Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 8,940
- 6,855
Haya! Naona itafika wakati tutakataa kuhudumiwa na teller aliyevaa hijab! Si na yeye anafuata sharia katika uvaaji wake?
Amandla.......
Amandla.......
Hata private sector inafuata sheria na taratibu za nchi - soma Banking and Financial institutions Act, 2006, BoT Act, our constitution n.k.Sioni sababu ua kulumbana. Stanbic sio bank ya serikali ni private na kufungua hicho kitu ni haki yao. Sasa wewe kama unaona hukubaliani usiende kuweka pesa zako pale. Au la na sisi wakristo tukaongee na standard charted au bank nyingine. maisha yaende mbele.
Kwa nini Shekh Simba peke yake alialikwa na kuacha viongozi wa dini nyingine na madhehebu mengine? Sharia inasimamia utekelezaji wa Quaran. Sasa sio udini huu?Tunapaswa kuweka udini kando katika kuangalia hili la sharia banking..mie ninachoona ni mfumo wa kibenki unaotumiwa na nchi za Kiislam na sio uisilamu. Sasa kama wachumi na mabenki wameona unafaa kuuiga kwanini tulumbane hivyo. Tuache kupanda mbegu za chuki kwa misingi ya udini jamani. Udini.. udini, ukabila.. ukabila, weupe..weusi I wish visingekuwepo duniani.
Hatujasikia kauli ya BOT kuhusu hili kama msimamizi wa mabenki haya kwa niaba yetu.
nadhani kuna haja ya watanzania kuijua katiba yao.sheria inasemaje? Nbc ni chombo cha uma.efatha ni taasisi binafsi,jamani tunapoelekea sipo,hakuna mahali katiba inaruhusu serikali kuendesha taasisi yoyote ya kidini labda tukae chini tukubaliane kubadili katiba.mambo mengine tunavumiliana kama jadi yetu watz.mf chuo cha kiislam moro,mkapa alivunja katiba ,mahakama y kadhi inashindikana kwa sabbu za kikatiba.kwa maoni yangu nafikiri bakwata ingeanzisha hiyo benki ingekuwa sawa.tuwe makini jamani hata kwa michango yetu.nbc ni mali ya uma naombo ibaki kama chombo cha uma.mwisho tutadai polisi wa sharia.magereza ya sharia.tanesco ya sharia.dwasco ya sharia nk.mungu ibariki tz n watu wakehebu tupe ufafanuzi inakuwaje bank tu iwe kumeingizwa taratibu za kiuongozi wa nchi na masuala ya dini lakini huduma nyengine za jamii ziwe haziingiliani?.
Tumekuwa na sifa ya ku complain watanzania.......wakristo wakianzisha kitu waislam watalalamika, waislam wakianzisha wakristo watalalamika.....sielewi kwa nini......
Msanii nimekushtukizia unaongelea vitu kama facts wakati kumbe huvielewi kwa undani ....ati "tukichinja kikristo" ...and what is that if i may ask!
Waacheni Waislam na sharia banking yao, kama hutaki basi funga akaunti yako huko NBC au Stanbic Bank. Mbona tuna shule, vyuo hado vyuo vikuu vya kidini, hospitali za dini na kadhalika na hatujalalamika. Tena taasisi hizi hazibagui mtu wa imani yoyote kupata huduma yao. Mbona kuna Efatha na Mkombozi banks na sijasikia Waislamu wakilalamika. Mbona Chuo Kikuu cha Kiislamu kule Morogoro kilitokana na majengo ya TANESCO ambalo ni shirika la umma na majengo hayo walipewa na Rais mstaafu, Ben Mkapa na hakuna aliyelalamika ???????? Kama unaona hutaki Islamic Banking, basi, usitafute huduma yao. Tusigeuze JF kuwa mahali pa porojo za kupotosha ukweli wa mambo kama ninavyoona tunataka kuelekea huko. Wana JF tuwe makini na upotoshaji wa mambo lakini tujikite kutoa hoja zenye ukweli.
Kwa nini Shekh Simba peke yake alialikwa na kuacha viongozi wa dini nyingine na madhehebu mengine? Sharia inasimamia utekelezaji wa Quaran. Sasa sio udini huu?

Islamic Banking invades Tanzania
Here we go...!
Posted on Friday 7 May 2010
By Andualem Sisay, AfricaNews reporter in Addis Ababa, Ethiopia
[/COLOR][/SIZE][/FONT]
Hisia zetu za mgawanyiko wa kidini mara nyingi zinatupotosha! Mbona hapana pahala tulipoambiwa kuwa watu wa dini nyengine hawaruhusiwi kujiunga na Benki hiyo? Mbona huwi na mashaka na Benki ya Wanawake? Iwapo unajali suwala la kundi fulani kupewa upendeleo au huduma kwanini hujauliza na kukosoa hiyo Benki ya wanawake? Wanawake ni moja kati ya makundi ya Kijamii na Waislamu ni moja ya kundi la kijamii, hivyo kuhudumiwa si tatizo.
Hapa Tanzania tuna vyuo vikuu vya kidini (vilianzia kwa dini ya Kikristo) mbona hujauliza Katiba inasemaje juu ya huduma inayojitafautisha na dini?
After all hii ni huduma na wewe una uhuru wa kujiunga nayo kama unaona inakufaa. Halafu choyo cha nini wakati watakajiunga na Benki hii watakosa Riba?
Akina mustapha mkulo wanajua wanachofanya,lakini kwa tahadhari wawe makini tumewapa dhamana kwa sababu tunawaamini.tanzania itakuwepo miaka mingi ijayo wao wanapita.mwl nyerere alipita hata mtoto atamjua kwa mema miaka yote.kwa ushauri misikiti yote ianzishe taasisi yoyote itakayo na makanisa vilevile mradi wafuate sheria za nchi.taasisi z a uma zibaki mali yetu wote tusije tukaanza kuweka misalaba na mwezi na nyota kwenye majengo ya uma.kwa kifupi naipenda nchi yangu kuliko dini yangu.nitasema kwelidaima fitina kwangu mwiko.