanza na nani ni daraja la chini..ni tabia na matendo yetu sote yanayotokana na malezi tunamopitia yanaumba sifa za mtu..wakristo wana sifa zao kulingana na imani zao vile vle waislamu hata wapagani..Nyinyi wagaratia msipo futa fikira mlio jijengea Kwa muda mrefu kwenye vichwa vyenu ya kujiona nyinyi ni daraja la kwanza na waislamu ni daraja la pili ndani ya nchi hii mtaishi maisha magumu sana yaliyo jaa donona kwa sababu kichaka cha waislamu hawajasoma waislamu wamekifyeka.
Na ka Dr. mnachomekea.Minyumbu imepagawa na kuchanganyikiwa; Kila ikijitahidi kumharibia mama, yaani Dr Samia Suluhu Hassan, The Mother of Modern Tanzania, ndiyo kwaaaanza inazidi kupoteana. Kama mmeshindwa zooooote mtawezaje kwa upumbavu huu?!!🤣🤣🤣
(A.A,TAA,TANU) ni chama cha waislam,walianzisha wao,wakati huo Babu zenu hawajabatizwa kwa chupi za mtumba na masweta(majoji)..hakuna kitu kipya samia anafanya, lbd km mtu anakuwa hataki kuelewa, waislam ni watu wenye hila nyingi..wana mambo yao mengi kutaka dini yao ionekane kwenye kila jambo..walishaimiliki ccm kitambo, ni ajabu wewe unafaham hilo sasa wakati wa samia.
Ukweli ni kwamba CCM imeasisiwa na waislamu. nyie wengine mlidandia wakati gari ishakolea mwendo 😃😃😃Ukweli ni upi
CCM NI SHURA YA KAIMAMU ..SHERIA NA USHAURI SERIKALI INAPOKEA KUTOKA MISIKITINI ..HATA AMRI YA SHOT AND KILL YA OCT 29 ILITOKA KWA MAURAMA WA KIISLAMU.Mama Samia anatafuta kwa kiki zote aonekane chama kinamuunga mkono.
Sasa imeanza mikakati ya kukisilimisha chama ,CCM ili vikao vingine vifanyike misikitini.
Hili inaelekea ni lengo kuu la CCM na Mwenyekiti wake.
Matokeo ya uteuzi wa Makatibu wa CCM wa Mikoa itufungue macho.
Hyajafanyika kwa bahati mbaya.
Mbona nyie akikaa wenu mlikuwa mnakusanya kodi halafu Taasisi za kanisa zinapewa Gawio, kama KCMC Bugando na zingine nyingi.. hili nalo unalisemaje..inaweza kuwa reciprocation kwa wanachoona kwa walioanza, hata wakiwa hivyo impact yao ni ndogo ukilinganisha na huyu anayekusanya kodi halafu zinatumika kunufaisha watu wa dini yao.
Tatizo lenu mnachuki mno... Mnaendekeza sana udini.. Yan mnajiona nyie ndio mnastahili vyeo na nafasi zote.CCM NI SHURA YA KAIMAMU ..SHERIA NA USHAURI SERIKALI INAPOKEA KUTOKA MISIKITINI ..HATA AMRI YA SHOT AND KILL YA OCT 29 ILITOKA KWA MAURAMA WA KIISLAMU.
Waislamu ni kama wanawake awashahili kupewa uongozi ..ni ngumu muislamu kuwa mzalendoMagufuli alikuwa kila mkeka wake asilimia 90 wakristo.. ila waislam hawakuwahi kusema kitu..
Baraza lake la mawaziri asilimia 80 wakristo.. ila waislam maskini ya Mungu kimyaa.. ila nyie sasa... na hata Rais Samia anajitahidi sana anawapa mno nafasi kila mkeka unaotoka
😆😆.. lamba jivu mzee upunguze kiungulia hikoWaislamu ni kama wanawake awashahili kupewa uongozi ..ni ngumu muislamu kuwa mzalendo
Huu ndiyo ukweli wenyewe.Ikiwa walioteuliwa watatekeleza majukumu yao kwa weledi, ufanisi na uaminifu kwa wananchi wote, dini au majina yao kamwe haviwezi kuwa sababu ya kuwahukumu au kuwatilia shaka. Mimi ninayesema haya ni critic mkubwa sana wa CCM na serikali yake, lakini nataka kubaki kwenye misingi ya kutowahukumu watu kwa ajili ya dini zao kwenye uteuzi mpaka nitakapoona kama hawakidhi vigezo vya kazi husika. Wewe unayewatuhumu hujaleta vigezo vyovyote vya kiutendaji vinavyoonyesha kwanini huwaamini, viweke hapa mezani tuvijadili kwa hoja badala ya kuingiza mambo ya imani
Hawastahili kupewa uongozi kwenye nchi waliyoipambania ipate uhuru.. we kichwani una nini mzeeWaislamu ni kama wanawake awashahili kupewa uongozi ..ni ngumu muislamu kuwa mzalendo
Mama Samia hana political base.LOOoooh!
Kweli Tanzania hadi tumefika huku?
Hii ni mada ngumu, lakini ni muhimu ijadiliwe kikamilifu; kwa sababu ni lazima tuwe wawazi bila kuficha ugonjwa unaotusibu.
Uhuru gani huo unai uzungumzua wakati hata ukitazama chuki ya wazanzibar leo dhidi ya wabara inatokana na wazanzibar kuchukia kwanini tanganyika ilimwondia muarabu zanzibar na kuwapatia uhuru ...ni rahisi muislamu kula nguruwe kuliko muislamu kuwa MZALENDO shika haya maneno yangu.Lwiva Sikia wewe kichwa maji.. kuna waislamu mpaka walifilisika kwa kujitoa kwenye harakati za uhuru
Binafsi nitatofautiana kidogo na wewe; hata bila ya kuwa na nia ya kumtetea Samia Suluhu Hassan kwa anayoyafanya sasa.Mama Samia hana political base.
Anatafuta waislamu wa kumpa tafu.
Anageuza taasisi nyingi kuongozwa na wazanzibari au waislamu.
Hii kity Rsis Mwinyi hakuwahi ksbisa kufanya.