Islamic Banking ‘invades’ Tanzania

Status
Not open for further replies.

Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,075
7,878
Here we go...!

Posted on Friday 7 May 2010

By Andualem Sisay, AfricaNews reporter in Addis Ababa, Ethiopia

Sharia banking products have been launched in Tanzania by Stanbic Bank Tanzania, a member of the Standard Bank Group.

Shariah banking is a system of banking that is consistent with the principles of Islamic law. In practice, it prohibits the payment or acceptance of interest fees for the lending and acceptance of money.

Standard Bank has engaged the services of an independent Sharia council to approve product and ensure that all the banks Sharia activities are fully compliant, according to News Business Ethiopia.

It also prohibits Muslims from investing in businesses that provide goods or services that are considered contrary to the Islamic principles. In practice, Islam prohibits the taking and giving of interest, there should be no gambling (speculation) and no investments in prohibited industries.

The first products that will be offered under this proposition will be a transactional product ‘TransactPlus’ and current account, which is 100% Shariah compliant and provides the same convenient features of conventional accounts, including internet banking, Visa electron or Maestro debit card, and prepaid airtime services.

Gateway to East Africa

Bashir Awale, MD, Stanbic Bank Tanzania is quoted as saying: “Tanzania is an important market for Standard Bank as the gateway to East Africa and we are proud to be able to offer our first Shariah banking product in this market, where about 50% of the population is Muslim”.

“We believe that if we are to contribute to the economic development of Africa, we need to provide innovative banking solutions that are consistent with the needs and beliefs of all our customers.”

“There is a substantial untapped market among Muslims, who make up a large portion of the population in Africa, and Standard Bank is mindful of the fact that to be truly an African bank, it needs to ensure that there are products in the market that cater for them,” stated Terry Moodley, Chief Executive, Personal and Business Banking, Standard Bank Africa.

As the leading bank in Africa, Standard Bank is constantly looking for ways to provide banking products and services that allow all customers in Africa to save and transact. It also aims to demonstrate its confidence in the future of Africa and other emerging markets by making the right connections with its customers and stakeholders across the continent.

“Standard Bank plans to roll out its Sharia banking value proposition to all other markets in the coming months,” concluded Moodley.

Standard Bank trading as Stanbic Bank is part of one of Africa's leading financial services groups, the Standard Bank Group Limited, which is based in South Africa and listed on the Johannesburg Securities Exchange.

The group trades under the name Stanbic Bank in Botswana, Ghana, Kenya, Nigeria, Tanzania, Uganda, Zambia and Zimbabwe; and is known as Standard Bank in Angola, the DRC, Malawi, Namibia, Swaziland, South Africa, Lesotho, Mauritius and Mozambique.

The group has the largest presence in Africa with the Group total assets of approximately 182 billion USD as at December 2009 and employing about 35 000 people worldwide.

Even NBC:

By FARAJA MGWABATI, 2nd May 2010

TANZANIANS will from today experience new waves in the banking sector as they start to enjoy the benefits of Islamic Banking, which forbids earning of interests in the banking transactions.

NBC Bank announced over the weekend the introduction of Islamic Banking window, which is consistent with Shariah law, just a day after another bank, Stanbic, introduced the same.

According to the NBC Bank Managing Director, Mr Christo De Vries, funds deposited in the accounts would be invested in businesses approved under Shariah Law. He said NBC’s Islamic Banking, would start with two products, Cheque Account and Savings Account.

The Savings Account will have an embedded funeral cover (Takafol death benefit) included in monthly maintenance fees.

“The products are built around the Shariah Laws which govern the way in which Muslims live their lives and conduct their daily business including financial affairs,” the MD said in Dar es Salaam.

The service, according to the bank, starts today and will be available in all their branches across the country and will be free for all people regardless of their religious affiliations.

“Muslims and non-Muslims globally are choosing to make use of Islamic Banking because it is a service that gives them the assurance investment of their money. All investments made under Islamic Banking are never associated with the traditional ‘sin’ industries such as alcohol, tobacco, gambling or pornography,” said NBC Islamic Banking Board Chairman, Dr Mussa Assad.

In terms of account opening, Islamic Banking will be conducted in exactly the same manner as opening a conventional account. However, the product features will differ, based on Shariah principles, said NBC’s Marketing Manager, William Kallage.

Tanzania is estimated to have over 40 per cent Muslim community. Mufti Shaaban Bin Simba, who witnessed the introduction of the service, said it was a relief for the Muslim community as they have for long suffered from high interest rates.

“The Almighty God forbids charging of interests. He destroys any economy that depends on interests and blesses offerings,” the Mufti said.

He noted that interest rates were the reason for the collapse of world markets and subsequently followed by world economic crisis.

The Mufti said, as a leader of the Muslim Council of Tanzania (BAKWATA), he would launch a special facility within the NBC Islamic Banking machinery that would enable Muslims to put their savings to accumulate money for the annual Holy pilgrimage of Hajj.
 
NBC ambayo serikali ina hisa nyingi imeamua kutoa huduma ya sharia banking.
STANBIC ya wawekezaji ndiyo ilikuwa ya awali kutangaza sharia banking, which means inatoa huduma kwa taratibu za kiislamu.
Sheria zinasemaje kuhusu taasisi za umma kuwa biased na masuala ya dini?

benki za
EFATHA na MKOMBOZI ambazo zimeanzishwa na taasisi za kidini hazina kipengele cha kuhalalisha wateja wa imani fulani pekee kupata huduma, wanatoa huduma kwa kufuata misingi ya sheria na taratibu zitolewazo na BOT. iweje leo benki ya serikali ibague wateja? ina maana miaka yoote tangu kuanzishwa haikuwa ina hudumia Waislamu?

Wadau nimeleta hii mada jukwaani tuijadili kwa kina tujue mwelekeo na mustakabali wa Tanzania yetu.

Je katiba inalindwa hapa? Ikumbukwe kuna watu tuliwapa dhamana kwa kiapo cha kuilinda na kuitetea katiba ya Nchi.
 
tatizo la hao wazungu na waarabu akili zimefika ukomo kwani wanakumbatia kubaguana kwa misingi ya rangi na imani.

Sisi watanzania tunaendeshwa na katiba ambayo inakataza kuwabagua watu kiitikadi na kiimani. Lakini ninachokiona ni kwamba mtu anaapa kulinda katiba huku akijua wazi kwamba hata akienda kinyume nayo HATAFANYWA KITU
 
NBC ambayo serikali ina hisa nyingi imeamua kutoa huduma ya sharia banking.
STANBIC ya wawekezaji ndiyo ilikuwa ya awali kutangaza sharia banking, which means inatoa huduma kwa taratibu za kiislamu.
Sheria zinasemaje kuhusu taasisi za umma kuwa biased na masuala ya dini?

Islamic Banking - Imeanzishwa kwa mujibu wa kanuni zote za BOT (Nadhani unajua BOT ni chombo kilichopo kikatiba)

benki za
EFATHA na MKOMBOZI ambazo zimeanzishwa na taasisi za kidini hazina kipengele cha kuhalalisha wateja wa imani fulani pekee kupata huduma, wanatoa huduma kwa kufuata misingi ya sheria na taratibu zitolewazo na BOT. iweje leo benki ya serikali ibague wateja? ina maana miaka yoote tangu kuanzishwa haikuwa ina hudumia Waislamu?

Kwa mujibu wa masharti waliyopewa na BOT, MTANZANIA yeyote ANARUHUSIWA kufungua account; so hapo hakuna aatakae baguliwa. Kama wewe si muislamu na unaona huhitaji kupata mkopo wenye riba au kuwa na account yenye riba unaruhusiwa.

Kwa mtazamo wangu katiba inalindwa na kuheshimiwa.
 
Mbona unashangaa hapa. mbona hata Vertican wameikubali islamic bank. mbon ahata amrekani wametia dole. iwe kichekesho hapa tz?
Kwa hiyo tuwaige wamarekani na wavatican hata kwa zile ishu ambazo hazina tija kwetu? mbona hushabikii ndoa za jinsia moja ambazo zimepewa heko na waamerika? mbona mnafikra mgando? hatuwezi kujenga nidhamu yetu wenyewe tukaiheshimu badala ya kukubali kuingiliwa na hawa mabazazi wa nje ambao wanakwiba mali zetu halafu wanarudi kutukopesha fedha zitokanazo na faida ya wizi huo?

ZINDUKA NDUGU ukilala ujue tanzania itakwenda bila kuiona milele
 
kama wanaogopa fedha zao kuwa invested kwenye masuala mabovu je wanajuaje mzunguko wa fedha unaowajia siyo fedha zilizopatikana na ulevi, kamari, n.k? gadem gadem gadem sharia banking
 
Islamic Banking - Imeanzishwa kwa mujibu wa kanuni zote za BOT (Nadhani unajua BOT ni chombo kilichopo kikatiba)Kwa mujibu wa masharti waliyopewa na BOT, MTANZANIA yeyote ANARUHUSIWA kufungua account; so hapo hakuna aatakae baguliwa. Kama wewe si muislamu na unaona huhitaji kupata mkopo wenye riba au kuwa na account yenye riba unaruhusiwa.Kwa mtazamo wangu katiba inalindwa na kuheshimiwa.
Ni mtazamo wako

Lakini je haiwezekani chombo kilichopo kikatiba kuvunja hiyo katiba? angalia jeshi la polisi wanavyowahukumu raia kabla ya hakimu kusoma hukumu. angalia NEC inavyokiuka katiba kwa kutojumuisha mgombea binafsi ktk chaguzi nchini. Kivuli cha kuwa chombo (BOT) kimeundwa kisheria lakini kinaweza kwa makusudi, kulazimishwa au kutokujua kikavunja misingi ya katiba na sheria ilichokiunda. Je tuseme ujambazi wa EPA na ulifanywa kwa mujibu wa sheria?

Kama serikali imeridhia hii kitu basi inaondoa uhalali wa serikali hiyo kuwepo madarakani kwani haikutenda haki na katiba inapaswa kuheshimiwa na kulindwa haswa.

Matokeo ya kufuata mkumbo ndo haya maana hatuna vyetu but tunaiga vya wengine.

Msishabikie itikadi ilhali mnaishi kwenye glass house
 
msanii tatizo lako hasa nini na hii sharia banking? (manake nimeona gademu nyingi sana). hutaki kuwe na huduma zinazotolewa kwa misingi ya dini fulani au hutaki kabisa kuona neno sharia?

as long hakuna atakaekataliwa kupewa huduma awe muislam, mpagani wala mkiristo sioni tatizo since pia kuna hospitali za kidini, mashule, vyuo vikuu n.k ambavyo vinatoa huduma kwa wote.

kwa ushauri wangu usiumize kichwa chako bure..........watanzania wangapi hawataki riba? (hata hao waislam wa kawaida sidhani kama wanajali hii kitu).......

nafikiri huduma hii pia inaweza kuwasaidia hata wale wasiokuwa waislam ambao wasingetaka pesa yao iwe invested kwenye pombe, kamari na mambo ya porno......

all in all i think its all gud, maana pesa za wanaotaka islamic banking hazitakuwa na haja ya kuwekezwa nje ya nchi
 
Mnakotupeleka siko kabisa, maana unajua kabisa kuna big divide ktk masuala ya imani hasa inapokuja ktk huduma za jamii. Hatujawahi lalamika shule za kiislam, hospitali na vyuo ila hili la banking mjue ni deep far. mbona mnataka sisi tusioamini ubaguzi wa kidini tumini kuwa anything islam ni adili? mbona hmli nyama iliyochinjwa kikristo?
 
Tatizo lenu hapa ni udini,udini,udini tuuu!Amkeni achaneni mambo ya kijuha hayo!
 
Msaanii ......hebu tupe ufafanuzi wa hapo kwenye RED kwanza .......coz Tanzania nijuavyo kuna shule, vyuo, hospitali vya Kiislam na Kikristo na vilivyoanzishwa na Mahindu pia,..........tatizo la kuwa bank ni FAR kuliko hivyo vyengine zaidi ni nini hasa?

Kwenye blue nafikiri sijakupata kabisa

Kwani nyama inawezekana kuchinjwa kikristo? kuchinjwa kikristo ndo vipi?

note: tupo katika kuelimishana tu .......tafadhali nifafanulie
 
Mbona unashangaa hapa. mbona hata Vertican wameikubali islamic bank. mbon ahata amrekani wametia dole. iwe kichekesho hapa tz?

Hiyo red unamaanisha Vatican? Sisi tunaangalia katiba yetu ya nchi na leseni za bishara zinavyosema - hii kitu ni kuvunja katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na kutokufuata sheria za biashara na kibenki za nchi yetu. Huu ni ubaguzi, upendeleo na ubaguzi dhahiri ambao Shekh Simba anadhiirisha hapo juu - kuwa waislamu mameumia sana na 'high interest rate' sasa hizi interest rate nani azilipe? Muumini wa dini ya kimila na mkristo?

Je Tanzania inachanganya civil na islamic law katika kuendesha nchi?
 
Islamic Banking - Imeanzishwa kwa mujibu wa kanuni zote za BOT (Nadhani unajua BOT ni chombo kilichopo kikatiba)

Kwa mujibu wa masharti waliyopewa na BOT, MTANZANIA yeyote ANARUHUSIWA kufungua account; so hapo hakuna aatakae baguliwa. Kama wewe si muislamu na unaona huhitaji kupata mkopo wenye riba au kuwa na account yenye riba unaruhusiwa.

Kwa mtazamo wangu katiba inalindwa na kuheshimiwa.

Shekh Mkuu umemwelewa alivyosema hapo juu? Sharia ni Uislamu, kufuata sharia ni ibada ya kiislamu, sasa iweje mimi mkristo nifuate ibada ya dini nyingine, je huko sio kusilimu? Naomba utuwekee kanuni hiyo ya BoT inayoruhusu hii kitu, tafadhari. Naenda kufunga akaunti yangu NBC kwani imekwisha kuwa islamic bank - bora Efatha na Mkombozi benki zimefunguliwa. Ni vizuri kila dini na dhehebu likafungua benki yao - udini ndani ya serikali na nyanja za biashara kisha ingia kinyemela? Baada ya muda mfupi utaingia kwenye siasa!
 
Tatizo lenu hapa ni udini,udini,udini tuuu!Amkeni achaneni mambo ya kijuha hayo!

Sharia ni international law? Au ni ya dini ya kiislamu? Mwizi akiiba anakatwa mkono huko arabuni je hii pia ni sharia? Sasa nani ni Juha hapa? Kila asubuhi tunaona jua linatoka na kuzama jioni, ukimuuliza mtu ambaye hana uwelewa hasa katika Jiografia ni kipi kati ya jua na dunia kinazunguka, atakujibu jua lakini katika hali halisi ni dunia: unapomwita mwezio juha unaweza kukuta yeye sio juha bali ni wewe mwenyewe ndiye juha. Kwanza tusome katiba, tusome kanuni za benki Tanzania, tusome hizo bidhaa zinavyotolewa ndipo tujue juha ni nani.
 
Msaanii ......hebu tupe ufafanuzi wa hapo kwenye RED kwanza .......coz Tanzania nijuavyo kuna shule, vyuo, hospitali vya Kiislam na Kikristo na vilivyoanzishwa na Mahindu pia,..........tatizo la kuwa bank ni FAR kuliko hivyo vyengine zaidi ni nini hasa?

Kwenye blue nafikiri sijakupata kabisa

Kwani nyama inawezekana kuchinjwa kikristo? kuchinjwa kikristo ndo vipi?

note: tupo katika kuelimishana tu .......tafadhali nifafanulie
Aha kumbe inagusa sana tukiingia kidini zaidi,
Ni kwamba masuala ya sharia ni ibada kamili shekhe wangu. nimemuunga mkono Mwanamayu.
Elewa kwamba mnapoingiza taratibu za kiuongozi wa nchi na masuala ya DINI hapo ni kuchukua nafasi ya MAKABURU wa kidini.
Nenda MKOMBOZI bank ukafungue akaunti uone kama watakataa kukupokea hata ukiwa mpagani.
Usishabikie dini NDUGU, shabikia elimu na uongozi bora kwa watanzania wa aina zote bila kubaguana kidini au kiitikadi au kikabila
 
mwanamayu ......hebu tuwekee wazi kipengele katika kanuzi za BOT ambacho kimevunjwa.

hapa naona ni kuvutiana mpira tu ...............kundi moja linasema imevunjwa moja linasema haijavunjwa.

sheria imevunjwa vipi? isitoshe sidhani kama hiyo huduma imewekwa kutokana na shinikizo la mufti ( he is a nobody......sasa tu anakula ujiko utasema kaiomba yeye). .....kama nawewe hutaki kulipa riba jiunge kwenye islamic banking au ndio hatuwezi kujiunga japo kama ina faida as long as imeitwa islamic banking? kama ni hivyo we have a long long way
 
Aha kumbe inagusa sana tukiingia kidini zaidi,
Ni kwamba masuala ya sharia ni ibada kamili shekhe wangu. nimemuunga mkono Mwanamayu.
Elewa kwamba mnapoingiza taratibu za kiuongozi wa nchi na masuala ya DINI hapo ni kuchukua nafasi ya MAKABURU wa kidini.
Nenda MKOMBOZI bank ukafungue akaunti uone kama watakataa kukupokea hata ukiwa mpagani.
Usishabikie dini NDUGU, shabikia elimu na uongozi bora kwa watanzania wa aina zote bila kubaguana kidini au kiitikadi au kikabila

msanii kwani hizo benki zenye islamic banking watakataa kukuhudumia hata ukiwa mpagani? lets not blow things out of proportion. tutizame sheria imevunjwa wapi na kwa vipi na sie intuitions tu
 
NBC ambayo serikali ina hisa nyingi imeamua kutoa huduma ya sharia banking.
STANBIC ya wawekezaji ndiyo ilikuwa ya awali kutangaza sharia banking, which means inatoa huduma kwa taratibu za kiislamu.
Sheria zinasemaje kuhusu taasisi za umma kuwa biased na masuala ya dini?

benki za
EFATHA na MKOMBOZI ambazo zimeanzishwa na taasisi za kidini hazina kipengele cha kuhalalisha wateja wa imani fulani pekee kupata huduma, wanatoa huduma kwa kufuata misingi ya sheria na taratibu zitolewazo na BOT. iweje leo benki ya serikali ibague wateja? ina maana miaka yoote tangu kuanzishwa haikuwa ina hudumia Waislamu?

Wadau nimeleta hii mada jukwaani tuijadili kwa kina tujue mwelekeo na mustakabali wa Tanzania yetu.

Je katiba inalindwa hapa? Ikumbukwe kuna watu tuliwapa dhamana kwa kiapo cha kuilinda na kuitetea katiba ya Nchi.

Kamanda umeteleza! Benki hazibagui waksristo wala waislamu kama unataka unaweza kufungua Account ya Kiislamu. Sasa hapo ubaguzi upo wapi? Kama vile unavyoweza kula nyama ambayo ni Halal kama ukiamua, hakuna ubaguzi wowote unaoendelea hapa. Kabla ya account za aina hii Waislamu walikuwa hawawezi kutumia benki huku wakifuata taratibu za dini yao, hauoni kuwa huo ulikua sio utaratibu mzuri?

Panga hoja yako upya ueleweke!
 
Aha kumbe inagusa sana tukiingia kidini zaidi,
Ni kwamba masuala ya sharia ni ibada kamili shekhe wangu. nimemuunga mkono Mwanamayu.
Elewa kwamba mnapoingiza taratibu za kiuongozi wa nchi na masuala ya DINI hapo ni kuchukua nafasi ya MAKABURU wa kidini.
Nenda MKOMBOZI bank ukafungue akaunti uone kama watakataa kukupokea hata ukiwa mpagani.
Usishabikie dini NDUGU, shabikia elimu na uongozi bora kwa watanzania wa aina zote bila kubaguana kidini au kiitikadi au kikabila

hebu tupe ufafanuzi inakuwaje bank tu iwe kumeingizwa taratibu za kiuongozi wa nchi na masuala ya dini lakini huduma nyengine za jamii ziwe haziingiliani?.

tumekuwa na sifa ya ku complain watanzania.......wakristo wakianzisha kitu waislam watalalamika, waislam wakianzisha wakristo watalalamika.....sielewi kwa nini......

msanii nimekushtukizia unaongelea vitu kama facts wakati kumbe huvielewi kwa undani ....ati "tukichinja kikristo" ...and what is that if i may ask!
 
Wagumu kuelewa ninyi
ngoja nikapekue sheria nije na dossier inayowafaa mkaelewa. ila pitieni pitieni ukurasa huu naamini watakuja wataalam nguli kukufafanulieni kilichojificha nyuma ya pazia nad where we are heading.

Naamini ikitangazwa kuwa kuanzia sasa tanzania itaongozwa na SHARIA mtakuja hapa na kusema kwani kuna shida gani, mbona hata huko SAUDI ambako inaongozwa na sharia kuna watu wa dini nyingine! Kama kitu kinamkwaza mwenzako ni bora uachane nacho ili uwe na amani kwa Mungu na moyo wako na hiyo ndiyo Ibada.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom