Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,921
- 4,235
Sijui kama hii kitu imewahi kuletwa hapa lakini kwangu ni kitu kigeni.Inakuwaje mambo ya dini yahusishwe moja kwa moja na biashara tena ambazo sio taasisi za kidini?Kwa anaejua vizuri haya mambo yanafanyaje kazi ,ufafanuzi please.Maana mie sielewi elewi.Kwani wateja wa kiislamu huwa wanakwazwa wakihudumiwa kikawaida kama sheria za mabenki zilivyo? Nahisi huko badae tutakuwa nakila dini na kitu chake.
N;Nimeona kwenye matangazo ya benki ya NBC na Stanbic
N;Nimeona kwenye matangazo ya benki ya NBC na Stanbic